Kikundi cha Mamluki chaandaliwa kumshambulia Mbowe kwenye vyombo vya Habari kisa kaitaja Zanzibar kutohusika na Mkataba wa Bandari

..Kibajaji na Msukuma ndio wajibu hoja wa Ccm siku hizi.

..Katibu Mkuu Chongola alifanya ziara mkoani Iringa na wazungumzaji wakuu kujibu hoja za Chadema walikuwa Kibajaji na Lusinde.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mnajihami kwa kujua amekosea matamshi au unatabiri yajayo?
 
hata wamshambulie vipi watz uko macho nchi yetu inaharibiwa na huu muungano.wazanzibar wanampango wa kuharibu nchi yetu kwa kuwaleta ndugu zao waliowatawala waarabu.mbowe si mbaguzi yuko sahihi kabisa,tanganyika ni ya watanganyika ni si ya wanzanzibari.wao waende wakaiuze nchi yao.kibajai,msukuma na huyo rashid ni mabwege tu.
 
Zitto anasema msiongee kibaguzi , ongeeni kizalendo
 
Hatujamumunya maneno hata kidogo.

Kwenye A tumeweka A.

Huu mkataba unaharufu ya ufisadi na moja kwa moja ni wazi kuwa rais Samia ana vinasaba vya waarabu anaoingia nao mkataba kwa maslahi yake na sio Tanganyika.

Kama ni maboresho iliatakiwa tukope pesa Wb na kuwekeza kwenye miundo mbinu na utalaamu. Cranes zipo, na utalaamu unapatikanika.

Chadema tupo vizuri japokuwa Mbowe anatuangusha sometimes
 
Mbona mpo ITALY??! MNATUACHA WAPWEKE
 
Modes plz heading isomeke... Chadema wameonyesha.. na sio Chadema tumeonyesha!! Mleta mada ni mwanaccm kindakindaki!!!
 
Makubaliano yote ambayo serikali inapitisha kwa style ya zimamoto bungeni yana vinasaba vya ufisadi wa viongozi wakuu wa serikali akiwemo Rais.
 
Wewe kilaza wa uvccm nani asiyekujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…