Kikosi bora cha mwaka JF

Kikosi bora cha mwaka JF

Pia ndugu Bujibuji amerudishwa kikosini kwani ni kiungo wetu tegemezi.
Licha ya utovu wa nidhamu.. Lakini ni kiungo mwenye kipaji cha Hali ya juu. Ikiwemo ni uwezo wake wa kupiga mashuti makali..

Hiyo ni baada ya mashabiki wengi kudai Bujibuji arudishwe kabla ya mechi kesho kwani ni mtu muhimu..

Stay tune
Manara Numbisa plz toa neno kuhusu hili Shadeeya yuko kimya naona kazi za kiofisi zimemtinga
 
Unaambiwa hivi kikosi cha JF ni motooo usipime. Kimekamilika kila idara ila tu kuna marefa waonevu balaa bora buji buji karudishwa kuongeza nguvu kwenye timu iliyodhoofishwa na hali ya hewa na wingu kubwa la ukosefu wa mambando na usomaji wa namba usiotabirika

Asante sana ndugu msemaji unafanya kazi yako vyema pia sambaza hii mechi yetu itatangazwa hapa live ifikapo saa kumi alasiri..kesho
 
Update.
Umezuka ugomvi kati ya Da'Vinci na mpishi wa team Hawachi .

Chanzo kikiwa ni Da'Vinci kulalamika kuwa Hawachi kamuwekea msosi mdogo.. Na kudai aongezewe msosi kwani amefanya mazoezi makali..!
Hawachi aligoma na kudai kuwa Da'Vinci tumbo lake lina shimo ndani..
Hapo ukazuka ugomvi mkubwa na mabaunsa wa team Castr na team yake wakaja kutuliza ghasia..

Mchezaji alijaziwa shendele Kama alivyodai
 
Jamaa ilikuwa imebaki kidogo nimtoe meno anakula kama mchwa.
 
Zikiwa zimebaki siku chache mwaka uishe.
Ningeomba tuweke kikosi bora cha jf kwa mtindo wa wachezaji soka...

Kipa.. Nyani Ngabu
Beki 2: pancho boy
Beki 3 Baba Swalehe
Beki 4 Bazazi
Beki5: rikiboy na sub yake mkwepu jr

namba 6 Da'Vinci
namba 7 CONTROLA
namba 8: Bujibuji
Namba9: Zero IQ
Namba 10: troublemaker
Namba 11 MLEVi Mmoja
Sub Hazard CFC
Nokia83
funzadume
Bitoz
Sesten Zakazaka
@icebreaker
James Comey

Benchi la ufundi..
Kocha mkuu _ Asprin
Kocha msaidizi_ Kiranga
kocha wa viungo Mwl.RCT
Kocha wa viungo 2. Don Clericuzio

Wasemaji wa team..
Matola
GuDume
Numbisa
Shadeeya

Kamati ya ufundi.. (ulozi)
Mshana Jr
Rakims

Wafadhili wa team.
Kiduku Lilo
Mikwara Ya Andunje
Tajiri Kichwa ,Tajiri mpole

Kamati ya hamasa..
Shunie
Miss Natafuta
manengelo
Depal
Sakayo

Mabaunsa wa team..
Castr
Pablo Blanco
Jon Stephano

Dokta wa team
Mwifwa

mweka hazina wa team.
Pascal Mayalla
Daby
Watu8

Mpishi wa team..
Sky Eclat
Zesh
Mzigua90
Hawachi

Kitengo cha figisufisu bila ulozi.
MO11
joanah
Billie
Kichwa Kichafu
Viatu vya Samaki.
Ushimen

Wazee wabishi wa team (wapigaji
FaizaFoxy

mlinzi wa getini makao Makuu.
MKWEPA KODI
MAGALLAH R[/USER

update :
Baada ya mshahara kutolewa kutoka bodi ya wadhamini wetu inayoongozwa na nduguy [USER=27118]Kiduku
uongozi umeahidi ikiwa kesho saa kumi team itashinda mechi.. Basi tuu tutapelekwa Ibiza tukale bata..
Hayo yameahidiwa na ndugu Kiduku Lilo mwenyewe..
aiseeee
 
Unaambiwa hivi kikosi cha JF ni motooo usipime. Kimekamilika kila idara ila tu kuna marefa waonevu balaa bora buji buji karudishwa kuongeza nguvu kwenye timu iliyodhoofishwa na hali ya hewa na wingu kubwa la ukosefu wa mambando na usomaji wa namba usiotabirika
Pia niongezee kila atakayeingia kichwa kichwa kwa namna yeyote ile basi ni lazima tumkalishe.

Hivyo huko waliko wajipange kwani Kikosi cha Jf sio cha Mchezo mchezo.
 
Update.
Umezuka ugomvi kati ya Da'Vinci na mpishi wa team Hawachi .

Chanzo kikiwa ni Da'Vinci kulalamika kuwa Hawachi kamuwekea msosi mdogo.. Na kudai aongezewe msosi kwani amefanya mazoezi makali..!
Hawachi aligoma na kudai kuwa Da'Vinci tumbo lake lina shimo ndani..
Hapo ukazuka ugomvi mkubwa na mabaunsa wa team Castr na team yake wakaja kutuliza ghasia..

Mchezaji alijaziwa shendele Kama alivyodai
Tafadhali msiamini haya ni maneno yanayoenezwa na upinzani..
Siku hiyo nilikua kwa dada sakayo
 
Back
Top Bottom