Philotheo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 602
- 784
Ronaldo wa kipindi kile alikuwa anaagukaanguka uwanjani kama huyu wa leo? Huyu wa leo haitaji hata microscope kuona kwamba mwili umechoka bwana.Goal scorer ndio role ya center strike ulitaka awe anakaba?
Unavyosema enzi zile. Ronaldo amecheza nafasi nyingi kiwanjani.
Mchango wake ulikuwa goal scoaling wakati wote, lakini Ronaldo ndo wa kukosa zile nafasi mbili dhidi ya Congo kweli? Unadhani kama angefunga zile goli mbili ungekuja na mjadala wako wa kunyimwa pass????
Ronaldo isn't the same! Ronaldo wa wakati ule alikuwa anakupa mbio, nguvu, anawanyima usingizi wapinzani. Yani hata huu mjadala dusingekuwa nao. Huyu wa leo hakupi hivyo vitu. Kwahiyo tukae tu tukisubili wakati akifunga ilihari anapoteza nafasi kizembe, hasisemwe!
Akikosa Ronaldo tukae kimya, ila kina Bruno wakikosa na Neves, na wenzao kelele kila kona. No No No, wachezaliji wote pale Ureno wapewe heshima/ lawam wanapositahili.
Sasa mfano hiyo gemu ya Uzbekistan unadhani Ronaldo alikuwa na maajabu gani haswa?
Messi angalia namna anavyowachachafya Austria mpaka Argentina wenyewe hawaamini.
Na Messi wa leo sio yule wa 2016.