mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Pamoja na mimi kuwa mshabiki wa CR7 ni kwamba ame-overstay kwenye game, anapaswa kukaa pembeni sasa.Tatizo hilo la kutopewa Pass kwanini liwe sasa hivi na sio toka mwanzo?
Umejaribu kujiuliza hilo swali mkuu?
Kwenye mchezo wa DR Congo Ronaldo alipewa pass kadhaa ambazo alipaswa kufanya maamuzi sahihi ule mchezo Ronaldo angekuwa katika ubora wake alikuwa anafunga goli 2+, lakini haikuwa siku nzuri kwake.Tofauti na wenzake kama Mbape na Messi ambao wao huwa ndiyo target ya pass za mwisho, kwa Cristiano Ronaldo yeye kwa sasa si kipaumbele kwa pass ya mwisho. Wachezaji wenzake naona kama wanamwonea wivu fulani, japo watake wasitake CR7 bado ni muhimu sana kwao.
Kama CR7 angepewa umuhimu na wenzake anaostahili angetupia nyingi sana!
Huyu asipofikisha magoli 1000 sioni kama atastaafuKwenye mchezo wa DR Congo Ronaldo alipewa pass kadhaa ambazo alipaswa kufanya maamuzi sahihi ule mchezo Ronaldo angekuwa katika ubora wake alikuwa anafunga goli 2+, lakini haikuwa siku nzuri kwake.
Kusema wachezaji wa Ureno hawampi pass unawasingizia tu, involvement ya CR7 kwenye mchezo ni ndogo sana ukilinganisha na Messi kwa Argentina. Messi anatafuta nafasi, anatengeneza nafasi, na wakati mwingine anafunga magori ambayo nafasi katengeneza mwenyewe tofauti na CR7 anasubili kuwekewa kwenye nafasi.
CR7 roho inataka mwili unasema mzee pumzika, Ronaldo wa leo siyo yule wa Madrid. Nina uhakika Ronaldo pamoja na mchango wake, ila wachezaji wengi wa Ureno, mashabiki hata wadau wa mpira watafurahia jamaa kuchukua uamuzi wa busara kusitrafu natianal team.
Bruno sijui anashida gani na RonaldoBruno ni moja ya adui wake , jamaa anamchukia sana Ronaldo hata kule Man utd , alifurahi alipoondoka ili aweke ufalme wake , na huku ureno tena hamtaki .
Messi naye hawezi kustafu kwasababu Ronaldo anacheza.Huyu a
Huyu asipofikisha magoli 1000 sioni kama atastaafu
Messi akiamua hata akiwa na 45 atacheza Tu. Kimo na Speed vinambebaMessi naye hawezi kustafu kwasababu Ronaldo anacheza.
Unafahamu timu ya Taifa, Messi alitangaza kustaafu mara mbili?
Argentina hata yule dogo Gernacho walipoona hampendi Messi , hata timu ya taifa hawamtaki kule Argentina .Messi anapewa heshima na mipira yote kwake . Bruno anataka ufalme kila kona bila ya kujua bado wa kawaida , wala hana mashabiki wengi .Bruno sijui anashida gani na Ronaldo
Anashindwa kuelewa kwamba kuna muda timu nzima inatakiwa ipambane kwa ajili ya mchezaji kwasababu kuna mafanikio ambayo ame achieve yanayopaswa kuongezewa ili awe juu kwenye rekodi.
View attachment 3615420
Anasahau kwamba hata yeye wakati anatafuta rekodi ya kuwa na assist nyingi EPL, timu nzima ilkuwa inacheza kwa ajili yake?
Dorgu anatia header kambani lakini Dorgu na timu nzima wanamfuata Bruno na kumshangilia.
Vipi kama na wachezaji wenzake wa Man U wangekuwa na ule ubinafsi aliouonesha yeye kwa Ronaldo, angewezaje kufikia hizo rekodi?
Argentina timu nzima inacheza kwa ajili ya Messi, jamaa yeye anatembea tu anasubiria atafuniwe ye ameze.
View attachment 3615421
Unajua kuna vitu akifanyiwa Ronaldo na Ronaldo au mashabiki wake wakavisema inatafsirika kama Ronaldo au mashabiki wake wanapenda kulaumu.Messi akiamua hata akiwa na 45 atacheza Tu. Kimo na Speed vinambeba
Tactically Ronaldo anaikwamisha Ureno kwa sasa. Ronaldo akichomoka pale, Ureno itakuwa ya moto sanaBruno sijui anashida gani na Ronaldo
Anashindwa kuelewa kwamba kuna muda timu nzima inatakiwa ipambane kwa ajili ya mchezaji kwasababu kuna mafanikio ambayo ame achieve yanayopaswa kuongezewa ili awe juu kwenye rekodi.
View attachment 3615420
Anasahau kwamba hata yeye wakati anatafuta rekodi ya kuwa na assist nyingi EPL, timu nzima ilkuwa inacheza kwa ajili yake?
Dorgu anatia header kambani lakini Dorgu na timu nzima wanamfuata Bruno na kumshangilia.
Vipi kama na wachezaji wenzake wa Man U wangekuwa na ule ubinafsi aliouonesha yeye kwa Ronaldo, angewezaje kufikia hizo rekodi?
Argentina timu nzima inacheza kwa ajili ya Messi, jamaa yeye anatembea tu anasubiria atafuniwe ye ameze.
View attachment 3615421
Hayo ndio maneno yaliyokuwa yakitolewa na Maradona baada ya Argentina kupoteza fainali 4 za Copa America huku 3 zikiwa ni back to back.Tactically Ronaldo anaikwamisha Ureno kwa sasa. Ronaldo akichomoka pale, Ureno itakuwa ya moto sana