Kikosi Kazi Kazini (KK), Weusi jipangeni

Mtu nne dhidi ya mtu nane, dah wale jamaa walipaniki balaa..

Asanteni WEUSI umewaamsha hao watoto wapo kwao miaka nenda rudi hamna kitu.

Watoto wa Arusha wameingia mjini wanapiga ela..
Oya nyie vibonde vipi mnaleta uoga wa kidunya, mnavua nguo hamsemi ka mnaoga au mnakunya.../

Brother tuliwa-test tu kuapiga mikwara, siunajua kwamba sisi ndio mambwiga wa R.../

Hapana si tulifanya kama matani, wala hatukumaanisha tusameeni tu jamani.../

Wakina flani bwana walijujaza bichwa, na ndio maana zile line nilifanya kutafuta sifa.../

Nawe mwenye virasta ka nsyuka, ntakusanya hivyo vinywele nivikate hata na chupa.../

Haturudii tena na wala hatutajitusu, bado siamini ka tumeponea chupu chupu.../

Tofautisheni kati ya ngenga na bato, si hatutaki shobo zenu nyie machenga matako...

Misuti imewavaa ka mnakwenda sabato, tena mshukuru i got respect for matenga na vato.../
 
Hii mistari si mara ya kwanza kuisikia.
Kutafuta huruma kupitia migongo ya watu kwa mwamvuli wa dis kama kitendo ma msingi wa HipHop si bongo hii.
Nikki Mbishi nilimkubali sana miaka flani ya nyuma.
We ndiyo wale "nilimpenda nikki mbishi kwenye playboy tu"

Kama huamini katika diss, nikuulize kati ya kikosi kazi na weusi nani aliyemuanza mwenzake?

Lengo la Music ni kunufaisha na kuifanya jamii kujifunza.
Jamii kwa idadi gani ya watu?

Maana hata mimi ni miongoni mwa wanajamii na nawakubali kikosi kazi wako very lyrical they deserve to stand as real hip hop artists.

Waendelee na mipasho wakifikiri kuwa jamii ya sasa itaelewa..ni wewe na mimi wa huko nyuma.
"Njoo ukalie eeh njoo ukaliee, kata kata leta kata kata leta.."

Jamii ya watu wapumbavu na wajinga ndio watasema huu ni mziki mzuri unaofata maadili mazuri na kuwa-inspire watoto katika jamii

Hakuna cha ziada zaidi ya chuki hapo...wakimbizane na muda.Wanaopenda mambo magumu wanahesabika.

Tujifunze nyakati
Chuki dhidi ya nani... Na unaipimaje?

Aliyekuambia diss ni chuki nani?

We kama umedisiwa uka-react kama ni chuki how can you make a claims kwamba we ni hip hop artist ilihali misingi yake huijui?
 
Jiulize why hizo track zao nyingine hazijawahi kuwa na view nyingi hadi walivyowa-diss weusi?

Track zao nyingine kama zipi?

Halafu kwanini viewers iwe kipimo cha ubora wa msanii na sio kimashairi?

Keep ya head up ya pac ina viewes Ml 20 while Gucci gang ya lil pump inacheza kwenye bilion kasoro.

Hizi ni lyrics za pac

You know it makes me unhappy (what's that)
When brothas make babies, and leave a young mother to be a pappy
And since we all came from a woman
Got our name from a woman and our game from a woman
I wonder why we take from our women
Why we rape our women, do we hate our women?
I think it's time to kill for our women
Time to heal our women, be real to our women
And if we don't we'll have a race of babies
That will hate the ladies, that make the babies
And since a man can't make one
He has no right to tell a woman when and where to create one
So will the real men get up
I know you're fed up ladies, but keep your head up

Halafu hiizi hapa ni lyrics za pump ambazo zina viewes Billion 1

Gucci Gang, ooh, yeah, Lil Pump, yeah, Gucci Gang, ooh

Gucci gang, Gucci gang, Gucci gang, Gucci gang
Gucci gang, Gucci gang, Gucci gang (Gucci gang!)
Spend ten racks on a new chain
My bitch love do cocaine, ooh
I fu'ck a bitch, I forgot her name
I can't buy a bitch no wedding ring
Rather go and buy Balmains

I fu'ck a bitch, I forgot her name, yeah
I can't buy no bitch no wedding ring
Rather go and buy Balmains, aye
Gucci gang, Gucci gang, Gucci gang

Kwa maana hiyo we ungekua jaji kura yako ungempa lil pump

Tafuta track inaitwa Ufalme ya Joh Makini wakati anaitoa sidhani kama kuna msanii wa kikosi kazi alikuwa ameanza muziki

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app

Humo nsyuka kafanya kitu gani cha tofauti ambacho unahisi kinaweza kufanyiwa comparison na ngoma ya kikosi kazi?
 
Wewe si ndio umesema kikosi kazi wana view kuliko weusi?
Then tumia akili how unajidai mdau wa HipHop unashindwa kujenga hata hoja
Enzo za 2pac hakukuwa na YouTube unadhani angetoa enzi hizi angekuwa na hizo views

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Wewe si ndio umesema kikosi kazi wana view kuliko weusi?
Wewe ndiye uliyedai kua hawana views halafu nilipokuuliza kati ya video ya weusi na video ya kikosi kazi ipi ina viewes wengi ukashindwa cha kujibu

Mimi naweza kui-defend hoja yoyote kati ya hizo kwa fact, naweza tetea kua idadi ya viewes sio kipimo cha ubora wa msanii kimashairi. Kwasababu sio kila anayenagalia video fulani kwenye wimbo anakua amevutiwa na lyrical. Kuna watu wanapata viewes wengu kwasababu wanavaa nusu uchi kwenye video zao kuamini kua kufanya hivyo kuna wavutia watu.

Kuna mambo mengi yanayofanya video ikapata viewes nyingi lakini katika hizo sababu kukawa hakuna inayolenga mashairi ya wimbo. Mfano mzuri 6ix9ine alivyotoka gerezani alitengeneza trend sana kwenye social media kutokana na kukaa karibia miaka miwili kasoro jela.

Alivyoachia ngoma yake ya video ilipata viewes wengi kwa masaa machache, lakini haikumaanisha kua watu walio-views walifata mashairi kuna vitu-extra viliangaliwa

Leo hii ukiambiwa kati ya 6ix9ine na joyner lucas nani anamashairi mazuri ya hip hop utasema tekashi ni mkali kwa mashairi kwasababu alifikisha views Milion 20 within 24 hrs?

Then tumia akili how unajidai mdau wa HipHop unashindwa kujenga hata hoja
Enzo za 2pac hakukuwa na YouTube unadhani angetoa enzi hizi angekuwa na hizo views

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app

Kwaiyo hapo ndio ukomo wako wa mwisho kutumia akili mpaka ukaibuka na hoja mbovu namna hii?

Hiyo video ya tupac imewekwa kabla ya youtube au baada ya youtube?

Hiyo video ya pac aliyopata views milion 20, hizo views alipata kupitia site ipi au platform gani iliyo upload video yake kiasi cha idadi ya views kuzidiwa na lil pump wa youtube?

Mi nazungumzia video ambayo tayari iko youtube we unakuja kuniambia upupu wako hapa sijui enzi hizo hakukua na youtube?

Ilivyowekwa enzi hizi wakati youtube ipo imekuwaje ikazidiwa views na hii ya pump wakati zote zimewekwa katika generation moja ambayo youtube ipo?
 
Wanajua kujenga hoja kwanza huwa wanawaheshimu wenzao

Nimegundua tuko generation tofauti endelea kujifunza huko mbele labda utaelewa

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Wanajua kujenga hoja kwanza huwa wanawaheshimu wenzao

Nimegundua tuko generation tofauti endelea kujifunza huko mbele labda utaelewa

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app

Na wanaostahili heshima ya kuheshimiwa huwezi kuwaona waki-criticize wengine kua wanamipasho au kuwaita wahuni na maneno mengine ambayo yanaleta maana yenye kinyume na ustaarabu

We sio wakuni-direct wapi pakujifunzia, sio mbele tu najifunzia hata nyuma nikitaka.
 
Wapi nilipokuita Mwanamipasho au Muhuni?

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
We ndiyo wale "nilimpenda nikki mbishi kwenye playboy tu"

Kama huamini katika diss, nikuulize kati ya kikosi kazi na weusi nani aliyemuanza mwenzake?

Jamii kwa idadi gani ya watu?

Maana hata mimi ni miongoni mwa wanajamii na nawakubali kikosi kazi wako very lyrical they deserve to stand as real hip hop artists.

"Njoo ukalie eeh njoo ukaliee, kata kata leta kata kata leta.."

Jamii ya watu wapumbavu na wajinga ndio watasema huu ni mziki mzuri unaofata maadili mazuri na kuwa-inspire watoto katika jamii

Chuki dhidi ya nani... Na unaipimaje?

Aliyekuambia diss ni chuki nani?

We kama umedisiwa uka-react kama ni chuki how can you make a claims kwamba we ni hip hop artist ilihali misingi yake huijui?
Nimekuelewa na nimeheshimu sana mawazo yako.

Tukienda mbali zaidi Niki Mbishi amekwama sehemu.
Tutaona mengi tu hapo mbeleni.

Endelea na uchambuzi mzuri sana Mkuu.Itawasaidia wenye kutaka kujua.
 
Hao takataka wanaruka ruka tu ..

Follow #MakiniRecords

Record Label mpya mjini...😀😀
 
Ngoma kali nyingine imeachiwa jana #FANYA WEWE

Vipaji viko wazi ila industry ya bongo haijawa tayari kuwezesha na ku reward vipaji kama hivi. Wanabaki kuonekana kama "wannabe's" tu (RIP King Zilla). Industry ya bongo lazima madem kuanzia mashuleni , vyuoni hadi corpotate wapende nyimbo zako ndio utatusua!!
 
kabisa...ila hili ni tatizo la wasikilizaji sio muimbaji, kuna mademu wako very intellectual wanasikiliza hip hop ya kk na tamaduni

watu wengi hawapendi kusikiliza mziki wa kufikirisha
 
Mimi siyo team WEUSI au KK mimi naangalia mziki mzuri ..KK namskiza sana Nikk Mbishi, One hao wengine takataka tu ..naskiza mziki mzuri
hii ngoma ni dedicated kwenu nyie...msikilize azma dakika ya 1:30
anakuambia

we unayenichana kindezi, nakukanya ukome.../
kama unaona siwezi, fanya wewe tuone.../
 
Back
Top Bottom