Kikundi cha Mamluki chaandaliwa kumshambulia Mbowe kwenye vyombo vya Habari kisa kaitaja Zanzibar kutohusika na Mkataba wa Bandari

Kikundi cha Mamluki chaandaliwa kumshambulia Mbowe kwenye vyombo vya Habari kisa kaitaja Zanzibar kutohusika na Mkataba wa Bandari

Wataboresha gati zote, ila wataendesha baadhi.

..i think it is risky kuwapa kazi ya kuboresha gati za bandari yetu.

..wakiboresha wataanza kudai warejeshewe gharama walizotumia na hicho kitakuwa ni kichaka chao cha kutupiga.

..binafsi ningependelea wapewe kandarasi ya kuendesha container terminal iliyokuwa chini ya Ticts.

..ikionekana wanafanya vizuri na mapato yameongezeka ndipo tuongeze wigo wa mashirikiano yetu.

..tukumbuke kwamba Dubai wanakuja kufanya biashara na sio kutoa msaada.

..Na hawa Dubai Ports wameshaingia ktk migogoro na nchi kama Djibout walipokuwa wanaendesha bandari.
 
Taarifa tulizonazo mpaka sasa ni kwamba kimeandaliwa kikundi cha dharura cha kumshambulia Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kwenye mitandao ya kijamii, redioni, barabarani, vichochoroni na kwenye TV na media zote.

Mamluki hao wameelekezwa kumshambulia Mbowe kwa kile kinachosemwa kwamba Ameibagua Zanzibar kwa KUFICHUA KWAMBA MKATABA WA KUUZA BANDARI HAUJAGUSA BANDARI ZA ZANZIBAR, bali zilizoguswa ni Bandari za Bara tu na kwamba aliyesaini mkataba huo ni Makame Mnyaa Mbarawa ambaye ni Mzanzibar, tena katika uongozi wa Rais aliyetokea Zanzibar.

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba miongoni mwa mamluki waliotangulizwa mbele kumshambulia Mbowe yumo Hamad Rashid, Lusinde, Msukuma na wengine kadhaa kutoka vyama vya Upinzani.

Bali tunachowaambia ni hiki, Mbowe hatobabaishwa na mashambulizi duni kama haya, tena kutoka kwa watu wasiojielewa kama waliotajwa hapo, ataendelea kusimamia ukweli bila kumung'unya maneno bila kujali mawe atakayorushiwa.

Wananchi wote wameelewa makando kando yote yaliyogubika Mkataba huu.

Mungu Ibariki CHADEMA.
Kikubwa siyo tu kakukundi hako kushambulia hotuba ya Mbowe bali ni kundi lisiloonekana lenye kinga ya kutoshtakiwa kwa kila amri wanayopewa kutekeleza dhidi ya target.....

Lord Have Mercy
 
We chawa wa mbowe, Zanzibar hakuna ulazima wa kupanua bandari coz sio lango la kupokea mizigo ya locked countries, bandari za bara ni lazima zisimamiwe na akili kubwa ili kuleta ufanisi make nchi 15 zinategemea bandari za tz bara
 
..i think it is risky kuwapa kazi ya kuboresha gati za bandari yetu.

..wakiboresha wataanza kudai warejeshewe gharama walizotumia na hicho kitakuwa ni kichaka chao cha kutupiga.

..binafsi ningependelea wapewe kandarasi ya kuendesha container terminal iliyokuwa chini ya Ticts.

..ikionekana wanafanya vizuri na mapato yameongezeka ndipo tuongeze wigo wa mashirikiano yetu.

..tukumbuke kwamba Dubai wanakuja kufanya biashara na sio kutoa msaada.

..Na hawa Dubai Ports wameshaingia ktk migogoro na nchi kama Djibout walipokuwa wanaendesha bandari.
Ndio sehemu watakayopewa berth 5 to 7 hiyo ndio intention ya serikali ata manager wa dar port kalielezea hilo last week.

Ila kwa uzoefu wao kuna sehemu zingine wameona kuna shida za inventory control issues hapo bandarini kwenye kuingiza na kutoa mizigo on dry ports. Kwa hiyo huko nako wana mpango wa kuboresha kwenye kuingiza na kutoa mizigo bandarini. Sina uhakika areas hizo zitakuwa on consultation basis or fully operational rights.

Wakimaliza ufanisi wa bandari ndio ‘phase two’, inaweza kuanza TPA watawapangia waende wapi ziwani ili process iwe faster zaidi kwa nchi zinazotumia Dar port.

You have to look at the bigger picture, hizo cranes za kisasa zinauwezo wa kushusha makasha 40 kwa saa zinafanya kazi 24/7 zipo tatu kila berth hiyo volume itakuwa sio ndogo. Ndio maana huko mbeleni kuna mipango ya kuhakikisha hakuna bottle neck mpaka inatoka nje ya nchi.

Leo hizi cranes zinauwezo wa kushusha makasha 18 kwa saa bado uwezo wa kutoa mizigo kwa speed bandari awawezi. Sasa uwatolee makasha 120 kwa saa si kasheshe tena hiyo berth moja tu.

Ni uwekezaji wenye tija, if and I repeat if we get good terms. Umeangalia bigger picture strategically. Kuwe tu na performance measurement wakishindwa kuzifikia iwe sababu ya kuvunja mkataba.
 
Attachments

  • 3CB1621F-EDAC-4EE5-9609-494FB3D82A66.jpeg
    3CB1621F-EDAC-4EE5-9609-494FB3D82A66.jpeg
    24.4 KB · Views: 1
..Ccm walipaswa kumtuma mtu mwenye akili kumjibu Mbowe.

..Lusinde amechemka ktk kauli nyingi alizotoa kumjibu Mbowe.

..Kosa moja la Lusinde ni kudai Benki Kuu iliungua wakati Edwin Mtei akiwa Gavana.

..Pia Mbowe hajapinga Ssh kuwa Rais wa Tanzania, alichopinga ni Mzanzibari kuteuliwa ktk wizara isiyo ya muungano.
Mnampandisha chati Lusinde/Kibajaj kwani huyu ni wa shule ya vidudu hajui kitu anabwabwaja tu! Benki kuu iliungua wakati Charles Nyirabu akiwa Gavana wa benki kuu. Msameheni huyo mgogo kichwa chake kimejaa pumba!
 
Hatuna urafiki wa kudumu na Mwanasiasa ila tuna Maslahi ya kudumu na Nchi yetu

Tutasimama na Freeman Mbowe kupinga kwa nguvu zote kuporwa kwa Bandari zetu.
CCM hatukumtuma Magu Wala Sa100 kuuza bandari zote za bara Kwa wageni, ILANI ya Uchaguzi 2020 Iko wazi, walitakiwa kuzibwa mianya ya wizi na kubuni njia za kuongeza ufanisi .

Sa100 must go!!!
 
CCM hatukumtuma Magu Wala Sa100 kuuza bandari zote za bara Kwa wageni, ILANI ya Uchaguzi 2020 Iko wazi, walitakiwa kuzibwa mianya ya wizi na kubuni njia za kuongeza ufanisi .

Sa100 must go!!!
Hata heka heka hii ya kupinga Dhulma hii inatoka ndani ya Ccm sema wanetumia platform ya nje ya Chama kama ambavyo watawala wengi walipingwa ndani ya Chama kwa Platform ya Nje ya Chama

CCM ina wazalendo wengi sana japo kuna wachache wanaharibu brand ya Chama
 
Kwa mara ya kwanza mkataba nyeti umevujishwa.

Kama ni Kwa maslah ya nchi hakuna tatizo.

Tukiruhusu upuuzi huo, tutazifungia Nchi Jirani kama Congo DRC, Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi nk nk.

Tusikubali hili Asilani!!!!
 
Ni mashambulizi au kumjibu. Huyo hapo mmoja kibajaji keshaanza.

Siasa za Tanzania lakini

Hii takataka inayoitwa Lushindo huwe siipendi kwa inavyojipendekeza utadhani si riziki. Hapa nadhani anatafuta mama amuone lau amtupie kombo. Kwanin CCM hawafanyi kujikomba kwa rais kama sera yao kuu? Kila anayeamka mama sijui dokta wakati rais mwenyewe hata master hana zaidi ya ile waliyopewa kama kundi kwa kudukua kazi za watu
 
Mnampandisha chati Lusinde/Kibajaj kwani huyu ni wa shule ya vidudu hajui kitu anabwabwaja tu! Benki kuu iliungua wakati Charles Nyirabu akiwa Gavana wa benki kuu. Msameheni huyo mgogo kichwa chake kimejaa pumba!

..Kibajaji na Msukuma ndio wajibu hoja wa Ccm siku hizi.

..Katibu Mkuu Chongola alifanya ziara mkoani Iringa na wazungumzaji wakuu kujibu hoja za Chadema walikuwa Kibajaji na Lusinde.
 
Lusinde hatukatai maendeleo.. Tunakataa utumwa... Jibu hoja nini kama taifa tunanufaika, na mkataba huo muda gani... Unalopoka tuuu mtu mzima.... Tena wambie wenzio mnaopanga kupitisha, mtandao hausahau... Nyie na uzao wenu ipo siku mtajuta... Mtatamani kubadili sura na majina ila mtajikuta mshachelewa.... 😎😎
 
Back
Top Bottom