Kikundi chenu kina kiingilio cha shilingi ngapi? Kutana na Royal Family, kiingilio shilingi milioni mia tano!

Kikundi chenu kina kiingilio cha shilingi ngapi? Kutana na Royal Family, kiingilio shilingi milioni mia tano!

Uongo.hakuna kikundi Cha kiingilio milioni Miatano ispokuwa kaongea kama utani na kufanya gumzo Kwa watu.Milioni Miatano ni sawa V8GXR new model.waache utani.
Wala usibishe watu wana pesa mkuu.!
Hii utaona km chai ukiwa huna pesa ila kwa wenye nazo ni vitu vidogo.!!
 
Kilimanjaro wapo na nimewashuhudia mara kadhaa wakiwa wamekodi Hotel kubwa kubwa wakifanya sherehe zao.huku ulinzi ukiwa umeimarishwa kila kona.
 
Kabisa hata humu wapo , kuna mwamba mmoja yupo humu mpaka chopa anayo , ndio mtu nilijulia jf kwake ila sijawahi hata kuhisi I'd yake ni ipi๐Ÿค”
Watu wana mawe, kuna bro kkoo mauzo kwa siku analaza 400mln.!!
Kuna mmama tunapiga naye umbea ila kkoo anamiliki ghorofa 5
 
Back
Top Bottom