Kikosi bora cha team ya Taifa, Afrika nzima haijawahi tokea hii combination

Kikosi bora cha team ya Taifa, Afrika nzima haijawahi tokea hii combination

Ukiacha Youssouf Hadji, alikuwepo pia huyo niliyemtaja tena walikuwa wanacheza na Mustapha timu ya Coventry...

Naye alikuwa na nywele anafunga usinga kwa nyuma...

Nimegoogle nikampata kamanda
youssef-chippo-coventry-city-fc-08-gennaio-2000-j2c70h.jpg
 
Nafikiri Cameroon ya 1990 ndio ilikuwa timu bora zaidi ya muda wote serious tough Roger Milla, Emmanuel Kunde, Cyril Makanaky, Kana Biyik, Thomas Nkono, Tataw, Mbouh, Oman Biyik, Mfede, Ndip, Massing.
Kubali msikubali,Morocco ndo Bora ya muda wote.
 
Back
Top Bottom