SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kibaka mwenzenu wa chama cha mafisadiCCM hakuna makamanda. Huyu ni mtu wenu wa Ufipa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibaka mwenzenu wa chama cha mafisadiCCM hakuna makamanda. Huyu ni mtu wenu wa Ufipa.
Kwa ndio Dp world?Lini viongozi wote Wakuu wa Chadema walisafiri kwa pamoja?
Wewe hujawahi kuwa Chadema acha unafiki, kwanza Mbowe na Chadema hawakuwahi kulamba asali ni propaganda za Mitandaoni tuHatujamumunya maneno hata kidogo.
Kwenye A tumeweka A.
Huu mkataba unaharufu ya ufisadi na moja kwa moja ni wazi kuwa rais Samia ana vinasaba vya waarabu anaoingia nao mkataba kwa maslahi yake na sio Tanganyika.
Kama ni maboresho iliatakiwa tukope pesa Wb na kuwekeza kwenye miundo mbinu na utalaamu. Cranes zipo, na utalaamu unapatikanika.
Chadema tupo vizuri japokuwa Mbowe anatuangusha sometimes
Acha upuuzi.Huyu ni Uvccm pure! Wee utakua mgen humu!!
Unajitoa fahamu? Mimi ni kamanda . Nimeteseka na kuumia kwa ajili ya chama changu toka kitambo. Unaijua ofisi ya Chadema pale Mwembe yanga jirani na Kisuma? Nimehangaika sana pale.Wewe hujawahi kuwa Chadema acha unafiki, kwanza Mbowe na Chadema hawakuwahi kulamba asali ni propaganda za Mitandaoni tu
Wewe unaangushwa na mafisadi,mapapa ambao unawajua na huenda ni mtetezi wao kupitia kichaka unachojifichia cha ukamanda chokambaya😂😂Hatujamumunya maneno hata kidogo.