Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi bila hao walioitwa mmefikishwa wapi na wachezaji kutokea ligi ya bongo?Wengine wanacheza ndondo cup huko nje lakini wanaitwa na huku uwezo mdogo. Sio Kila mchezaji anayecheza nje ya nchi anastahili kuitwa Timu ya Taifa.
Ni kweli kabisa. Halafu nina wasiwasi baadhi ya hawa wachezaji wana uraia wa nje pia, au tufumbe macho kwa kuwa ni jambo la kitaifa?Wengine wanacheza ndondo cup huko nje lakini wanaitwa na huku uwezo mdogo. Sio Kila mchezaji anayecheza nje ya nchi anastahili kuitwa Timu ya Taifa.
Huko Misiri mbona anakiwasha vizuri tu, mna wachezaji gani wazuri hapa ndani kiasi cha kuhisi Mao hahitajiki?Himid mao wanini asee, 🚮🚮
Denis Kibu ingizo jipya. Nilisema wakati ule, Kibu angecheza mechi na Uganda tusingefungwa ile mechi.5-6. Utopolo wanaongoza
Shomari hata mimi nimesikitika kuona hajaitwa japo uwezo wake sio mkubwa kivile, kuna RB wazuri tuu waliokiwasha msimu ulioisha wapewe nafasi na waoKwa vigezo gani hastahili kuitwa?
Vipi Shomari Kapombe kuachwa?
Lazima wawe na uraia wa tz. Wasipokuwa na uraia wa tz basi Niger wanaweza fungua kesi na wakapewa matokeo ya ushindi hata kama tuliwafungaNi kweli kabisa. Halafu nina wasiwasi baadhi ya hawa wachezaji wana uraia wa nje pia, au tufumbe macho kwa kuwa ni jambo la kitaifa?
Dickson Job, hata yule lusajo wa Azam anafaaUnaweza wataja angalau wawili tafadhali
Sio una wasiwasi bali ni kweli hao wanaocheza ligi za nje ya Africa ukimuacha Samatta na Dismas wana uraia wa nchi nyingine lakini wana uwezo wa kuchezea timu ya taifa bila shida maana inaruhusiwa kwenye mpira..Ni kweli kabisa. Halafu nina wasiwasi baadhi ya hawa wachezaji wana uraia wa nje pia, au tufumbe macho kwa kuwa ni jambo la kitaifa?
Nchi zinazofanya vizuri Zina mipango mizuri na uwekezaji kuanzia timu za vijana ila sisi tunaenda shortcut ndio maana tunafikiri tukitoa uraia tutafanikiwa tunasahau Taifa la watu million 60 haliwezi kutoa wachezaji boraSio una wasiwasi bali ni kweli hao wanaocheza ligi za nje ya Africa ukimuacha Samatta na Dismas wana uraia wa nchi nyingine lakini wana uwezo wa kuchezea timu ya taifa bila shida maana inaruhusiwa kwenye mpira.l..