Kikundi Cha AlQuds Brigades Chaonesha Kombe la Vita (Trophy) ililotwaa Kibabe kutoka Jeshi la Mazayuni Ghaza.

Allah alishindwa kuelewa starehe ya ngono iliwekwa ili watu wazaane ,

Allah kazingua Sana 😂😂🤣
 
Mazayuni hawafi, hata wanapochapwa kambi zao. Wajomba zake mungu wa kina fulani watakufaje?

Your browser is not able to display this video.
 
Hakuna kitu kibaya kama msongo wa mawazo (stress)

Dunia nzima inapiga kelele kuwa Israel ipunguze kipigo, afu wewe unatuambia sijui mambo ya kombe hapa!?
 
Koran
5;51. Enyi waislamu! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki......
9;23. Enyi waislamu! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani....
Hapo unapoishi hakuna waislam? Hauna rafiki wa kiislamu?

Kaka maneno ya m/mungu hayatafsiliwi kibubusa, tafuta watu wenye akili wakusaidie
 
kwa nn unawachukia sana wakristo??unataka kila mtu awe muislam?
Kwani Kuna mahali yeye amesema anachumia wakristo???
KWANI WAYAHUDI NI WAKRISTO???
NAVYOJUA MM ISRAEL IMEUA WAKRISTO WENGI SANA PIA HATA ISRAEL KUNA MAKANISA YAMEVUNJWA KIMAKUSUDI ILI KUJENGA MAKAZI YA ISRAEL SETTLERS.
 
Hiki kikoso cha Ghosts wa Quds ni hatari kabisa, kimebadili mchezo wote. Ama wayahudi waikimbie medani ya uso kwa uso warushe mabomu kwa mbali na ndege. Ambayo kinamna ypyoyte ile huwa hayamalizi vita au wasimamisha tu mapigano, wamepunguza sana wanajeshi wao Ghaza baada ya kuchezea kichapo cha Mizimu ya Quds, tazama wanavyodunguliwa:

Your browser is not able to display this video.
 
Hiki kikoso cha Ghosts wa Quds ni hatari kabisa, kimebadili mchezo wote. Ama wayahudi waikimbie medani ya uso kwa uso warushe mabomu kwa mbali na ndege. Ambayo kinamna ypyoyte ile huwa hayamalizi vita au wasimamisha tu mapigano, wamepunguza sana wanajeshi wao Ghaza baada ya kuchezea kichapo cha Mizimu ya Quds, tazama wanavyodunguliwa:

View attachment 2850996
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…