Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #61
Oya nyie vibonde vipi mnaleta uoga wa kidunya, mnavua nguo hamsemi ka mnaoga au mnakunya.../Mtu nne dhidi ya mtu nane, dah wale jamaa walipaniki balaa..
Asanteni WEUSI umewaamsha hao watoto wapo kwao miaka nenda rudi hamna kitu.
Watoto wa Arusha wameingia mjini wanapiga ela..
Brother tuliwa-test tu kuapiga mikwara, siunajua kwamba sisi ndio mambwiga wa R.../
Hapana si tulifanya kama matani, wala hatukumaanisha tusameeni tu jamani.../
Wakina flani bwana walijujaza bichwa, na ndio maana zile line nilifanya kutafuta sifa.../
Nawe mwenye virasta ka nsyuka, ntakusanya hivyo vinywele nivikate hata na chupa.../
Haturudii tena na wala hatutajitusu, bado siamini ka tumeponea chupu chupu.../
Tofautisheni kati ya ngenga na bato, si hatutaki shobo zenu nyie machenga matako...
Misuti imewavaa ka mnakwenda sabato, tena mshukuru i got respect for matenga na vato.../