Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Nimeipenda hiiππSisi kikundi chetu cha WhatsApp unajiunga kwa link.
Kiingilio chao bei gani?Uongo.hakuna kikundi Cha kiingilio milioni Miatano ispokuwa kaongea kama utani na kufanya gumzo Kwa watu.Milioni Miatano ni sawa V8GXR new model.waache utani.
Unafikiri kila mtu ni fukara kama weweUongo.hakuna kikundi Cha kiingilio milioni Miatano ispokuwa kaongea kama utani na kufanya gumzo Kwa watu.Milioni Miatano ni sawa V8GXR new model.waache utani.
Hao ni mabillionea, wana mabiashara makubwa..!!Just imagine mtu anaetoa 500m kama membership fee unafikiri yeye mwenyewe ana hela kiasi gani?
Cha kwetu sasa π π π π kikianza tu kinasambaratika π π π na tuko KilimanjaroπNikikumbuka cha kwetu ukingani million moja na laki tano nabaki nalia πππ
Inshallah tutafika huko π€£πΉπΉ
Wala usibishe watu wana pesa mkuu.!Uongo.hakuna kikundi Cha kiingilio milioni Miatano ispokuwa kaongea kama utani na kufanya gumzo Kwa watu.Milioni Miatano ni sawa V8GXR new model.waache utani.
Tunacho cha mashangazi kila siku ugomvi wote tunazijua pesa..!! πΉπΉCha kwetu sasa π π π π kikianza tu kinasambaratika π π π na tuko Kilimanjaroπ
MashangaziTunacho cha mashangazi kila siku ugomvi wote tunazijua pesa..!! πΉπΉ
Tutafute Pesa Jamani zinaleta heshima, ukiwa huna Pesa ukienda ugenini wanakuletea Coca ya Moto na Biscuit za 200.ππ π .Tunacho cha mashangazi kila siku ugomvi wote tunazijua pesa..!! πΉπΉ
Kabisa hata humu wapo , kuna mwamba mmoja yupo humu mpaka chopa anayo , ndio mtu nilijulia jf kwake ila sijawahi hata kuhisi I'd yake ni ipiπ€Wala usibishe watu wana pesa mkuu.!
Hii utaona km chai ukiwa huna pesa ila kwa wenye nazo ni vitu vidogo.!!
Ndio, waliogoma kuolewa mayai wamelia chips πΉπΉπΉMashangazi
Walikuheshimu wenzio wanapewa ice cream ya hamsini upate vichomi urudi kwenu πΉπΉTutafute Pesa Jamani zinaleta heshima, ukiwa huna Pesa ukienda ugenini wanakuletea Coca ya Moto na Biscuit za 200.ππ π .
maishapopoteMember wa hiki kikundi ni kina nani? Tuwekee majina yao
Kiingilio chenu sh ngp, kuna mshangazi hapa unaulizaNdio, waliogoma kuolewa mayai wamelia chips πΉπΉπΉ
Nimecheka sana Jamani π π π π π π πWalikuheshimu wenzio wanapewa ice cream ya hamsini upate vichomi urudi kwenu πΉπΉ
Watu wana mawe, kuna bro kkoo mauzo kwa siku analaza 400mln.!!Kabisa hata humu wapo , kuna mwamba mmoja yupo humu mpaka chopa anayo , ndio mtu nilijulia jf kwake ila sijawahi hata kuhisi I'd yake ni ipiπ€
Ukiwa huna Pesa kwenye Vikao vya familia ukitaka tu kuchangia hoja. Unakuwa unaonekana unataka kumpiga mtuπ π π unatolewa nje π π π π π πNimecheka sana Jamani π π π π π π π
Ngoja mimi nigange njaa tu aseeπWatu wana mawe, kuna bro kkoo mauzo kwa siku analaza 400mln.!!
Kuna mmama tunapiga naye umbea ila kkoo anamiliki ghorofa 5