GE2025 Kikosi cha Askari 320 wasio na sare wamesambazwa nchi nzima kukamata wanaopinga serikali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Brita sasa askari 320 ktk nchi nzima watafanya nini? watakaa wilayani ? kata? kijijin? au mkoani? It make no sense kuwa hio iwe ni special strategy ya vyombo vya ulinzi.
 
Atakayejaribu au kuthubutu kuandamana ni lazima aandae miguu ya bandia atakayotumia baadaye baada ya kuvunjwa.

Nakupa tahadhali ephen wangu kuwa usijaribu kuandamana wala kupeleka miguu yako kuandamana. Hakuna huruma kwa atakaye jaribu kuandamana
Utoke mapovu ya mdomoni kuwatetea basi uwe unapewa hata 100, kazi ya bure.
 
Utoke mapovu ya mdomoni kuwatetea basi uwe unapewa hata 100, kazi ya bure.
Mimi nawapeni ukweli wa bure kabisa bila kuhitaji chochote kile kutoka kwenu. Narudia kusema tena kwa yeyote atakaye jaribu kuandamana na kupeleka pua yake kuandamana. ni lazima ufahamu ya kuwa hakutakuwa na huruma na mtu wa aina hiyo na ahakikishe ya kuwa anakuwa na miguu ya bandia atakayotumia baadaye .
 
Yaani wewe unaweza kuua mtu.
 
Yaani wewe unaweza kuua mtu.
Naomba usiandamane wala kushawishi mtu kuandamana maana hakunaga huruma katika kulinda amani na usalama wa Taifa. Hakutakuwa na huruma kwa atakaye jaribu kuchezea amani na usalama wa Taifa letu
 
Reactions: Tui
Ya kweli haya?
 
We unaanza kujitisha na hisia zako hata siyo kivuli chako.

Unaogopa nini sasa hapo landcruiser au watu wasio na sare za jeshi?

Hao ni kupambana nao tu.

Umeshajua ukitekwa hurudi, tembea na kisu au chupa au jiwe, wakija ua mmoja au wote ukiweza.

Usikubali kudanganywa una hitajika polisi, kwasababu walio tii sheria wamepotezwa hivyo usidanganywe, bora upambane kuanzia mwanzo.
 
Shoot kill order kwa wakosoaji tena raia wa nyumbani ni lowest level ya mtoa command.
Of all my years hiyo order imetoka once when i wa sin service, na haitolewi kirahis

Its sad imefikia mahali wakosoaji wanaonekana kama maadui

When this is over kila alieshiriki awekwe hadharani
haikubaliki
 
Fuk off lucas, babs zetu akina j.k.nyerere, akina mandela, akina walter sisulu, akina oliver tambo, akina andrew mpangeni?

Hawa wote wanegekuwa na mawazo kama yako leo hii nchi za kiafrika zingekuwa na uhuru?
Au wangegeuka chawa wa mkoloni?
 
Mbona ni wachache sana hao, kazi wataiweza?

Kuna kazi ngumu sana mbele ya Samia wakati huu; kwa hiyo kutapatapa toka kwake haliwezi kuwa jambo la kushangaza.
 
Miguu bandia lakini nchi imekombolewa , tangu mmeanza kuwaua wakosoaji na wanaongea ukweli mmefanikiwa kutatua tatizo na mkwamo uliopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…