Kikosi Kazi Kazini (KK), Weusi jipangeni

Kikosi Kazi Kazini (KK), Weusi jipangeni

kabisa...ila hili ni tatizo la wasikilizaji sio muimbaji, kuna mademu wako very intellectual wanasikiliza hip hop ya kk na tamaduni

watu wengi hawapendi kusikiliza mziki wa kufikirisha
Kweli kabisa...hata kaligraph (respect the OG) kichwa kizuri ana struggle sana. Watu kama hawa wangezaliwa unyamwezini wangekuwa mbali sana!!
 
kabisa...ila hili ni tatizo la wasikilizaji sio muimbaji, kuna mademu wako very intellectual wanasikiliza hip hop ya kk na tamaduni

watu wengi hawapendi kusikiliza mziki wa kufikirisha
Fani imebaki kama "movement"
 
Tukija kibiashara hao KK Security wanaingiza Tsh ngapi? Siyo mnapiga piga kelele hapa wakati kazi zao hamsupport na ndo maan mziki wao hauendiz popote wana rapia kilingeni tu.

Wajifunze kwa Nash Mc. Yuko very strategically
 
New update

Ile timu ya taifa ya rap imeamua kuachia mawe nonstop

Swala la muda mrefu sio kigezo, kumbuka kikosi kazi ni foundation kutoka tamaduni music. Kwaiyo ukianza kufanya comparison angalia na angle hiyo pia kwasababu ni gang ambalo asili yao ni moja (tamadunj)

Halafu kikosi kazi hawajajiunga baada ya diss ya weusi, hiyo ni project iloyoko muda mrefu ila haikua official to be announced.

Swala la wingi wao nalo silipi nafasi ya kusimama kama kikwazo au sababu ya uwezo wao kuonekana mdogo kuliko weusi. Kwasababu katika tasnia ya makundi kimuziki yapo makundi yenye watu wengi kuliko kikosi kazi na bado wanatusua. Kwaiyo tuache kukariri
Bro Weusi ni Taasisi rasmi kwa maana ya Company, Logically Weusi hawapo kushindana na MTU Bali wapo kibiashara zaid so unapoanzisha battle hambalo kimsingi halina mashiko kwenye muktadha wa biashara basi jua unapoteza rasilimali zako ikiwemo muda,,,Hao Kikosi Kazi sawa wanaijua Hiphop hilo halipingwi lakini ukwel unabaki pale pale kuwa Audience wanahitaji nini na kwa wakati gani, inapaswa kufaham kuzisoma alama za nyakati,,,back in those days wakina Juma Kiroboto, Profesa Jay ,Afande walikuw wanaimba conscious ila trust me Bro wakirudishwa now waimbe kwa zama hizi hawawez kutoboa I Bet you,,,kwanini ,jibu linabaki pale pale alama za nyakati,,,Tamaduni wamebaki kule ilhal dunia imeshasogea,,,Hiphop soft ya kuimbika ndio kinachofanya Drake anaisimamisha dunia kwa sasa sio kwamba yeye ni bora sana ila anafaham flavours wanazohitaj audiences wake ,haimaanishi wakina DMX,Lil Kim hawapo,,,tuache kushadadia ujinga,,,hali halisi inaonekana,,,sawa Wana kipaji kuliko Weus ila kipaji na maisha ya Ujinga vinaendana kumbuka,,,Nick Mbishi kutwa kugombana n wadogo zake kina Country Boy,,,,Post Marlone juz katoka na tuzo zak9 za BillBoard sie wakina Machine Gun Kelly na kina Dmx tunakalia kusema tunajua ....Tubadilike bhana,,,inzi akiacha ujinga kidogo tu basi anaweza kutengeneza Asali,,,,we unafikir Kanye Omary West mjinga kuingia kwe dini na siasa....
 
Swala la muda mrefu sio kigezo, kumbuka kikosi kazi ni foundation kutoka tamaduni music. Kwaiyo ukianza kufanya comparison angalia na angle hiyo pia kwasababu ni gang ambalo asili yao ni moja (tamadunj)

Halafu kikosi kazi hawajajiunga baada ya diss ya weusi, hiyo ni project iloyoko muda mrefu ila haikua official to be announced.

Swala la wingi wao nalo silipi nafasi ya kusimama kama kikwazo au sababu ya uwezo wao kuonekana mdogo kuliko weusi. Kwasababu katika tasnia ya makundi kimuziki yapo makundi yenye watu wengi kuliko kikosi kazi na bado wanatusua. Kwaiyo tuache kukariri
Hahaha hao walikuwa hawana dira yeyote na ndio maana walianza kutoa diss wao kwa wao mf P mawenge na Nikk sasa kama walikuwa na project ya Muda mrefu, kwanini wakurupuke tu baada ya diss ya WEUSI? Saiv ndo wanajua Kwamba mziki ni biashara Muda wote walikuwa wapi? Halafu jikundi lina watu 8 huko sioni kama litafika popote. Kuna wasanii kama mansulii, zaid yao walikwisha potea kwenye game kitambo. Hata nikk mwenyewe ambaye ndo icon wa group hana mwelekeo wowote, ill kundi lao lipo tu kama kundi la kishkaji na siwaombei mabaya ila sioni kama litafika mbali..

Labda wakaze sana na wawe serious.

Ukicheki watu ambao wanaweza kusimama kama kundi ni wanne tu ..huyo Nikk,Songa,One na Stereo ..wakina Zaid washaimba hadi Trap na bdo wakafeli.
 
Bro Weusi ni Taasisi rasmi kwa maana ya Company, Logically Weusi hawapo kushindana na MTU
sasa walianzaje kuwa diss tamaduni kama hawapo kimashindano? Utasemaje unafanya hip hop na unakwepa battle?

sio hawapo kushindana na mtu, hawana uwezo wa kushindana na kk.

walipoona ukimya tamaduni na ule upepo wa diss track ya mawenge kwa nikki wakajua chama lishakua separated. Wakatoa interlude iliyokua na mistari ya kuwa diss tamaduni kua wa weusi ndio watunza culture wakiamini tamaduni hawana organization ya kujibu
Bali wapo kibiashara zaid
biashara ni nini?

kwani punchlines battle sio biashara?

hit e'm up ya pac haijauza?
so unapoanzisha battle hambalo kimsingi halina mashiko kwenye muktadha wa biashara basi jua unapoteza rasilimali zako ikiwemo muda,,,
kati ya kikosi kazi na wehusi nani aliyeanza kumdiss mwenzake?

walianzaje kuanzisha ugomvi ambao hawauwezi?

singeli na taarabu ndio hazifungamani na battle, battle ipo katika misingi ya hip hop na diss ni moja kati ya nguzo zake. Wasio jua hip hop ndio wanaweza kuchukulia diss in personally
Hao Kikosi Kazi sawa wanaijua Hiphop hilo halipingwi lakini ukwel unabaki pale pale kuwa Audience wanahitaji nini na kwa wakati gani, inapaswa kufaham kuzisoma alama za nyakati,,,
kama kikosi kazi wanaijua hip hop basi tutegemee ma fans nao wawe hip hop lover

watu wamemjua nikki mbishi wayback 2002 kwasababu ya kuchana halafu leo hii anakuja mdau eti kwasababu ye hayuko interest na ngumu anashauri a-change

mbona wasanii wengi tu wanaobana pua wako mtaani wamekata ringi hawajatoboa, hao nao utawashauri waimbe nini ili kucheza na audience?

back in those days wakina Juma Kiroboto, Profesa Jay ,Afande walikuw wanaimba conscious
hao uliowataja unaweza kulinganisha kazi zao na mziki wanaouimba weusi?
ila trust me Bro wakirudishwa now waimbe kwa zama hizi hawawez kutoboa I Bet you,,,
mbona wasanii wengi wanaimba miziki ya kisasa ambayo wewe ndio unaiona inabamba lakini tuko nao street na wamesanda vile vile?
kwanini ,jibu linabaki pale pale alama za nyakati,,,Tamaduni wamebaki kule ilhal dunia imeshasogea,,,
hiyo ni perspective yako, kikosi kazi wanatoa ngoma kali kila uchao ambazo huwezi kulinganisha na kundi lolte kwa ukanda huu
Hiphop soft ya kuimbika ndio kinachofanya Drake anaisimamisha dunia kwa sasa sio kwamba yeye ni bora sana ila anafaham flavours wanazohitaj audiences wake
mbona hao weusi wanaofanya hip hop soft hawaja kiki kama drake?
,haimaanishi wakina DMX,Lil Kim hawapo,,,tuache kushadadia ujinga,,,hali halisi inaonekana,,,sawa Wana kipaji kuliko Weus ila kipaji na maisha ya Ujinga vinaendana kumbuka,,,Nick Mbishi kutwa kugombana n wadogo zake kina Country Boy,,,
nikki mbishi kugombana na country boy hiyo ni personal matter na wala haihusiani kwa namna yeyote na uwezo wake wa kimuziki

Post Marlone juz katoka na tuzo zak9
malone ana grammy 6 tu, hajamfikia hata robo jayz
za BillBoard sie wakina Machine Gun Kelly na kina Dmx tunakalia kusema tunajua ....Tubadilike bhana,,,inzi akiacha ujinga kidogo tu basi anaweza kutengeneza Asali,,,,we unafikir Kanye Omary West mjinga kuingia kwe dini na siasa....
kwaiyo wakina diamond na alikiba wanavyo zunguka na magufuli kupiga kampeni maana yake mziki umewakataa?
 
Hahaha hao walikuwa hawana dira yeyote na ndio maana walianza kutoa diss wao kwa wao mf P mawenge na Nikk
wanao ielewa hip hop huwakuti wakiichambua diss kama ni ugomvi au kitu personal, usichokijua ni kwamba hakuna ngoma ya nikki hajaweka diss, hata kama ni bars 2

sasa kama walikuwa na project ya Muda mrefu, kwanini wakurupuke tu baada ya diss ya WEUSI?
simba alipokua akimkimbiza nyati halafu akajipitisha kangaroo simba atamla kangaroo ili apate stata ya kuendelea kumkimbiza nyati ambaye atakua kitoweo cha yeye na watote wake. kumbuka lengo la simba si kuwinda kangaroo
Saiv ndo wanajua Kwamba mziki ni biashara Muda wote walikuwa wapi?
kwani kuna mziki usio wa biashara?
Halafu jikundi lina watu 8 huko sioni kama litafika popote.
hiyo ni personal view na huzuiliwi kuona hivyo, weusi wapo wangapi na wamefika wapi?

N.W.A na WU-TANG wanatofauti gani na idadi ya member wa kikosi kazi?
Kuna wasanii kama mansulii, zaid yao walikwisha potea kwenye game kitambo.
kama walipotea we umewajuaje?

nini kimewafanya saizi waendelee ku exist?

Hata nikk mwenyewe ambaye ndo icon wa group hana mwelekeo wowote,
alikuja kuomba unga kwenu?
ill kundi lao lipo tu kama kundi la kishkaji na siwaombei mabaya ila sioni kama litafika mbali..
kama huoni utakua una mmatatizo yako binafsi ya macho
Labda wakaze sana na wawe serious.

Ukicheki watu ambao wanaweza kusimama kama kundi ni wanne tu ..huyo Nikk,Songa,One na Stereo ..wakina Zaid washaimba hadi Trap na bdo wakafeli.
tamaduni ni kundi lenye wasanii wangapi?

huyo zaidi aliwezaje ku exist kwenye hilo kundi lenye watu wengi kama kweli kundi linasimama na watu wanne?
 
miss 2020 kutoka kikosi kazi inaachiwa hivi karibuni stay tuned
 
wanao ielewa hip hop huwakuti wakiichambua diss kama ni ugomvi au kitu personal, usichokijua ni kwamba hakuna ngoma ya nikki hajaweka diss, hata kama ni bars 2

simba alipokua akimkimbiza nyati halafu akajipitisha kangaroo simba atamla kangaroo ili apate stata ya kuendelea kumkimbiza nyati ambaye atakua kitoweo cha yeye na watote wake. kumbuka lengo la simba si kuwinda kangaroo

kwani kuna mziki usio wa biashara?

hiyo ni personal view na huzuiliwi kuona hivyo, weusi wapo wangapi na wamefika wapi?

N.W.A na WU-TANG wanatofauti gani na idadi ya member wa kikosi kazi?

kama walipotea we umewajuaje?

nini kimewafanya saizi waendelee ku exist?

alikuja kuomba unga kwenu?

kama huoni utakua una mmatatizo yako binafsi ya macho

tamaduni ni kundi lenye wasanii wangapi?

huyo zaidi aliwezaje ku exist kwenye hilo kundi lenye watu wengi kama kweli kundi linasimama na watu wanne?
Wewe ni fani wa Tamaduni mimi naongelea mziki kwa ujumla..
 
Kwani mziki wa tamaduni hauko katika ujumla?
Tamaduni hawafanyi mziki wa kutafuta pesa, wanafanya ili kuwafurahisha nyie ambao wengi wenu hamnunui kazi zao. Niambie product gani umenunua kutoka kwao.
 
Mmeisikiliza vizur hii Anthem""""

Ngoma kali sana
..Real HipHop"" Kikosi kazi mtauwa""
 
Vijana 8 kutoka kundi la Tamaduni Music ambao wameji-organize na kuunda kikundi walichokipa jina la Kikosi Kazi Kazini (KK)

Naweza nikasema kwa ngoma mbili hizi walizotoa Kikosi Kazi zinatosha kabisa kuficha nyimbo zote walizowahi kuimba Weusi.

Hivi kama nyimbo ya SALA utaifananisha na nyimbo gani ya weusi na isipwaye?

Hapo mwezi uliopita walitamba kwa diss track yao iloyowalenga kundi la Weusi. Ifahamike kua Katika wimbo ambao uliimbwa na kundi la Weusi kulikua na meseji ambayo iliyo walenga wasanii wote wa Tamaduni.

Ni meseji ambayo ilitafsirika kwamba tamaduni ni kundi ambalo limepotea katika hip hop industry na wao weusi ndio walioshika bendera kuilinda hip hop culture moja ya line iliyo catch feelings za wasanii kutoka tamaduni ni hii "watamaduni si ndio tunaotunza hii culture"

Kwenye Sala kikozi kazi wameniangusha..very basic flow and delivery.

Ile ngoma ya kwanza ilikuwa safi sanaaa
 
Back
Top Bottom