GE2025 Kikosi cha Askari 320 wasio na sare wamesambazwa nchi nzima kukamata wanaopinga serikali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
 
Huu mwaka Mgumu sana asema Bwana, sio mda kuna watakimbi uchi kwenda nchi za mbali , sijui kwa nini tumefika hapa , ila wenda ni kiburi cha watu fulani hivi ,Bwana anasema yupo upande wa roho takatifu za wananchi ,
 
Hakuna maandamano 29/10. Hao Watanzania wa hivyo hawapo, wapo mitandaoni tu.

Huko USA organiser wenu MangeKimambi hajathubutu kukanyaga Washington DC. Kawapata wazembe
 
Nimefuruhi kuona post yako mkuu
Nilidhani uliunganishwa na kaka Pole
 
Naomba usiandamane wala kushawishi mtu kuandamana maana hakunaga huruma katika kulinda amani na usalama wa Taifa. Hakutakuwa na huruma kwa atakaye jaribu kuchezea amani na usalama wa Taifa letu
Ila wanao chezea mali na kuteka watz wao huwaoni kwani sisi tunataka kuleta vurugu ama tunataka mafisadi yatoke madarakani pia utekaji ukome!!!.Madhumuni ya maandamano sio vurugu ww ni watu wanataka nchi yao ww unawakataza umejikuta nani ww
 

Kutokea kwenye hao Kila kata imepewa mgao gani?
 
Hakuna maandamano tarehe 29/10, kitakachokuwepo ni kwenda kupiga kura umchague kiongozi unaempenda wewe kama hakuna unaemuona anafaa kaa nyumbani utulie.
 
Mzee p
Hii inaitwa point of no return for both sides
 
Atakayejaribu au kuthubutu kuandamana ni lazima aandae miguu ya bandia atakayotumia baadaye baada ya kuvunjwa.

Nakupa tahadhali ephen wangu kuwa usijaribu kuandamana wala kupeleka miguu yako kuandamana. Hakuna huruma kwa atakaye jaribu kuandamana
Acha vitisho dogo maandamano yapo pale pale!
 
Kama kweli wanajeshi wanataka kusaidia,wasisubiri kwanza wananchi waandamane kwanza.
Wao wenyewe waanze kuteka watu kama akina Abdul,Mafwele nk
Wasiwategemee wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…