Kikwazo kikubwa kwa CR7 kwa sasa wachezaji wenzake hawampi kipaumbele kwa pass

Kikwazo kikubwa kwa CR7 kwa sasa wachezaji wenzake hawampi kipaumbele kwa pass

Lawama zinaenda kwa Messi pale anapositahili, na pongezi zinaenda kwa Messi pale anapositahili. Hii sio kwa Messi pekee.

Sasa unauliza kama fainali ilikuwa malengo kwanini alistaafu? Nimeshatoa sababu ya Messi kufikia uamuzi huo. Ulikuwa uamuzi wa gadhabu tu, kutokana na criticism alizokuwa akikumbana nazo kwa wakati huo.

Mkuu husisahau Eder alifunga gori la fainali kwa Portugal dhidi ya France, lakini bado mpaka leo utasikia CR7 ameipa Ureno Euro! Heshima ya Erder na wenzake ipo wapi hapo?

Messi anapewa credits kwani contribution yake imekuwa kubwa wakati wote hata katika nyakati ambazo walikuwa wakikosa mataji ila bado alikuwa anafunga na anatengeneza nafasi. Nyakati ambazo wamebeba mataji pia unaona nafasi yake uwanjani. To sum up, si mchezaji mmoja anayeshinda bali ni timu. Messi pale Argentina pamoja na ukubwa wake ila still wanaishi kama timu, wanapendana kama timu. Ureno kusare mechi moja tu washaanza kucharuana.
Fainali ya kwanza kapoteza, fainali ya pili, fainali ya tatu. Huko kote kwanini hakufikiria kustaafu mpaka alivyopoteza fainali ya nne?

Yeah huwezi kupinga mchango wa Ronaldo kwenye ubingwa wa Euro hata kama kwenye final hakufunga.

Ronaldo alifunga penalti muhimu kwenye penati shoot out ambayo iliwafanya waende fainali.

Messi alishindwa kufanya hivyo kwenye fainali dhidi ya Chile alikosa penalti na akatangaza kustaafu kama payback kusawazisha makosa yake.
 
Wewe unadhani Messi sio mwanadamu? Na shida kubwa ni kwamba wewe upo kwenye comparison ya Messi na Ronaldo. Mashabiki kwa ghubu kutokana na mihemko ya kihisia; hasira waliona Messi hana msaada. Sasa mashabiki wanasema ukae pembeni we unasema bado nakitwanga tu unataka nini sasa?
Ndio maana namimi nahoji.

Kwamba fainali zote hizo tatu ambazo alipoteza kwanini watu hawakumsema vibaya mpaka alipokosa hii ya nne?

Tukio kama hili unaelewa lingetokea kwa Ronaldo usingeweza kulielezea hivi?

Unajua unalielezea hivi ni kwasababu limemtokea Messi?
 
Fainali ya kwanza kapoteza, fainali ya pili, fainali ya tatu. Huko kote kwanini hakufikiria kustaafu mpaka alivyopoteza fainali ya nne?

Yeah huwezi kupinga mchango wa Ronaldo kwenye ubingwa wa Euro hata kama kwenye final hakufunga.

Ronaldo alifunga penalti muhimu kwenye penati shoot out ambayo iliwafanya waende fainali.

Messi alishindwa kufanya hivyo kwenye fainali dhidi ya Chile alikosa penalti na akatangaza kustaafu kama payback kusawazisha makosa yake.
Unaona sasa! Mi sijasema Ronaldo hakuwa na mchango. Lakini kikawaida huwezi sema CR7 ndo aliipa EURO Ureno wakati Erder ndio kafunga goli. Ni sahihi kusema ametwaa EURO akiwa na ureno hiyo sawa kabisa. Lakini kwanini Ronaldo ndio alibeba dhana halisi, ni kwa sababu tu ya influence yake pale iliyochagizwa na mchango wake mkubwa sana husio wa kawaida. That's ok, kulingana tulivyojizoesha.

Kuhusu ishu ya Messi kukosa penati ni kawaida tu. Ronaldo ameshiriki mara ngapi Euro, na World Cup? Na amefika fainali ngapi? Bora Messi ana fainali almost saba, na mataji matatu Ronaldo je! Mshindi ndiye anayepoteza mara nyingi. Messi kapoteza fainali 5, ok so what? Inaingiliana vipi na performance ya CR7 pale Ureno?

Wachezaji wa Ureno hawagombanii kabisa takwimu za Messi pale Argentina hazina msaada wowote kwao. Kinachowagombanisha ni CR7 kutaka kulazimisha yasiyowezekana. It's ok yeye kuwepo, lakini isiwe sababu ya kuona wachezaji wengine hawamsaidii. Nyinyi wenyewe munataka kuonesha kuwa Ronaldo ni tatizo, kwanini munalia hawamsaidii?

Bro: A good dancer knows when to leave the stage 👋
 
Ndio maana namimi nahoji.

Kwamba fainali zote hizo tatu ambazo alipoteza kwanini watu hawakumsema vibaya mpaka alipokosa hii ya nne?

Tukio kama hili unaelewa lingetokea kwa Ronaldo usingeweza kulielezea hivi?

Unajua unalielezea hivi ni kwasababu limemtokea Messi?
Fainali ambayo Argentina walishinda kwa goli la Di Maria praise zilienda kwa mfungaji. Wanaacknowledge mchango wa Messi, ila huwezisikia yeye anashinikiza. Same kwa fainali ya pili ambayo goli alifunga Lautaro.

Hata wewe mwenyewe unapinga upande wa Messi kwa sababu upo upande wa CR7, na hicho ndo kitu sikubaliani nacho. Sioni sababu ya kulazimisha mmoja awe mnyonge ili mwingine apewe praise.

Matter ni current contribution ya CR7 kwa Ureno. Wewe umeamua kulazimisha kulinganisha na Messi, sawa. Kumbuka hapo sijagusia kabisa upande wa Mbape ambaye naye yupo kwenye mada yako. Na huu mjadala umeibuka tu, kwa sababu ya performance ya Messi msimu huu, that's all 🌛
 
Tofauti na wenzake kama Mbape na Messi ambao wao huwa ndiyo target ya pass za mwisho, kwa Cristiano Ronaldo yeye kwa sasa si kipaumbele kwa pass ya mwisho. Wachezaji wenzake naona kama wanamwonea wivu fulani, japo watake wasitake CR7 bado ni muhimu sana kwao.

Kama CR7 angepewa umuhimu na wenzake anaostahili angetupia nyingi sana!

Ronaldo ana aina ya pass za kumpa sio zote anaweza kuconvert au kukutunzia mali kwa sasa.
No. 10, wingers lazima uwe creative sana kiasi kupunguza au kubeba concentration ya baadhi ya mabeki huku ukicalculate movement za Cr7
 
Bruno ni mchezaji ambaye yeye anapenda kushinda, na hapendi braabraa. Msikilize juzi alijibu wapo Ureno kupigania taifa kwa pamoja na sio kushindania record za mtu mmojamoja. Wakishinda taji it's ok, si na Ronaldo yumo atakuwa kashinda pia. Tatizo lipo wapi?

Na alisema wao wanatoa pass kwa mchezaji ambaye wanaona yupo kwenye nafasi nzuri zaidi. We mwenyewe umesema kwamba timu pinzani zinaweka attention kubwa kwa Ronaldo. Sasa unawalaumuje wachezaji hawampi pass kama muda wote amewekwa mafichoni?

Ile gem ya DRC alikuwa anawekewa sana mipira anarukaruka tu. Kwenye ile gemu lawama pekee anasitahili Bruno ni hakuwa kwenye kiwango bora, na hiyo haikuwa tu kwa Bruno bali wachezaji wengi akiwamo Ronaldo.

Unasema Ronaldo hakupewa pass, ye alitengeneza ngapi? Ile goli la kwanza kafunga Neves, ile ilikuwa pass elekezi kabisa kwa CR7, dogo akawai ujanja. Na Ronaldo gem ya DRC angefunga hii mijadala isingeibuka 😂,
Argentina hata yule dogo Gernacho walipoona hampendi Messi , hata timu ya taifa hawamtaki kule Argentina .Messi anapewa heshima na mipira yote kwake . Bruno anataka ufalme kila kona bila ya kujua bado wa kawaida , wala hana mashabiki wengi .
 
?

AFA walimtaka arudi kwa sababu wao hawakuwa wakifanya kihisia kama mashabiki. Walitumia technical abilities na kuona kuwa Messi alikuwa bado anahitajika. Na hilo lipo wazi wala halina mjadala.
Unafahamu kuwa kufuatia kujiuzulu kwake, kwenye malalamiko yake Messi aliwahusisha AFA na kuwa mention kama ni dizaster?
 
Alafu mimi sina shida yoyote na Ronaldo, wala sina influence ya kumfanya Ronaldo asitaafu. Watu hawashinikizi asitaafu kwa sababu hawampendi. Ila tu kwa sababu; yeye pia ni mwanadamu. 42+ siyo yule na hata yeye mwenyewe kashasema hii ndio last time.
Hata ungekuwa na hiyo influence ungekuwa ignored tu kama yule journalist aliyekuwa akileta mada za Messi kwenye interview.

Kiufupi ni kwamba ni rahisi kumshinikiza Messi kupitia malalamiko yako lakini sio rahisi kumshinikiza Ronaldo.
 
Kwahiyo mada imehama kutoka kwenye contribution ya Ronaldo pale Ureno mpaka kwenye shinikizo kwa Messi na Ronaldo 😂😂
 
Uwepo wake basi husiathiri ukuaji wa wachezaji wengine. Mchezaji kama Joao Neves tegemeo kabisa kwa miaka kadhaa ijayo, anaingizwa kwenye siasa za Ronaldo eti hampendi CR7. Ni mambo ya ajabu; ureno ina wachezaji wengi wazuri, kama wanasitahili lawama au credits wazibebe kama timu. Ushauri wangu wa mwisho kwako mkuu, ili fukufuku najua lipo tu kwa mashabiki wa CR7 kuliko hata Ureno yenyewe. Wacha wachezaji wafanye kazi yao ✍️ they know what to do.
Wewe binafsi yako umeona fursa gani ambayo wachezaji wengine wanaikosa kwasababu ya uwepo wa Ronaldo?

Joao Neves hana adabu na the fact kwamba kwanini yupo hivyo ni kwasababu he admires Messi over Ronaldo.

Sio dhambi kum-admire mtu ila shida ni pale linapokuja kwenye kauli zake.

Kauli zake ndio zilizoonyesha dharau, na kupitia kauli yake ndio tukajua kwanini ile game walicheza vile kwa kum isolate Ronaldo.

Na bila pressure ya mashabiki huwenda wangerudia kufanya vilevile.
 
Nilikuwa active mkuu wakati huo pia. Tujikite tu kwenye contribution ya Ronaldo kwa national team wakati huu 😂, tukianza kufukunyua makaburi ya some yrs ago tunaenda nje ya mada.
 
Kwahiyo mada imehama kutoka kwenye contribution ya Ronaldo pale Ureno mpaka kwenye shinikizo kwa Messi na Ronaldo 😂😂
Unaona tatizo lako unashindwa kuelewa muktadha.

Mimi nakupa references ya matukio kama haya yanayomkuta saizi Ronaldo.

Kwamba yaliwahi kumkuta Messi ili uweze kupata concept kwanini hoja ya kusema "Ronaldo hana mchango" ni hoja ya kijinga, lakini wewe unashindwa hata kuelewa lengo la hiyo mifano unaona kama nahamisha mjadala.

Kweli tutafika kwa namna hii?
 
Wewe binafsi yako umeona fursa gani ambayo wachezaji wengine wanaikosa kwasababu ya uwepo wa Ronaldo?

Joao Neves hana adabu na the fact kwamba kwanini yupo hivyo ni kwasababu he admires Messi over Ronaldo.

Sio dhambi kum-admire mtu ila shida ni pale linapokuja kwenye kauli zake.

Kauli zake ndio zilizoonyesha dharau, na kupitia kauli yake ndio tukajua kwanini ile game walicheza vile kwa kum isolate Ronaldo.

Na bila pressure ya mashabiki huwenda wangerudia kufanya vilevile.
Wanakosa heshima kutoka kwa mashabiki wa Ronaldo, wanakosa uwepo wa Ronaldo uwanjani. Ronaldo sahivi ni anasubili tu awekewe mpira au awalipe kwa lawama. Tucheze wote, tushinde wote, tukikosa tunakosa wote; that's football. Sio sare tu lawama zinarudi kwa wengine hata wasipositrhili.
 
Nilikuwa active mkuu wakati huo pia. Tujikite tu kwenye contribution ya Ronaldo kwa national team wakati huu 😂, tukianza kufukunyua makaburi ya some yrs ago tunaenda nje ya mada.
Tatizo huwezi kuelewa muktadha wa hoja za mifano.

Hili ni tatizo ambalo linafanya umuone mtu anabadili hoja.

Sasa labda kama utasema tujadili hilo jambo bila references. Na bila references sijui utakuwa ni mjadala gani huo.
 
Mchango wake upo goal scoaring; ila sio kama enzi zile. Huwezi kuniambia eti Rinaldo wa sahivi ndio Ronaldo wa 2016. Nitakuwa kichaa kukuelewa.
Unaona tatizo lako unashindwa kuelewa muktadha.

Mimi nakupa references ya matukio kama haya yanayomkuta saizi Ronaldo.

Kwamba yaliwahi kumkuta Messi ili uweze kupata concept kwanini hoja ya kusema "Ronaldo hana mchango" ni hoja ya kijinga, lakini wewe unashindwa hata kuelewa lengo la hiyo mifano unaona kama nahamisha mjadala.

Kweli tutafika kwa namna hii?
 
Bruno ni moja ya adui wake , jamaa anamchukia sana Ronaldo hata kule Man utd , alifurahi alipoondoka ili aweke ufalme wake , na huku ureno tena hamtaki .
Hizi Fix hizi.
Kazi kwenu wachambuzi wa chuki.
 
Wanakosa heshima kutoka kwa mashabiki wa Ronaldo, wanakosa uwepo wa Ronaldo uwanjani. Ronaldo sahivi ni anasubili tu awekewe mpira au awalipe kwa lawama. Tucheze wote, tushinde wote, tukikosa tunakosa wote; that's football. Sio sare tu lawama zinarudi kwa wengine hata wasipositrhili.
Wanakosa heshima pale ambapo wanazingua.

Baada ya game ya juzi ulitembelea kwenye pages za hao wachezaji uliona kuna negative comment yeyote kutoka kwa mashabiki?

Mashabiki wengi kwenye comments walitoa hongera kwa hao wachezaji kwa kuweza kuachana na ule ubinafsi waliokuwa wanamfanyia Ronaldo.

Hii ina maanisha unapozingua watu hawakuchekei.
 
Mchango wake upo goal scoaling; ila sio kama enzi zile. Huwezi kuniambia eti Rinaldo wa sahivi ndio Ronaldo wa 2016. Nitakuwa kichaa kukuelewa.
Goal scorer ndio role ya center strike ulitaka awe anakaba?

Unavyosema enzi zile. Ronaldo amecheza nafasi nyingi kiwanjani.
 
Wewe binafsi yako umeona fursa gani ambayo wachezaji wengine wanaikosa kwasababu ya uwepo wa Ronaldo?

Joao Neves hana adabu na the fact kwamba kwanini yupo hivyo ni kwasababu he admires Messi over Ronaldo.

Sio dhambi kum-admire mtu ila shida ni pale linapokuja kwenye kauli zake.

Kauli zake ndio zilizoonyesha dharau, na kupitia kauli yake ndio tukajua kwanini ile game walicheza vile kwa kum isolate Ronaldo.

Na bila pressure ya mashabiki huwenda wangerudia kufanya vilevile.
Unadhani kwanini wanafanya hivyo? Ukiona wanafanya hivyo ujue kuna jambo haliposawa. Alafu hilo tatizo limeanza lini?
 
Back
Top Bottom