Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
- #141
Manara Numbisa plz toa neno kuhusu hili Shadeeya yuko kimya naona kazi za kiofisi zimemtingaPia ndugu Bujibuji amerudishwa kikosini kwani ni kiungo wetu tegemezi.
Licha ya utovu wa nidhamu.. Lakini ni kiungo mwenye kipaji cha Hali ya juu. Ikiwemo ni uwezo wake wa kupiga mashuti makali..
Hiyo ni baada ya mashabiki wengi kudai Bujibuji arudishwe kabla ya mechi kesho kwani ni mtu muhimu..
Stay tune