Misako
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 1,143
- 1,399
"Ma mc wepesi na battle wapi na wapi,Nipe Mistari Miwili tu.
"Kitaa Kuna wanyama njoo ucheck vicheche ukiweza tembeza rungu kama comrade kipepe".
Eti mmekaza vocal na bado mnasound kiwaki"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Ma mc wepesi na battle wapi na wapi,Nipe Mistari Miwili tu.
"Kitaa Kuna wanyama njoo ucheck vicheche ukiweza tembeza rungu kama comrade kipepe".
Swala la muda mrefu sio kigezo, kumbuka kikosi kazi ni foundation kutoka tamaduni music. Kwaiyo ukianza kufanya comparison angalia na angle hiyo pia kwasababu ni gang ambalo asili yao ni moja (tamadunj)
Halafu kikosi kazi hawajajiunga baada ya diss ya weusi, hiyo ni project iloyoko muda mrefu ila haikua official to be announced.
Swala la wingi wao nalo silipi nafasi ya kusimama kama kikwazo au sababu ya uwezo wao kuonekana mdogo kuliko weusi. Kwasababu katika tasnia ya makundi kimuziki yapo makundi yenye watu wengi kuliko kikosi kazi na bado wanatusua. Kwaiyo tuache kukariri
Katika angle gani huwezi ku-compare weusi na kk?Bado siwezi compare Weusi na Kikosi Kazi. Nadhani Kikosi Kazi wanatakiwa tu wa focus kwenye lengo lao kuu, unless kama wanataka Weusi wawe ni stepping Stone ku archive lengo lao. But, as far as diss is concerned, Pac and Big, Nas and Jay Z, na wengine wengi watu wa real Hiphop, achana na huu utumbo wenu , closed that chapter long ago. Sijaona bifu kati ya Kikosi na Weusi.
Mawenge na Nikki wameninyooshea sana humu [emoji122][emoji122][emoji1544]
[emoji419][emoji419][emoji419]usirudie tena kuwahusisha Weusi na vitu vya kijinga.
G nako hawezi ku-rap mahali anapo fit ni chorus tu. Huyo nsyuka ndo kabisa unaweza ona lips zinacheza ila anachoimba hakieleweki.Hiyo Kk kwa G Nako pekee yake tu hawatoboi, ndo ufananishe na Weusi? Khaaaaah
Ipo siku watakuelewa...unamaanisha niniHip hop ina nguzo zake mzee huwezi ukasimama ukasema ngoma flani ni ya hip hop wakati haina lyrical kwa kigezo cha kudai mziki sio mashairi
Unaposema 'Muonekano" unamaanisha kila ngoma ifanyiwe video kitu ambacho sio lazima kuna ngoma kibao zime hit na hazina video je huo muonekano utauonea wapi na mbona zimeuza?
"Mashairi matamu halafu ukashindwa kuyawasilisha" vipi wale wenye mashairi mabaya na wameyawasilisha ukiambiwa utoe marks nani mkali utasema nani?
Mfano mzuri nyimbo ya 2pac no changes imezidiwa views na nyimbo ya lil pump gucci gang. Kwa tafsiri yako uliyopendekeza wewe utasema lil pump ni mkali kuliko pack
Duuuuuh kabisaaaa? Ts real?G nako hawezi ku-rap mahali anapo fit ni chorus tu. Huyo nsyuka ndo kabisa unaweza ona lips zinacheza ila anachoimba hakieleweki.
Nanukuu verse ya mwisho ya azma
Nawachoresha picha, naamini hata peke yangu ningetosha kuwaficha..../
Kikosi kazi ni group tu lile hawana future kweny hii industry watabaki kuwaimbia masela kama nyie ambao hamsapoti chochote kwenye kazi zao. Kazi kuwasisifia mitandaoni tu..Hip hop ina nguzo zake mzee huwezi ukasimama ukasema ngoma flani ni ya hip hop wakati haina lyrical kwa kigezo cha kudai mziki sio mashairi
Unaposema 'Muonekano" unamaanisha kila ngoma ifanyiwe video kitu ambacho sio lazima kuna ngoma kibao zime hit na hazina video je huo muonekano utauonea wapi na mbona zimeuza?
"Mashairi matamu halafu ukashindwa kuyawasilisha" vipi wale wenye mashairi mabaya na wameyawasilisha ukiambiwa utoe marks nani mkali utasema nani?
Mfano mzuri nyimbo ya 2pac no changes imezidiwa views na nyimbo ya lil pump gucci gang. Kwa tafsiri yako uliyopendekeza wewe utasema lil pump ni mkali kuliko pack
Kati ya interlude ya wehusi na diss ya kk ipi yenye viewes nyingi?Waimba hip hop asili huwa wananifurahisha sana.....yaani wanajiona wanajuaaa hao
Kimsingi wanafeli na wamepitwa na wakati........wanafanya mziki kama hobby tu
Hawapati show hawana viwers hawana followers hawana airtime kwenye media kazi zao haziuziki hawana ushawishi kwa jamii wanaonekana wahuni wahuni flani
Sijui wanalinganishwa nini na weusi lakini kimsingi ni kuwakosea sana weusi kuwalinganisha na hawa masela
Hawa labda uwashindanishe wao kwa wao
Utaskia mziki bila shobo hautoki, na hizo ngumu sana hazinogi.../Mond ndio maana anaendelea kupiga pesa.
Kule wenzenu wamehamia kwenye Mumble rap..watoto wanapiga pesa wanakaa pembeni.
Muda wa kuhamasisha misingi ya hip hipo umekimbia sana.
Miaka hii ya Teknolojia mambo yanakwenda kasi.
Kuna kizazi hakielewi haya mambo na ndio kikubwa zaidi kwa sasa.
Utaskia mziki bila shobo hautoki, na hizo ngumu sana hazinogi.../
Fanya vitu flani utabamba, wasanii wenu wapo tu mtaani wamesanda.../
Wametoboa ulimi mpaka pua, mameneja wao wamewafundisha kujishaua na kujichubua.../
Msanii awe na rangi, asionekane sana atapoteza brand.../
Brand au brandina?, si wengine tunaonekana kama wavuta bangi kiaina.../
Mziki biashara mtaji mi sina, utabebeshwa madawa uende ukadakwe china.../
Umesikiliza nyimbo mpaka imeisha, hawajakuomba ushauri eti kikosi kazi badilika.../
Msanii wako akipanda stage anakatika, sa tutafanyaje naye ndio nguvu kazi ya taifa.../
Jiulize why hizo track zao nyingine hazijawahi kuwa na view nyingi hadi walivyowa-diss weusi?Kati ya interlude ya wehusi na diss ya kk ipi yenye viewes nyingi?
Umejuaje Kazi zao haziuziki kwani we ni mhasibu wao?