Hawa LAKARAWA wana itikadi ya dini?Lukarawa ni kikundi kilichoasisiwa huko Sokoto State Nigeria na kina Magaidi kutoka Nigeria Mali Burkina Faso na Niger.
Nigerian Armed Forces sasa hivi inapambana na Boko Haramu na kuzuka kwa kikundi hiki watakuwa wanapigana katika "two fronts"
Majihadi hao inasemeka idadi yao haijulikani lakini wanaweza kufika Magaidi elfu nane.
View: https://youtu.be/JUaMZr3myOw?si=nTMs18tBUr_CyHyl
Kuna jambo najiuliza wao master planers wanafaidika nini na mauaji? Au wanatengeneza kama distraction ya jambo zito linaloendelea nchinithing is there's someone from inside engineering these groups.
Ever wondered where do they get the weapons and food given the time spent hiding in the wilds?
You need a super intelligent agency to spot the moles from within and dismantle the chain. Who want to orchestrate this?
na huo ndo ukweli,...ukiona nchi inasumbuliwa na Ugaidi,...jua kabisa,..ndani ya system kuna watu wanaobariki hayo matendo yao,.....Aliona mbali mnooo
Unajua unaweza ona jambo tofauti ila ukiingia kwenye system ukaishiwa nguvu kuona mambo yenyewe namna yanatendeka
kbs haya makundi yanaundwa kuwafanya raia kuwazia usalama wao na sio hatima ya vizaz vyao vya keshoInawezekana ikawa kweli. Mfano Joseph Koni lilikuwa zao la Mseven. Kasumbua Uganda miaka yote
Sahihi. Just to create instability and weaken the ruling government.Kuna jambo najiuliza wao master planers wanafaidika nini na mauaji? Au wanatengeneza kama distraction ya jambo zito linaloendelea nchini
Kwani wakristo wana alama ? Sema target yao ni raia acha upuuziInasemekana hao Islamic Jihadist wanashambulia Nigeria halafu wanavuka mpaka na kuingia Niger.
Target yao ni Wakristo na vyombo vya Dola ya Federal Republic ya Nigeria.
Tuletee ushahid wa kuuliwa hao wakristo ?na ujuaje kua ni maiti ya kikristoKwahiyo hizo Nchi zifadhili Magaidi kwa ajili ya kuua Wakristo?!
Tuliyapinga na imeisha, nyinyi kuuwawa Kwa Osama mmelalama wakati ndugu zetu Dar walipoteza maisha!Imani ipi mimi mmoja kati ya wengi ambao napingana na ugaidi ntakutajia moja la anti balaka magaidi wa Ki kristo hawa wengine nenda kagugo mwenyewe
Kwani yapo sasa?Wewe umezaliwa jana na akili yako umedumazwa na ugali wa Mahindi. Waasisi wa makundinya kigaidi ni Ulaya na MAREKANI Kwa Wazungu. Wala siyo Waislamu. Ingia hata google ukatafute makundinya kigaidi ya Kikristo yaliyowahi kuzitesa Dunia.
Hadithi nzurinzuri kama hiyo alikufundisha nani muhishimiwa?Makundi yote ya Kigaidi ni Project za Marekani na Nchi za Kikristo za Ulaya hasa Ufaransa na Uingereza
Ni dini gani hawa?Lukarawa ni kikundi kilichoasisiwa huko Sokoto State Nigeria, na kina Magaidi kutoka Nigeria Mali Burkina Faso na Niger.
Nigerian Armed Forces sasa hivi inapambana na Boko Haramu, na kuzuka kwa kikundi hiki watakuwa wanapigana katika "two fronts".
Majihadist hao inasemeka idadi yao haijulikani lakini wanaweza kufika Magaidi elfu nane.
View: https://youtu.be/JUaMZr3myOw?si=nTMs18tBUr_CyHyl
Putin amesema atatusaidia dhidi ya hao wapumbavuAfrika nzima inatakiwa ipambane na Radical Islam.