Hamna kitu kama hicho. Unasema Messi hakuwa na mchango natianal team wakati wanakosa zile fainal za Copa America just kwa sababu Maradona alisema. You are not serious. Kwa maana hiyo unataka kusema individual contribution ya Messi kwa Argentina ni baada ya kurejea kwa timu ya taifa?? This can't be serious.Hayo ndio maneno yaliyokuwa yakitolewa na Maradona baada ya Argentina kupoteza fainali 4 za Copa America huku 3 zikiwa ni back to back.
Katika hizo 4 kuna moja alikosa penalti ambayo ilisababisha kukosa ubingwa.
Unaelewa kilichotokea baada ya hapo?
Watu walimlaumu yeye kwa kile kilichodaiwa kuwa hana mchango wowote kiwanjani na hili ni kama Maradona aliliona mapema na ndio maana wakati wanasafiri kwenda kucheza hyo fainali aliwaambia ikitokea mmefungwa msirudi.
Messi baada ya kushindwa kuchukua ubingwa huku akipoteza penati muhimu alitangaza kustaafu huku akikiri kuwa amefanya kila kitu kuweza kuchukua hilo kombe lakini uwezo wake umeishia hapo.
Kilichofuata?
Argentina ilitumia nguvu kubwa sana kum-push Messi aweze kurudi tena lakini ilikuwa ngumu mpaka pale FIFA walipoamaua kuingilia.
FIFA wakamuandikia barua kumuomba arudi tena (hii ndio sehemu ambayo watu wengi wana doubt kwamba FIFA waliamza kumtengenezea mazingira ya kumrahisishia)
Kwenye post #18 nimeeleza kuwa kuna mambo ambayo Ronaldo akiyafanya au mashabiki wake wakavisema inatafsirika kama Ronaldo au mashabiki wake wanapenda kulaumu au kutafuta sababu.Hamna kitu kama hicho. Unasema Messi hakuwa na mchango natianal team wakati wanakosa zile fainal za Copa America just kwa sababu Maradona alisema. You are not serious. Kwa maana hiyo unataka kusema individual contribution ya Messi kwa Argentina ni baada ya kurejea kwa timu ya taifa?? This can't be serious.
Messi alikuwa na mchango mkubwa sana natianal team tangu alipoanza kucheza NT ni record juu ya record. Hizi record unazoona anaweka leo ni consistency tangu aanze mkuu.
Alafu Maradona alikuwa mwanadamu tu kawaida, alikuwa anaeleza opinions zake. Huwezi kunambia kwamba FIFA ndio wanamfanya Messi afunge goli kama lile juzi anafunga zidi ya Austria? Kwamba mafanikio ya Messi Argentina ni kwa sababu ya FIFA! Husitake kunishangaza bwana 😂
Kuna tofauti kati ya mchango (contribution) na mafanikio (achievement). Wewe umesema wamefika fainali za copa america mara nne, nakuongezea walifika pia fainali ya World cup 2014. Is that not achievement?Kwenye post #18 nimeeleza kuwa kuna mambo ambayo Ronaldo akiyafanya au mashabiki wake wakavisema inatafsirika kama Ronaldo au mashabiki wake wanapenda kulaumu au kutafuta sababu.
Kwa hiyo maoni ya watu kuwa Ronaldo anatakiwa kustaafu kwasababu hana mchango yanakuwa ni sahihi ila maneno hayo hayo yakitolewa na watu dhidi ya Messi inakuwa tofauti?
Unasema Messi alikuwa ana mchango mkubwa National team, niambie kabla ya 2016 ni kombe gani alilofanikiwa kuchukua kupitia huo mchango wake ambao wewe unausema?
Angalia usije kuleta ishu za youths team hapa, nataka unipe stats za senior team ambazo zilimfanya kustaafu.
Tatizo lake hataki kuwapa credit teammates, yeye ni me me me me me ...!Tofauti na wenzake kama Mbape na Messi ambao wao huwa ndiyo target ya pass za mwisho, kwa Cristiano Ronaldo yeye kwa sasa si kipaumbele kwa pass ya mwisho. Wachezaji wenzake naona kama wanamwonea wivu fulani, japo watake wasitake CR7 bado ni muhimu sana kwao.
Kama CR7 angepewa umuhimu na wenzake anaostahili angetupia nyingi sana!
Kwenye suala la ufungaji magoli,Tofauti na wenzake kama Mbape na Messi ambao wao huwa ndiyo target ya pass za mwisho, kwa Cristiano Ronaldo yeye kwa sasa si kipaumbele kwa pass ya mwisho. Wachezaji wenzake naona kama wanamwonea wivu fulani, japo watake wasitake CR7 bado ni muhimu sana kwao.
Kama CR7 angepewa umuhimu na wenzake anaostahili angetupia nyingi sana!
Kwenye post #18 nimeeleza kuwa kuna mambo ambayo Ronaldo akiyafanya au mashabiki wake wakavisema inatafsirika kama Ronaldo au mashabiki wake wanapenda kulaumu au kutafuta sababu.
Kwa hiyo maoni ya watu kuwa Ronaldo anatakiwa kustaafu kwasababu hana mchango yanakuwa ni sahihi ila maneno hayo hayo yakitolewa na watu dhidi ya Messi inakuwa tofauti?
Unasema Messi alikuwa ana mchango mkubwa National team, niambie kabla ya 2016 ni kombe gani alilofanikiwa kuchukua kupitia huo mchango wake ambao wewe unausema?
Angalia usije kuleta ishu za youths team hapa, nataka unipe stats za senior team ambazo zilimfanya kustaafu.
Kwenye suala la ufungaji magoli,
wachezaji wa wote wa Portugal ni wa binafsi mno, na kila moja anatamani kutengeneza sifa yake ya ufungaji.
Pasingekuwepo hali hiyo,
huenda CR7 angekua na magoli mengi zaidi mpaka sasa kwenye michuano inayoendelea, na Portugal ingekua ndio timu tishio zaidi kwa ufungaji magoli kwenye michuano hiyo 🐒
Ndio maana yake; Ronaldo sahivi haitaji tena gem za mikikimikiki, kwahiyo ni kama Ureno wanalazimika wacreate chaeces kwa Ronaldo.Nlichokiona gem na uzbekstan jamaa hakabi saiv anasubiria tu mipira ya kutengenezewa.
Contribution na achievement vinaenda pamoja. Na ndio maana Messi baada ya kuona hajachukua taji alifikiria kustaafu.Kuna tofauti kati ya mchango (contribution) na mafanikio (achievement). Wewe umesema wamefika fainali za copa america mara nne, nakuongezea walifika pia fainali ya World cup 2014. Is that not achievement?
Mafanikio yanatokana na malengo; lakini kufika second position mbele ya mataifa mengine mengi ambayo hayakufika hapo haikuwa raisi.
Lakini pia; kuhusu suala la Ronaldo mimi nasemea kwa kipindi hiki, sio kwamba wakati wote ambao amekuwepo Ureno. Kwa kipindi hiki tukubali tu CR7 sio yule wa nyakati zile. Sahivi anahitaji sana kulishwa pass ili afunge magoli wakati Ureno wanahitaji timu ifunction effectively kila sehemu. They do play for the team not for an individual. We ona tofauti Ronaldo sahivi anaitegemea Ureno ili afanye maajabu (ndio maana lawama kwa wachezaji wengine ni nyingi) which isn't ok. Messi yule Argentina inamuhitaji yeye maajabu yatokee (rejea gem mbili za Argentina walizocheza utanielewa).
Ngoja nikuambie kitu.Lakini pia; kuhusu suala la Ronaldo mimi nasemea kwa kipindi hiki, sio kwamba wakati wote ambao amekuwepo Ureno. Kwa kipindi hiki tukubali tu CR7 sio yule wa nyakati zile. Sahivi anahitaji sana kulishwa pass ili afunge magoli wakati Ureno wanahitaji timu ifunction effectively kila sehemu. They do play for the team not for an individual. We ona tofauti Ronaldo sahivi anaitegemea Ureno ili afanye maajabu (ndio maana lawama kwa wachezaji wengine ni nyingi) which isn't ok. Messi yule Argentina inamuhitaji yeye maajabu yatokee (rejea gem mbili za Argentina walizocheza utanielewa).
Sasa kama ni kawaida kwenye mpira kwanini maoni yako kwamba Ronaldo astaafu tuyaone kama fact na tuyazingatie?Unajua shida ni kwamba ubongo wa mwanadamu unapendelea kusikiliza kile ambacho unafurahia kusikia.
We mwenyewe ulisema aliamua kusitaafu kwa sababu alisemwa hana mchango kwenye natianal team. Hiyo ni kawaida kwenye mpira. Hata Barcelona mashabiki walishamtupia machupa baada ya kupoteza nusu fainal dhidi ya Liverpool. Je walimaanisha hana mchango kwenye club?
Sasa Uzbekistan nayo team, wale ni sahihi kuweka attention kwa Ronaldo. Of course hiyo ni kweli, ila Ronaldo wa sahivi ni rahisi sana kumdhibiti tofauti na Ronaldo wa enzi zake. Na hiyo ni tofauti kwa Messi.Ngoja nikuambie kitu.
Wote wanaosema Ronaldo apumzike they know what his capable of.
Timu yeyote ikicheza dhidi ya Ronaldo basi attention yote ya mabeki inakuwa kwake kwasababu wanajua madhara yake.
Angalia tu ule muda uliotumika kwenye ile free kick jinsi attention ya wachezaji wa Uzbekistan ilivyokuwa ikijiandaa kuweka ukuta.
Hiyo yote ni kwasababu waliona nyuma ya mpira yupo Ronaldo. Hawakufikiria kama wewe kuwa jamaa amechoka hawezi kufunga.
And so would that be fact for you to see Ronaldo retire, kwa maamuzi ya ghadhabu just because of your biased criticism?Ok. Messi aliamua kusitaafu kwa wakati ule kwa sababu ya lawama za wa-argentina dhidi yake ambazo yeye alitafsiri kama unfair. Yalikuwa maamuzi ya gadhabu tu na sio ya utashi, maamuzi ya hasira na sio kwamba wakati ulikuwa umefika.
Kwani Algeria nayo timu?Sasa Uzbekistan nayo team, wale ni sahihi kuweka attention kwa Ronaldo. Of course hiyo ni kweli, ila Ronaldo wa sahivi ni rahisi sana kumdhibiti tofauti na Ronaldo wa enzi zake. Na hiyo ni tofauti kwa Messi.
Mkuu mi nimehitimisha kwa upande wangu. Msaada wa Ronaldo sahivi ni kufunga goli, kwa mengine amekuwa mzigo uwanjani tu. Hata wachezaji wa Ureno hawatokwambia hilo, wala kocha hatakwambia. Ila we vua mwamvuli wa hisia za mahaba kwa CR vaa mwamvuli wa upeo wa analyst.
Mi sijasema popote kwamba Ronaldo astaafu, sijasema. Nimesema wachezaji wa Ureno watafurahia jamaa akistaafu kwa sababu kiufundi jamaa hana tena contribution kubwa kama enzi zile. Na kudhihirisha kwamba Ronaldo ni mzigo tangu World Cup ianze kwa Ureno mpaka leo Ronaldo ndio umekuwa mjadala kila kona. Angalia Anatovic pale Austria ameanzia benchi ila yupo, umeshasikia mjadala? Eden Djeko pale Bozinia yupo nje, no one cares. Sasa why Ronaldo?Sasa kama ni kawaida kwenye mpira kwanini maoni yako kwamba Ronaldo astaafu tuyaone kama fact na tuyazingatie?
Umeoana shida yenu ilipo?
Sio kwamba kitu fulani ni kibaya ila ni kibaya kwasababu kimefanywa na fulani. Mtu mwingine akifanya kitu hicho hicho hamtoi conclusion sawa.
Bias
Weewe emu angalia nafasi ya Algeria kwenye FIFA rankings.Kwani Algeria nayo timu?
Wachezaji wengi wa Algeria ni wa daraja la pili hadi tatu na waliokuwa kwenye ligi kuu ni wale ambao sio tegemeo na unakuta timu zao zipo katika nafasi mbovu wengine zimeshuka na daraja.
Ronaldo kama angekuwa ni rahisi kumdhibiti basi angeachiwa beki mmoja
Lakini badala yake
View attachment 3615552
Inaonekana huo msemo wa kwamba Ronaldo amechoka au hana ubora ni rahisi kuusema kama shabiki kuliko kocha ambaye timu yake inaenda kucheza dhidi ya Ronaldo.
Wewe unadhani Messi sio mwanadamu? Na shida kubwa ni kwamba wewe upo kwenye comparison ya Messi na Ronaldo. Mashabiki kwa ghubu kutokana na mihemko ya kihisia; hasira waliona Messi hana msaada. Sasa mashabiki wanasema ukae pembeni we unasema bado nakitwanga tu unataka nini sasa?And so would that be fact for you to see Ronaldo retire, kwa maamuzi ya ghadhabu just because of your biased criticism?
Yani Ronaldo astaafu kwasababu ya shinikizo?
Ronaldo ashapitia mengi anakifua cha ku-handle hizi criticism na chuki.
Messi kupewa pressure kidogo tu kutoka kwa mashabiki wa Argentina pamoja na AFA tayari akarusha taulo.
Ronaldo anachukiwa hadi na FIFA na bado hayumbishwi na kelele zenu.