Hata amri 10 zimekuwepo kabla ya ukristo!, Au nakosea jamani?Ni watu ambao wana uwepo mkubwa kwenye ukristo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata amri 10 zimekuwepo kabla ya ukristo!, Au nakosea jamani?Ni watu ambao wana uwepo mkubwa kwenye ukristo
Ni kipimo gani kwamba kuoa hadi wake wanne inatosha kuondoa uzinzi? Kwanini sio watano, 6, au 11?Kuoa wake wengi inaondoa uzinzi.
Ukiwa na mke mmoja ukaenda kulala na kimada unakua umezini, ila huyo kimada nae akiwa mke wako unakua hujazini, bado hujaelewa tu?
Utofauti wa idadi ya me kwa ke ni mdogo sana haufiki 1:2. Tena yawezekana me ni wengi kidogo kuliko ke. Hebu jaribu kufanya ka utafiti. kidogo.kuna utofauti wa unchopenda na unachostahili. Unaweza kupenda uwe unakula peke yako lakini ni vema ukileta chakula nyumbani ule na wenzako.
Hata Rais wetu ni mke wa tatu na imelinda heshima yake kwamba ana ndoa.
kila mwanamke awe na mme wake haiwezekani maana wanaume ni wachache kuzidi wanawake na wapo wanaume wachache zaidi wanaoweza kuoa.
Kuna watu wanajua kutetea ujinga hadi inashangaza! Utasikia wanawake ni wengi kuliko wanaume hivyo kuoa wake wengi inasaidia kila mmoja aolewe! Upuuzi mtupu!Utofauti wa idadi ya me kwa ke ni mdogo sana haufiki 1:2. Tena yawezekana me ni wengi kidogo kuliko ke. Hebu jaribu kufanya ka utafiti. kidogo.
Umenitaja pamoja na , nifa na coca kwamba na mimi ni mzee wa ubuyu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Kuna watu wanajua kutetea ujinga hadi inashangaza! Utasikia wanawake ni wengi kuliko wanaume hivyo kuoa wake wengi inasaidia kila mmoja aolewe! Upuuzi mtupu!
As of 2023, There are (were) 4,042,987,695 or 4,043 million or 4.04 billion males in the world, representing 50.25% of the world population. The population of females in the world is estimated at 4,002,323,752 or 4,002 million or 4.00 billion, representing 49.75% of the world population. The world has 40,663,944 or 40.66 million more males than females.
Kwa statistics hizo, waruhusu mwanamke aolewe na wanaume wengi ili kila mwanaume apate mke! Kuna kabila moja huko Nigeria wana-practice huo utaratibu sio vibaya kujifunza kwao.
Nifah, cocastic, min -me, Mamndenyi, et. al.
Je ni dhambi kuoa mke zaidi ya moja ?
Kama ni dhambi, hio ni dhambi ipi waliyoitenda pia kina Musa, Lameki, Yakobo, Daudi, n.k. kwa kuoa zaidi ya mke moja ?
Uwiano wa ME kwa KE ni 1:1Utofauti wa idadi ya me kwa ke ni mdogo sana haufiki 1:2. Tena yawezekana me ni wengi kidogo kuliko ke. Hebu jaribu kufanya ka utafiti. kidogo.
Kabeeesa
Sio dhambi ila itakuwa umemkosea adabu Padre wako maana yeye hata mke mmoja hanaJe ni dhambi kuoa mke zaidi ya moja ?
Kama ni dhambi, hio ni dhambi ipi waliyoitenda pia kina Musa, Lameki, Yakobo, Daudi, n.k. kwa kuoa zaidi ya mke moja ?
Tatizo watu wengi wanashindwa kutofautisha kati ya waebrania,waisraeli,wayahudi na wakristo,hao wote aliowatolea mfano hakuna mkristo hata mmojaHao uliowataja hawakuwa Wakristo
Umeua sanaHao uliowataja hawakuwa Wakristo
Uchawi, wivu, fitina ndio mahali pake, wake wawili siku zote wanapiga a kwa ajili ya Mume mmoja, na ktk kufanya hivo nguvu nyingi hutumia ikiwepo uchawi.
Uwiano wa ME kwa KE ni 1:1
Madhara gani ya milele?Uchawi, wivu, fitina ndio mahali pake, wake wawili siku zote wanapiga a kwa ajili ya Mume mmoja, na ktk kufanya hivo nguvu nyingi hutumia ikiwepo uchawi.
Ikumbukwe kuwa tangu mwanzo Mungu aliumba mwamme na mwanamke... Ki-ration ni 1:1. Soma Mathayo 19:3-6.
Wanaooa zaidi ni ubinafsi wao na kiburi Chao. Ufahamu kuwa wakati wowote mwanaume aoapo wake wawili anazusha vita vya Israel na Palestine ktk familia zetu, kuanzia wake zetu hadi vijukuu! Je ni jambo jema mwanaume kuburudika huku akiacha madhara ya milele kwenye uzao atakaoacha hapa duniani? Tafakari!!!