Philotheo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 602
- 784
Hamna kitu kama hicho. Unasema Messi hakuwa na mchango natianal team wakati wanakosa zile fainal za Copa America just kwa sababu Maradona alisema. You are not serious. Kwa maana hiyo unataka kusema individual contribution ya Messi kwa Argentina ni baada ya kurejea kwa timu ya taifa?? This can't be serious.Hayo ndio maneno yaliyokuwa yakitolewa na Maradona baada ya Argentina kupoteza fainali 4 za Copa America huku 3 zikiwa ni back to back.
Katika hizo 4 kuna moja alikosa penalti ambayo ilisababisha kukosa ubingwa.
Unaelewa kilichotokea baada ya hapo?
Watu walimlaumu yeye kwa kile kilichodaiwa kuwa hana mchango wowote kiwanjani na hili ni kama Maradona aliliona mapema na ndio maana wakati wanasafiri kwenda kucheza hyo fainali aliwaambia ikitokea mmefungwa msirudi.
Messi baada ya kushindwa kuchukua ubingwa huku akipoteza penati muhimu alitangaza kustaafu huku akikiri kuwa amefanya kila kitu kuweza kuchukua hilo kombe lakini uwezo wake umeishia hapo.
Kilichofuata?
Argentina ilitumia nguvu kubwa sana kum-push Messi aweze kurudi tena lakini ilikuwa ngumu mpaka pale FIFA walipoamaua kuingilia.
FIFA wakamuandikia barua kumuomba arudi tena (hii ndio sehemu ambayo watu wengi wana doubt kwamba FIFA waliamza kumtengenezea mazingira ya kumrahisishia)
Messi alikuwa na mchango mkubwa sana natianal team tangu alipoanza kucheza NT ni record juu ya record. Hizi record unazoona anaweka leo ni consistency tangu aanze mkuu.
Alafu Maradona alikuwa mwanadamu tu kawaida, alikuwa anaeleza opinions zake. Huwezi kunambia kwamba FIFA ndio wanamfanya Messi afunge goli kama lile juzi anafunga zidi ya Austria? Kwamba mafanikio ya Messi Argentina ni kwa sababu ya FIFA! Husitake kunishangaza bwana 😂