BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,247
Kwahiyo messi angecheza pro league asingeshine? Kwakuwa ligi ni bora kuliko mls!Unajua kwamba Saud Pro league ni bora kuliko MLS?
Kwahiyo messi angecheza pro league asingeshine? Kwakuwa ligi ni bora kuliko mls!Unajua kwamba Saud Pro league ni bora kuliko MLS?
Unaelewa kwamba hujajibu swali?Kwahiyo messi angecheza pro league asingeshine? Kwakuwa ligi ni bora kuliko mls!
Hujamuona Nchimbi Ureno 😁?Kwenye suala la ufungaji magoli,
wachezaji wa wote wa Portugal ni wa binafsi mno, na kila moja anatamani kutengeneza sifa yake ya ufungaji.
Pasingekuwepo hali hiyo,
huenda CR7 angekua na magoli mengi zaidi mpaka sasa kwenye michuano inayoendelea, na Portugal ingekua ndio timu tishio zaidi kwa ufungaji magoli kwenye michuano hiyo 🐒
Kwahiyo Ronaldo wakati ule alikuwa anamlisha Ruud Van Nistelrooy, mbona sahivi hawezi kuwalisha wingine? Kucheza namba tisa sio sababu huwe mzigo tu pale mbele. Kwani unadhani Ronaldo ndo wa kwanza kucheza namba tisa. Au unadhani Ronaldo tumeanza kumuona leo?Ngoja nikukumbushe kitu.
Msimu ambao Ronaldo anajiunga Man U 2003/04 alianza akiwa anatokea pembeni kulia huku Furgason akitumia mfumo wa 4-5-1 ambapo kazi ya Ronaldo na GIggs aliyekuwa upande wa kushoto walikuwa wanamlisha mipira center strike ambaye alikuwa ni Ruud van Nistelrooy.
Sasa wewe kwa mtazamo wako unaweza kuhoji kwanini Ruud van Nistelrooy hakuwa playmaker?
Wakati huo Ronaldo kazi yake ilikuwa ni kupambana na full backs pamoja na kuchezesha timu kama ambavyo wewe unataka.
Unajua ilikuwaje?
Hicho unachokiita playmaker kilitafsiriwa kama entertainment, wachezaji wenzake akiwemo Rio Ferdinand walianza kumlaumu kuwa hatakiwi kufanya entertainment.
Hiyo anzisha uzi mwingine. Ni swala la wakati tu, tutarudi na same conclusion. Though kila mtu ana facts zake, kulingana na ushabiki wake. Ila tutaenda tu, ngoja tumalizane na hii kwanza. Mimi naishia hapo kwa hili.As long as ameiweka, it can also be debatable
Tafsiri ya hiki ulichoakiandika maana yake Ronaldo hana assist.Kwahiyo Ronaldo wakati ule alikuwa anamlisha Ruud Van Nistelrooy, mbona sahivi hawezi kuwalisha wingine? Kucheza namba tisa sio sababu huwe mzigo tu pale mbele. Kwani unadhani Ronaldo ndo wa kwanza kucheza namba tisa. Au unadhani Ronaldo tumeanza kumuona leo?
Mimi sio mtu wa kuanzisha uzi kwenye vitu ambavyo vimeletwa katikati ya mjadala.Hiyo anzisha uzi mwingine. Ni swala la wakati tu, tutarudi na same conclusion. Though kila mtu ana facts zake, kulingana na ushabiki wake. Ila tutaenda tu, ngoja tumalizane na hii kwanza. Mimi naishia hapo kwa hili.