Kikundi Cha AlQuds Brigades Chaonesha Kombe la Vita (Trophy) ililotwaa Kibabe kutoka Jeshi la Mazayuni Ghaza.

Si mmekaririshwa kuwa Yesu lazima auwawe ili misukule ipate kuokoka na dhambi. Sasa kwanini wachukiwe kwa kufanya jambo ambalo ulimwengu umeokaka kwa kuuwawa kwake?
 
Udini umekutafuna ubongo wako kiasi hujui hata unachokipost
 
Hizi imani.. masheikh wamehukumiwa kunyongwa hakuna wa kuwatetea, wanatia huruma tu.
Wanadai wameonewa lkn mwanzo waliaminishwa watapata 72 bikras
Nyie Nendeni Kwenye Pepo Yenu Ya Mikate Na Divai Sisi Tuacheni Na Mabikra Wetu 72 Peponi Ni Sehemu Ya Kustarehe Sio Sehemu Ya Kukabwa Na Mikate Mikavu,ni Wazi Bakhresa Ana Mikate Mitamu Kuliko Hata Ya Peponi Kwenu
 
Yumkini kitendo cha kufanya ngono kwa viumbe hai kiliwekwa kwa ajili ya kuzaliana ila utukutu wa binadamu ndiyo ukafanya wakione kama kitendo cha starehe mwisho Mungu akawafungia speed governor kwa kuweka ktk hiko kitendo magonjwa mbalimbali hatari.leo kuna ukimwi kuna kaswende kuna kufilisika kuna kuuwana kwa sababu ya ngono.

Leo hii wafugaji wanajua ng'ombe akionyesha dalili fulani anataka dume atiwe mimba na hawakosei,hata mkeo leo mkitaka kuengeza familia kuna tarehe zake na dalili zake mkifanya ngono matokeo mnayaona lakini mkifanya siku zisizokuwa za hatari hapati mimba,Mungu aliye makini hawezi kum-favour kiumbe wake starehe ya kipumbavu kama ngono labda hiyo ngono iwe ni tofauti na ninayoijua mimi ya kumuandaa mwanamke alainike u-pump jasho likutoke ukojoe ukatafute maji ukoge hiyo siyo starehe hayo ni mateso.
 
Dua za waislam duniani hizo.
 
Hawa jamaa hawa !.MashaAllah.
Shukran kwa maendeleo ya kiteknolojia.Israel wameshindwa kuwakatia mujahidina intaneti.
 
Udini umekutafuna ubongo wako kiasi hujui hata unachokipost
Tazama wajomba wa mungu wako wanavyokimbizana hovyo, hawana raha ya maisha:

Your browser is not able to display this video.
 
Teh! Akifa anaenda kufanya ngono na kina Osama bin laden
 
Kwa hiyo kuimba mapambio kuna raha gani, ww bosi wako akikwambia kuwa sintakulipa mshahara badala yake uniimbie mapambio siku mbili mfululizo bila kupumzika utakubali?

Yakuwa mungu makini hawezi kukupa ngono kam starehe ila Mungu makini ni yule anaye wambia kuwa wayahudi ni binadamu bora kuliko nyinyi ,mungu makini ndo anaye watuma kushangilia mauaji ya watoto na wanawake wasio na makosa kisa yana fanywa wa taifa mnalo ita teule, Mungu makini ni yule aliye waambia mfirane?

Kwa hiyo ww na mkeo huwa mnafanya mapenzi mara moja kwa miaka 3 kwa ajili ya kupata mtoto tu, siku nyingine huwa mnatazamana tu?
 
Hakuna Muislam anaemchukia Mkristo au wa dini nyengine yeyote yule. Uislam unatukataza kabisa hilo
Koran
5;51. Enyi waislamu! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki......
9;23. Enyi waislamu! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani....
 
Kuwa rafiki si lazima lakini kukutendea wema ni lazima kwani wewe mtaani kwako wote ni rafiki zako? Unaelewa maana ya urafiki
 
Mimi nafikiri ktk medani za kivita haya lazima yatokee kila upande kudunga mwenzake kwa nyanja tofauti tofauti, sasa wao kuwatwanga wenzao na kuwanyanga silaha ktk vita ni jambo lazima liwepo. Sidhanii kama wao wapo tuu wana subiri Israel iwapige bila kujitetea lazima wapambane maana nao walijitayarisha na wanajua wanacho kifanya na ndio maana walianzisha mapambano ile siku ya tarehe 7, kikubwa nikuomba rehema za Mungu huu mzozo umalizike, vinginevyo ni madhara makubwa sana kwa wasio na upande hasa wamama na watoto wadogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…