Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #101
Umeanza kwa conlusion kwamba tamaduni "hawafanyi muziki wa kutafuta pesa" sa inakuaje unaniuliza tena kama nishawahi kununua kazi zao wakati umekiri kua hawafanyi biashara?Tamaduni hawafanyi mziki wa kutafuta pesa, wanafanya ili kuwafurahisha nyie ambao wengi wenu hamnunui kazi zao. Niambie product gani umenunua kutoka kwao.
Product gani kutoka kwao wanaiuza na wakati umesema hawafanyi biashara?