Kikundi cha Mamluki chaandaliwa kumshambulia Mbowe kwenye vyombo vya Habari kisa kaitaja Zanzibar kutohusika na Mkataba wa Bandari

Hatujamumunya maneno hata kidogo.

Kwenye A tumeweka A.

Huu mkataba unaharufu ya ufisadi na moja kwa moja ni wazi kuwa rais Samia ana vinasaba vya waarabu anaoingia nao mkataba kwa maslahi yake na sio Tanganyika.

Kama ni maboresho iliatakiwa tukope pesa Wb na kuwekeza kwenye miundo mbinu na utalaamu. Cranes zipo, na utalaamu unapatikanika.

Chadema tupo vizuri japokuwa Mbowe anatuangusha sometimes
Wewe hujawahi kuwa Chadema acha unafiki, kwanza Mbowe na Chadema hawakuwahi kulamba asali ni propaganda za Mitandaoni tu
 
Unajitoa fahamu? Mimi ni kamanda . Nimeteseka na kuumia kwa ajili ya chama changu toka kitambo. Unaijua ofisi ya Chadema pale Mwembe yanga jirani na Kisuma? Nimehangaika sana pale.
 
Hatujamumunya maneno hata kidogo.

Kwenye A tumeweka A.

Huu mkataba unaharufu ya ufisadi na moja kwa moja ni wazi kuwa rais Samia ana vinasaba vya waarabu anaoingia nao mkataba kwa maslahi yake na sio Tanganyika.

Kama ni maboresho iliatakiwa tukope pesa Wb na kuwekeza kwenye miundo mbinu na utalaamu. Cranes zipo, na utalaamu unapatikanika.

Chadema tupo vizuri japokuwa Mbowe anatuangusha sometimes
Wewe unaangushwa na mafisadi,mapapa ambao unawajua na huenda ni mtetezi wao kupitia kichaka unachojifichia cha ukamanda chokambaya😂😂
 
Back
Top Bottom