mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Tofauti na wenzake kama Mbape na Messi ambao wao huwa ndiyo target ya pass za mwisho, kwa Cristiano Ronaldo yeye kwa sasa si kipaumbele kwa pass ya mwisho. Wachezaji wenzake naona kama wanamwonea wivu fulani, japo watake wasitake CR7 bado ni muhimu sana kwao.
Kama CR7 angepewa umuhimu na wenzake anaostahili angetupia nyingi sana!
Kama CR7 angepewa umuhimu na wenzake anaostahili angetupia nyingi sana!