Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee Watanzania tuna matatizo sana, yaani wewe unawaza hili kwenye hoja ya msingi [emoji848]Hakuna mwenye muda wa kumshambulia mtu alopata Division 0 Form 4
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]..Kibajaji na Msukuma ndio wajibu hoja wa Ccm siku hizi.
..Katibu Mkuu Chongola alifanya ziara mkoani Iringa na wazungumzaji wakuu kujibu hoja za Chadema walikuwa Kibajaji na Lusinde.
Wanafiki wote wataanikwa tuHata Zitto kabwe nina wasiwasi nae,nimesikiliza clip yake imekaa kinafiki zaidi.
Mnajihami kwa kujua amekosea matamshi au unatabiri yajayo?Taarifa tulizonazo mpaka sasa ni kwamba kimeandaliwa kikundi cha dharura cha kumshambulia Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kwenye mitandao ya kijamii, redioni, barabarani, vichochoroni na kwenye TV na media zote.
Mamluki hao wameelekezwa kumshambulia Mbowe kwa kile kinachosemwa kwamba Ameibagua Zanzibar kwa KUFICHUA KWAMBA MKATABA WA KUUZA BANDARI HAUJAGUSA BANDARI ZA ZANZIBAR, bali zilizoguswa ni Bandari za Bara tu na kwamba aliyesaini mkataba huo ni Makame Mnyaa Mbarawa ambaye ni Mzanzibar, tena katika uongozi wa Rais aliyetokea Zanzibar.
Taarifa zaidi zinadokeza kwamba miongoni mwa mamluki waliotangulizwa mbele kumshambulia Mbowe yumo Hamad Rashid, Lusinde, Msukuma na wengine kadhaa kutoka vyama vya Upinzani.
Bali tunachowaambia ni hiki, Mbowe hatobabaishwa na mashambulizi duni kama haya, tena kutoka kwa watu wasiojielewa kama waliotajwa hapo, ataendelea kusimamia ukweli bila kumung'unya maneno bila kujali mawe atakayorushiwa.
Wananchi wote wameelewa makando kando yote yaliyogubika Mkataba huu.
Mungu Ibariki CHADEMA.
usiondoke jfMnajihami kwa kujua amekosea matamshi au unatabiri yajayo?
hata wamshambulie vipi watz uko macho nchi yetu inaharibiwa na huu muungano.wazanzibar wanampango wa kuharibu nchi yetu kwa kuwaleta ndugu zao waliowatawala waarabu.mbowe si mbaguzi yuko sahihi kabisa,tanganyika ni ya watanganyika ni si ya wanzanzibari.wao waende wakaiuze nchi yao.kibajai,msukuma na huyo rashid ni mabwege tu.Taarifa tulizonazo mpaka sasa ni kwamba kimeandaliwa kikundi cha dharura cha kumshambulia Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kwenye mitandao ya kijamii, redioni, barabarani, vichochoroni na kwenye TV na media zote.
Mamluki hao wameelekezwa kumshambulia Mbowe kwa kile kinachosemwa kwamba Ameibagua Zanzibar kwa KUFICHUA KWAMBA MKATABA WA KUUZA BANDARI HAUJAGUSA BANDARI ZA ZANZIBAR, bali zilizoguswa ni Bandari za Bara tu na kwamba aliyesaini mkataba huo ni Makame Mnyaa Mbarawa ambaye ni Mzanzibar, tena katika uongozi wa Rais aliyetokea Zanzibar.
Taarifa zaidi zinadokeza kwamba miongoni mwa mamluki waliotangulizwa mbele kumshambulia Mbowe yumo Hamad Rashid, Lusinde, Msukuma na wengine kadhaa kutoka vyama vya Upinzani.
Bali tunachowaambia ni hiki, Mbowe hatobabaishwa na mashambulizi duni kama haya, tena kutoka kwa watu wasiojielewa kama waliotajwa hapo, ataendelea kusimamia ukweli bila kumung'unya maneno bila kujali mawe atakayorushiwa.
Wananchi wote wameelewa makando kando yote yaliyogubika Mkataba huu.
Mungu Ibariki CHADEMA.
Zitto anasema msiongee kibaguzi , ongeeni kizalendohata wamshambulie vipi watz uko macho nchi yetu inaharibiwa na huu muungano.wazanzibar wanampango wa kuharibu nchi yetu kwa kuwaleta ndugu zao waliowatawala waarabu.mbowe si mbaguzi yuko sahihi kabisa,tanganyika ni ya watanganyika ni si ya wanzanzibari.wao waende wakaiuze nchi yao.kibajai,msukuma na huyo rashid ni mabwege tu.
Mbona mpo ITALY??! MNATUACHA WAPWEKEHatujamumunya maneno hata kidogo.
Kwenye A tumeweka A.
Huu mkataba unaharufu ya ufiasdi na moja kwa moja ni wazi kuwa rais Samia ana vinasaba vya waarabu anaoingia nao mkataba kwa maslahi yake na sio Tanganyika.
Kama ni maboresho iliatakiwa tukope pesa Wb na kuwekeza kwenye miundo mbinu na utalaamu. Cranes zipo, na utalaamu unapatikanika.
Chadema tupo vizuri japokuwa Mbowe anatuangusha sometimes
Unaweza kukuta safari yao imegharamiwa na DP World🤣🤣Mbona mpo ITALY??! MNATUACHA WAPWEKE
Modes plz heading isomeke... Chadema wameonyesha.. na sio Chadema tumeonyesha!! Mleta mada ni mwanaccm kindakindaki!!!Hatujamumunya maneno hata kidogo.
Kwenye A tumeweka A.
Huu mkataba unaharufu ya ufiasdi na moja kwa moja ni wazi kuwa rais Samia ana vinasaba vya waarabu anaoingia nao mkataba kwa maslahi yake na sio Tanganyika.
Kama ni maboresho iliatakiwa tukope pesa Wb na kuwekeza kwenye miundo mbinu na utalaamu. Cranes zipo, na utalaamu unapatikanika.
Chadema tupo vizuri japokuwa Mbowe anatuangusha sometimes
Huyu ni Uvccm pure! Wee utakua mgen humu!!Mbona mpo ITALY??! MNATUACHA WAPWEKE
Kabisa maana sisi watz WANAFIKI SANAUnaweza kukuta safari yao imegharamiwa na DP World[emoji1787][emoji1787]
Hapana, CCM ndio mmezoea ufisadiUnaweza kukuta safari yao imegharamiwa na DP World🤣🤣
Lini viongozi wote Wakuu wa Chadema walisafiri kwa pamoja?Hapana, CCM ndio mmezoea ufisadi
CCM hakuna makamanda. Huyu ni mtu wenu wa Ufipa.Modes plz heading isomeke... Chadema wameonyesha.. na sio Chadema tumeonyesha!! Mleta mada ni mwanaccm kindakindaki!!!
Wewe kilaza wa uvccm nani asiyekujuaHatujamumunya maneno hata kidogo.
Kwenye A tumeweka A.
Huu mkataba unaharufu ya ufisadi na moja kwa moja ni wazi kuwa rais Samia ana vinasaba vya waarabu anaoingia nao mkataba kwa maslahi yake na sio Tanganyika.
Kama ni maboresho iliatakiwa tukope pesa Wb na kuwekeza kwenye miundo mbinu na utalaamu. Cranes zipo, na utalaamu unapatikanika.
Chadema tupo vizuri japokuwa Mbowe anatuangusha sometimes