Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamewezaji ku-kiki wakati wapo wengi?
Kumbe wingi sio tatizo, tatizo ni uwezo
Mziki siyo mashairi tu, ni full package kuanzia muonekano, delivery ya hayo mashairi, production, kama ni kundi chemistry baina ya hao wanakikundi wakati wa kufanya kazi. Unaweza kuwa na mashairi makali lakini njia ya kuyawasilisha kwa hadhira ikawa mbovu na ujumbe usiwafikie watu wengi, na hapo kazi ya sanaa itakuwa imefail.Weusi kubebwa na media sio story mpya hilo linafahamika halihitaji mjadala.
Tujadili uwezo wa mashairi kati ya haya makundi mawili
Natoa challenge kati ya nyimbo mbili zilizofanywa na kikosi kazi halafu suggest ngoma ya weusi unayoona inaweza ika battle na hizi ngoma
Hivi Extra Musica ya Congo ilikuwa na watu wangapi?
yes as long as kupitia mziki wao wanalipa bills, wanasomesha watoto wao shule nzuri ni jambo la heri.Wehu...si
Hao ni weusi wa magamba ila ndani ni weupe
Nipe Mistari Miwili tu.Kikosi kazi kazini wapo vzur tangu tamaduni....hao ndo wafanya hip hop....
Achana na wale watoto mchele mchele.
Hip hop ina nguzo zake mzee huwezi ukasimama ukasema ngoma flani ni ya hip hop wakati haina lyrical kwa kigezo cha kudai mziki sio mashairiMziki siyo mashairi tu, ni full package kuanzia muonekano, delivery ya hayo mashairi, production, kama ni kundi chemistry baina ya hao wanakikundi wakati wa kufanya kazi. Unaweza kuwa na mashairi makali lakini njia ya kuyawasilisha kwa hadhira ikawa mbovu na ujumbe usiwafikie watu wengi, na hapo kazi ya sanaa itakuwa imefail.
It is either unafanya sanaa wasikilize watu ama unafanya ili ukasikilize mwenyewe na watu wake. Hakuna kitu kisichobadirika, hata beats za wana hiphop wa siku hizi zimebadirika siyo kama za miaka ya 90.Hip hop ina nguzo zake mzee huwezi ukasimama ukasema ngoma flani ni ya hip hop wakati haina lyrical kwa kigezo cha kudai mziki sio mashairi
Unaposema 'Muonekano" unamaanisha kila ngoma ifanyiwe video kitu ambacho sio lazima kuna ngoma kibao zime hit na hazina video je huo muonekano utauonea wapi na mbona zimeuza?
"Mashairi matamu halafu ukashindwa kuyawasilisha" vipi wale wenye mashairi mabaya na wameyawasilisha ukiambiwa utoe marks nani mkali utasema nani?
Mfano mzuri nyimbo ya 2pac no changes imezidiwa views na nyimbo ya lil pump gucci gang. Kwa tafsiri yako uliyopendekeza wewe utasema lil pump ni mkali kuliko pack
Umeiskiza ngoma ya sala lakini?Tatizo ni uwezo,wale majamaa walikuwa wanafanya show Canada, France na nchi kibao za ulaya.
Mi naamini hawa KKK waweze kuja na style za kisasa ili waweze kuwafunika weusi , maana weusi kinachowabeba wanaenda na upepo wa soko ila hawa wao ni kama bado wanapiga ngumu kumeza ambayo ndo real hip hop
Unajua ukishachagua kua dereva basi hakikishe hauingilii majukumu ya kondaIt is either unafanya sanaa wasikilize watu ama unafanya ili ukasikilize mwenyewe na watu wake. Hakuna kitu kisichobadirika, hata beats za wana hiphop wa siku hizi zimebadirika siyo kama za miaka ya 90.
If you live in the past the future will never find you. Changes ni bonge la ngoma ndiyo wimbo wangu namba moja toka kwenye nyimbo za 2pac, na kumbuka ile ni new version mpya ya huo huo wimbo aliorekodi mwaka 92.
Na ndio maana kichwa cha mada nimeandika Kikosi kazi waja kivingineKikosi kazi kama ingekuwa reggae basi wao wanapiga roots ila weusi wanapiga mahadhi ya riddims(mseto)!
Sema kwa mileage itawachukua muda sana kikosi kazi kutoboa maana mashabiki wa category ya hiphop ngumu ni wengi ila ambao wako willing kuchangia shows ama kununua album ni wachache mno. Yani wenye muamko na ku fund shows ni sehemu ndogo sana ya mashabiki.
Nadhani baada ya kuliona hili ndio Joh Makini alihamia kwenye hybrid rap ila naona amezingua zaidi maana hata mie nimemvua nyota. Sio kwa nyimbo kama mdundiko 😂😂😂
Zote zimesimama ila ile diss ndio nimeielewa zaidiNa ndio maana kichwa cha mada nimeandika Kikosi kazi waja kivingine
Niambie katika hizo ngoma mbili unaitoa ipi kasoro?
Hakuna kisichobadilika, hivyo ni ajabu kujifanya mwana hip hop kuliko ilikoanzia, si ajabu ukute mbongo ana mdiss labda Joe kwa michano, mavazi na mengine halafu huyo huyo anamsifia Kanye, 50Cent, Jay Z.Mahs
Unajua ukishachagua kua dereva basi hakikishe hauingilii majukumu ya konda
Huwezi kujinadi we ni hip hop na wakati hufati misingi ya hip hop, hicho ni kituko.
Vile vile kila mdau ana-interest yake ya mziki hivyo kuikosoa category ya mziki ambao wewe huupendi kwa kuwataka waimbe kama nyimbo ulizozizoea kusikiliza hapo utakua unakosea
Mbona tamaduni karibia wote pale kwa mmoja mmoja wana ngoma zao zenye beats kali tu. Mfano nikki mbishi nimekumiss, p mawenge corona, songa umiza ndonga nk.
Au katika hizi ngoma mbili walizoziachia unaweza kutoa kasoro beats gani?
Kwaiyo kuimba ujinga unaowafikia watu wengi mpaka wengine wakapotoka ndio mziki sahihi?Hakuna kisichobadilika, hivyo ni ajabu kujifanya mwana hip hop kuliko ilikoanzia, si ajabu ukute mbongo ana mdiss labda Joe kwa michano, mavazi na mengine halafu huyo huyo anamsifia Kanye, 50Cent, Jay Z.
Mziki ni biashara, either unaifanya biashara kwa kufanya mziki in a sense kwamba utawafikia wengi na message yako ifikie hadhira. Kuimba message ya maana halafu haifikii watu wengi haina maana, ni sawa na mtu wa kwanza aliyetengeneza gari Bwana Karl Benz, aliifungia ndani akiogopa kuliendesha hivyo hakuna aliyejua kuhusu uvumbuzi wake, mpaka mkewe alipolichukua pasipo yeye kujua na kuliendesha akienda umbali mrefu kumtembelea ndugu yake.
Mashairi mazuri bila beats, flow nzuri hayafiki mbali. Generation ya sasa siyo ya miaka ya 90 inabidi kuzingatia hilo ndiyo maana miziki ya funk hakuna leo.
Basi sawaKwaiyo kuimba ujinga unaowafikia watu wengi mpaka wengine wakapotoka ndio mziki sahihi?
Kila kitu ni biashara so ukiona we hununui usiseme biashara haiuzi au muuzaji hauzi. Kwasababu kama wao wangekua wana face changamoto kama hizi unazofikiria wewe basi wangebadili kama alivyofanya madee na joh. Lakini ukiona wamekomaa ujue kuna kitu ambacho wanakipata katika huo mziki sa ukisema hawauzi unakua unakosea
Kwani msanii anatakiwa auze shingapi ndio aonekane kafanya mziki wa biashara?
UFAFANUZI: Extra Musica lilikuwa na watu wengi lakini kiongozi mkuu alikuwepo. Na lile kundi lilivunjika kutokana na ujuaji mwingi wa members kama ilivyokuwa BCBG. Hilo grupu la kina Nikki Mbishi halina tofauti na hayo makundi mawili ya muziki wa dansi yaliyovunjika kutokana na uwepo wa mafahali wengi. Tamaduni music lina vipaji vingi lakini kudumu kwake ni changamoto kubwa sana. Tujipe mudaHivi Extra Musica ya Congo ilikuwa na watu wangapi?
Kuna Ku Klux Klan wanajiita KKK nadhani ni sahihi zaidi wakabaki na KK.Miamba ya Ukweli hiyo ya tamaduni ila ningependa kundi liitwe KKK.