GE2025 Kikosi cha Askari 320 wasio na sare wamesambazwa nchi nzima kukamata wanaopinga serikali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Pamoja na taarifa kuwa ya kuhuzunisha, ila nafurahi sana sana kuona mkuu britanicca kwamba upo pamoja nasi
 
Aisee
 
Nchi ishajifia, huku Kuna mchongo wa pesa uiwakilishe chadema ili ionekane wameshiriki uchafuzi
 
Nimerudia kusoma zaidi ya mara tisa ,hasa hapo kwenye WATU WENU šŸ‘ŗšŸ‘ŗ
 
Nimerudia kusoma zaidi ya mara tisa ,hasa hapo kwenye WATU WENU šŸ‘ŗšŸ‘ŗ
Tanzania ya sasa ina watu wa aina mbili, kuna watu wetu na watu wenu.
Watu wetu ni Watanzania wanaukubali ukweli wa mambo. Watu wenu ni Watanzania wanaoishi kwenye ndoto za utopian.
P
 
Mayala umeanza kuharibu kitambo kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…