Kikristo ni dhambi gani unakuwa umeitenda ukiamua kuwa na wake wawili au zaidi

Kikristo ni dhambi gani unakuwa umeitenda ukiamua kuwa na wake wawili au zaidi

Kuoa wake wengi inaondoa uzinzi.

Ukiwa na mke mmoja ukaenda kulala na kimada unakua umezini, ila huyo kimada nae akiwa mke wako unakua hujazini, bado hujaelewa tu?
Ni kipimo gani kwamba kuoa hadi wake wanne inatosha kuondoa uzinzi? Kwanini sio watano, 6, au 11?

Kunao ushahidi wowote kwamba kuoa wake wengi kunaondoa uzinzi? Na mwanamke aliye kwenye ndoa za aina hii vipi? Yeye hapatwi na tamaa? Kwanini ndoa za aina hii ni as if ni "kumsaidia" mwanaume huku ikimpuuza mwanamke?

Hapo mwanzo aliumbwa mwanaume na msaidizi na sio wasaidizi; mke na sio wake. Mungu hakuwa mjinga kuumba vile. Wake wengi na matokeo ya tamaa za wanadamu/wanaume including hao manabii waliooa hivyo na sio vinginevyo.
 
kuna utofauti wa unchopenda na unachostahili. Unaweza kupenda uwe unakula peke yako lakini ni vema ukileta chakula nyumbani ule na wenzako.

Hata Rais wetu ni mke wa tatu na imelinda heshima yake kwamba ana ndoa.

kila mwanamke awe na mme wake haiwezekani maana wanaume ni wachache kuzidi wanawake na wapo wanaume wachache zaidi wanaoweza kuoa.
Utofauti wa idadi ya me kwa ke ni mdogo sana haufiki 1:2. Tena yawezekana me ni wengi kidogo kuliko ke. Hebu jaribu kufanya ka utafiti. kidogo.
 
Utofauti wa idadi ya me kwa ke ni mdogo sana haufiki 1:2. Tena yawezekana me ni wengi kidogo kuliko ke. Hebu jaribu kufanya ka utafiti. kidogo.
Kuna watu wanajua kutetea ujinga hadi inashangaza! Utasikia wanawake ni wengi kuliko wanaume hivyo kuoa wake wengi inasaidia kila mmoja aolewe! Upuuzi mtupu!

As of 2023, There are (were) 4,042,987,695 or 4,043 million or 4.04 billion males in the world, representing 50.25% of the world population. The population of females in the world is estimated at 4,002,323,752 or 4,002 million or 4.00 billion, representing 49.75% of the world population. The world has 40,663,944 or 40.66 million more males than females.

Kwa statistics hizo, waruhusu mwanamke aolewe na wanaume wengi ili kila mwanaume apate mke! Kuna kabila moja huko Nigeria wana-practice huo utaratibu sio vibaya kujifunza kwao.
Nifah, cocastic, min -me, Mamndenyi, et. al.
 
Umenitaja pamoja na , nifa na coca kwamba na mimi ni mzee wa ubuyu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
 
Je ni dhambi kuoa mke zaidi ya moja ?

Kama ni dhambi, hio ni dhambi ipi waliyoitenda pia kina Musa, Lameki, Yakobo, Daudi, n.k. kwa kuoa zaidi ya mke moja ?

Mwanzo 2:18
Kisha Yehova Mungu akasema: “Si vema mwanamume huyu aendelee kuwa peke yake. Nitamuumbia msaidizi, awe kikamilisho chake.

Msaidizi sio wasaidizi
Kikamilisho
sio vikamilisho.

Kuoa wake wengi ni matokeo ya tamaa, uchu na pupa.
 
Je ni dhambi kuoa mke zaidi ya moja ?

Kama ni dhambi, hio ni dhambi ipi waliyoitenda pia kina Musa, Lameki, Yakobo, Daudi, n.k. kwa kuoa zaidi ya mke moja ?
Sio dhambi ila itakuwa umemkosea adabu Padre wako maana yeye hata mke mmoja hana
 
Kuwa na wake wengi ni "baraka " sio dhambi. Ukiwa na akili finyu utaamini ni dhambi. Kuamini hutumii akili.
 
Uchawi, wivu, fitina ndio mahali pake, wake wawili siku zote wanapiga a kwa ajili ya Mume mmoja, na ktk kufanya hivo nguvu nyingi hutumia ikiwepo uchawi.
Ikumbukwe kuwa tangu mwanzo Mungu aliumba mwamme na mwanamke... Ki-ration ni 1:1. Soma Mathayo 19:3-6.

Wanaooa zaidi ni ubinafsi wao na kiburi Chao. Ufahamu kuwa wakati wowote mwanaume aoapo wake wawili anazusha vita vya Israel na Palestine ktk familia zetu, kuanzia wake zetu hadi vijukuu! Je ni jambo jema mwanaume kuburudika huku akiacha madhara ya milele kwenye uzao atakaoacha hapa duniani? Tafakari!!!
 
Wewe ukijisikia kuongeza mke ongeza tu hakuna amri ya Mungu inayokataza. Hao waliotuletea hizo sasa hivi wanatuambia ndoa za jinsia moja ni halali ila kuoa zaidi ya mke mmoja ni dhambi.
 
Uchawi, wivu, fitina ndio mahali pake, wake wawili siku zote wanapiga a kwa ajili ya Mume mmoja, na ktk kufanya hivo nguvu nyingi hutumia ikiwepo uchawi.
Ikumbukwe kuwa tangu mwanzo Mungu aliumba mwamme na mwanamke... Ki-ration ni 1:1. Soma Mathayo 19:3-6.

Wanaooa zaidi ni ubinafsi wao na kiburi Chao. Ufahamu kuwa wakati wowote mwanaume aoapo wake wawili anazusha vita vya Israel na Palestine ktk familia zetu, kuanzia wake zetu hadi vijukuu! Je ni jambo jema mwanaume kuburudika huku akiacha madhara ya milele kwenye uzao atakaoacha hapa duniani? Tafakari!!!
Madhara gani ya milele?
Sisi tuliozaliwa kwenye ndoa za wake wengi mbona hatuoni madhara yoyote?
 
Kuna imani zengine wao kunakuwa na mambo ambayo ukifanya unapata dhambi na mambo mengine ukifanya haupati dhambi ila haipendezi kufanya.

Suala la ndoa huwa tunalitizama kwa mtazamo wa kutimiza hamu zetu za kimwili tu ila ndoa ni zaidi ya hivyo, hata waislamu wanaume hawajaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja kwa ajiri ya kutosheleza hamu zao za kimwili.
 
Back
Top Bottom