Kikosi bora cha mwaka JF

Manara Numbisa plz toa neno kuhusu hili Shadeeya yuko kimya naona kazi za kiofisi zimemtinga
 
Unaambiwa hivi kikosi cha JF ni motooo usipime. Kimekamilika kila idara ila tu kuna marefa waonevu balaa bora buji buji karudishwa kuongeza nguvu kwenye timu iliyodhoofishwa na hali ya hewa na wingu kubwa la ukosefu wa mambando na usomaji wa namba usiotabirika
Manara Numbisa plz toa neno kuhusu hili Shadeeya yuko kimya naona kazi za kiofisi zimemtinga
 
Asante sana ndugu msemaji unafanya kazi yako vyema pia sambaza hii mechi yetu itatangazwa hapa live ifikapo saa kumi alasiri..kesho
 
Update.
Umezuka ugomvi kati ya Da'Vinci na mpishi wa team Hawachi .

Chanzo kikiwa ni Da'Vinci kulalamika kuwa Hawachi kamuwekea msosi mdogo.. Na kudai aongezewe msosi kwani amefanya mazoezi makali..!
Hawachi aligoma na kudai kuwa Da'Vinci tumbo lake lina shimo ndani..
Hapo ukazuka ugomvi mkubwa na mabaunsa wa team Castr na team yake wakaja kutuliza ghasia..

Mchezaji alijaziwa shendele Kama alivyodai
 
Jamaa ilikuwa imebaki kidogo nimtoe meno anakula kama mchwa.
 
aiseeee
 
Pia niongezee kila atakayeingia kichwa kichwa kwa namna yeyote ile basi ni lazima tumkalishe.

Hivyo huko waliko wajipange kwani Kikosi cha Jf sio cha Mchezo mchezo.
 
Tafadhali msiamini haya ni maneno yanayoenezwa na upinzani..
Siku hiyo nilikua kwa dada sakayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…