Jackal JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 9,971 Reaction score 13,608 Apr 6, 2021 #81 G Sam said: Nimeona CV ya mkurugenzi mkuu mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga akieleza kuwa anasoma "Yohana University" masomo ya jioni Click to expand... Mkuu tupia hiyo CV hapa ili tujiridhishe!
G Sam said: Nimeona CV ya mkurugenzi mkuu mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga akieleza kuwa anasoma "Yohana University" masomo ya jioni Click to expand... Mkuu tupia hiyo CV hapa ili tujiridhishe!
C connections JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 2,190 Reaction score 3,039 Apr 7, 2021 #82 johnthebaptist said: Kipo Nairobi! Click to expand... Niice
kirengased JF-Expert Member Joined Jan 10, 2016 Posts 6,348 Reaction score 7,058 Apr 7, 2021 #83 johnthebaptist said: Wewe unatafsiri majina lakini kiuhalisia St John University siyo Chuo kikuu cha Mtakatifu Yohana labda kama kilisajiliwa kwa majina mawili! Click to expand... Uhalisia vipi babu, kama nataka kutumia kiswahili je? Mbona south Afrika tunaiita Afrika kusini? USA - marekani...yote sawa tuu John ndio Yohana kwa kiswahili!!
johnthebaptist said: Wewe unatafsiri majina lakini kiuhalisia St John University siyo Chuo kikuu cha Mtakatifu Yohana labda kama kilisajiliwa kwa majina mawili! Click to expand... Uhalisia vipi babu, kama nataka kutumia kiswahili je? Mbona south Afrika tunaiita Afrika kusini? USA - marekani...yote sawa tuu John ndio Yohana kwa kiswahili!!
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 18,772 Reaction score 8,939 Apr 7, 2021 #84 mama kubwa said: True ni St John ya Dodoma na jioni wanatoa Degree hapa Dar office Yao ni St Mark. Najua watu waliosoma hapo bado hakuna shortcut sijui Kwa SASA. Click to expand... Ile ni PhD
mama kubwa said: True ni St John ya Dodoma na jioni wanatoa Degree hapa Dar office Yao ni St Mark. Najua watu waliosoma hapo bado hakuna shortcut sijui Kwa SASA. Click to expand... Ile ni PhD