Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maseta !!! Hata mimi nilichukia ndio maana nikamwita ni falaDaaah, I'm sorry mkuu, kanikera sana huyo jamaa.. matokeo ya shuleni yanaingiaje kwenye jambo nyeti kama hili?? Hawa Jamaa ni mapimbi mno
Wataboresha gati zote, ila wataendesha baadhi.
Kikubwa siyo tu kakukundi hako kushambulia hotuba ya Mbowe bali ni kundi lisiloonekana lenye kinga ya kutoshtakiwa kwa kila amri wanayopewa kutekeleza dhidi ya target.....Taarifa tulizonazo mpaka sasa ni kwamba kimeandaliwa kikundi cha dharura cha kumshambulia Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kwenye mitandao ya kijamii, redioni, barabarani, vichochoroni na kwenye TV na media zote.
Mamluki hao wameelekezwa kumshambulia Mbowe kwa kile kinachosemwa kwamba Ameibagua Zanzibar kwa KUFICHUA KWAMBA MKATABA WA KUUZA BANDARI HAUJAGUSA BANDARI ZA ZANZIBAR, bali zilizoguswa ni Bandari za Bara tu na kwamba aliyesaini mkataba huo ni Makame Mnyaa Mbarawa ambaye ni Mzanzibar, tena katika uongozi wa Rais aliyetokea Zanzibar.
Taarifa zaidi zinadokeza kwamba miongoni mwa mamluki waliotangulizwa mbele kumshambulia Mbowe yumo Hamad Rashid, Lusinde, Msukuma na wengine kadhaa kutoka vyama vya Upinzani.
Bali tunachowaambia ni hiki, Mbowe hatobabaishwa na mashambulizi duni kama haya, tena kutoka kwa watu wasiojielewa kama waliotajwa hapo, ataendelea kusimamia ukweli bila kumung'unya maneno bila kujali mawe atakayorushiwa.
Wananchi wote wameelewa makando kando yote yaliyogubika Mkataba huu.
Mungu Ibariki CHADEMA.
Ndio sehemu watakayopewa berth 5 to 7 hiyo ndio intention ya serikali ata manager wa dar port kalielezea hilo last week...i think it is risky kuwapa kazi ya kuboresha gati za bandari yetu.
..wakiboresha wataanza kudai warejeshewe gharama walizotumia na hicho kitakuwa ni kichaka chao cha kutupiga.
..binafsi ningependelea wapewe kandarasi ya kuendesha container terminal iliyokuwa chini ya Ticts.
..ikionekana wanafanya vizuri na mapato yameongezeka ndipo tuongeze wigo wa mashirikiano yetu.
..tukumbuke kwamba Dubai wanakuja kufanya biashara na sio kutoa msaada.
..Na hawa Dubai Ports wameshaingia ktk migogoro na nchi kama Djibout walipokuwa wanaendesha bandari.
Ni mashambulizi au kumjibu. Huyo hapo mmoja kibajaji keshaanza.
Siasa za Tanzania lakini
Mnampandisha chati Lusinde/Kibajaj kwani huyu ni wa shule ya vidudu hajui kitu anabwabwaja tu! Benki kuu iliungua wakati Charles Nyirabu akiwa Gavana wa benki kuu. Msameheni huyo mgogo kichwa chake kimejaa pumba!..Ccm walipaswa kumtuma mtu mwenye akili kumjibu Mbowe.
..Lusinde amechemka ktk kauli nyingi alizotoa kumjibu Mbowe.
..Kosa moja la Lusinde ni kudai Benki Kuu iliungua wakati Edwin Mtei akiwa Gavana.
..Pia Mbowe hajapinga Ssh kuwa Rais wa Tanzania, alichopinga ni Mzanzibari kuteuliwa ktk wizara isiyo ya muungano.
CCM hatukumtuma Magu Wala Sa100 kuuza bandari zote za bara Kwa wageni, ILANI ya Uchaguzi 2020 Iko wazi, walitakiwa kuzibwa mianya ya wizi na kubuni njia za kuongeza ufanisi .Hatuna urafiki wa kudumu na Mwanasiasa ila tuna Maslahi ya kudumu na Nchi yetu
Tutasimama na Freeman Mbowe kupinga kwa nguvu zote kuporwa kwa Bandari zetu.
Hata heka heka hii ya kupinga Dhulma hii inatoka ndani ya Ccm sema wanetumia platform ya nje ya Chama kama ambavyo watawala wengi walipingwa ndani ya Chama kwa Platform ya Nje ya ChamaCCM hatukumtuma Magu Wala Sa100 kuuza bandari zote za bara Kwa wageni, ILANI ya Uchaguzi 2020 Iko wazi, walitakiwa kuzibwa mianya ya wizi na kubuni njia za kuongeza ufanisi .
Sa100 must go!!!
Kwa mara ya kwanza mkataba nyeti umevujishwa.Hata heka heka hii ya kupinga Dhulma hii inatoka ndani ya Ccm sema wanetumia platform ya nje ya Chama kama ambavyo watawala wengi walipingwa ndani ya Chama kwa Platform ya Nje ya Chama
CCM ina wazalendo wengi sana japo kuna wachache wanaharibu brand ya Chama
Ni mashambulizi au kumjibu. Huyo hapo mmoja kibajaji keshaanza.
Siasa za Tanzania lakini
Ni mashambulizi au kumjibu. Huyo hapo mmoja kibajaji keshaanza.
Siasa za Tanzania lakini
Mnampandisha chati Lusinde/Kibajaj kwani huyu ni wa shule ya vidudu hajui kitu anabwabwaja tu! Benki kuu iliungua wakati Charles Nyirabu akiwa Gavana wa benki kuu. Msameheni huyo mgogo kichwa chake kimejaa pumba!
Division 0 anayejambisha maprofesa uchwara kina kabudi.