Kikristo ni dhambi gani unakuwa umeitenda ukiamua kuwa na wake wawili au zaidi

Nauliza ni dhambi ipi inakuwa imetendwa ikiwa umeoa zaidi ya mke moja kama kina Musa, Lameki, Yakobo, Daudi, n.k.
Usitamani...
eacc3c9df99b58e8c8779e69f963fff2.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu wakristo walikosea na kukataza mwanaume kuwa na wake zaidi ya mmoja, imechangia sana kuharibu muundo familia, mke lazima awe na bimdogo wa kumchallenge. Hata watoto nao wanajitahidi kuwa best versions of themselves wakishindana na watoto wa wake wengine. Ila siku hizi zero tu
 
Mwanaume mzinzi hatosheki kwa kuoa wake wengi
 
Bila mke mdogo kumchallenge bni mkubwa mambo Hayaendi smooth?
 
Achana na hayo mambo,chukulia kwamba waarabu na wazungu hawakuja.
Wewe oa kiserikali,ambapo unarusiwa idadi unayotaka wewe.
 
Ni hadi mwanaume awe mzinzi na si kila mwanaume ni mzinzi,
Hao wanaume wenye nguvu za Simba za kuwamudu wake hao kwa stress hizi za maisha na kushindia chips wapo wapi siku hizi kama mke mmoja tu hoi hadi usaidizi wa mabodaboda
 
Mwanaume mzinzi hatosheki kwa kuoa wake wengi
Kuoa wake wengi inaondoa uzinzi.

Ukiwa na mke mmoja ukaenda kulala na kimada unakua umezini, ila huyo kimada nae akiwa mke wako unakua hujazini, bado hujaelewa tu?
 
Back
Top Bottom