Fainali ya kwanza kapoteza, fainali ya pili, fainali ya tatu. Huko kote kwanini hakufikiria kustaafu mpaka alivyopoteza fainali ya nne?Lawama zinaenda kwa Messi pale anapositahili, na pongezi zinaenda kwa Messi pale anapositahili. Hii sio kwa Messi pekee.
Sasa unauliza kama fainali ilikuwa malengo kwanini alistaafu? Nimeshatoa sababu ya Messi kufikia uamuzi huo. Ulikuwa uamuzi wa gadhabu tu, kutokana na criticism alizokuwa akikumbana nazo kwa wakati huo.
Mkuu husisahau Eder alifunga gori la fainali kwa Portugal dhidi ya France, lakini bado mpaka leo utasikia CR7 ameipa Ureno Euro! Heshima ya Erder na wenzake ipo wapi hapo?
Messi anapewa credits kwani contribution yake imekuwa kubwa wakati wote hata katika nyakati ambazo walikuwa wakikosa mataji ila bado alikuwa anafunga na anatengeneza nafasi. Nyakati ambazo wamebeba mataji pia unaona nafasi yake uwanjani. To sum up, si mchezaji mmoja anayeshinda bali ni timu. Messi pale Argentina pamoja na ukubwa wake ila still wanaishi kama timu, wanapendana kama timu. Ureno kusare mechi moja tu washaanza kucharuana.
FIFA ranking ni ya 28Weewe emu angalia nafasi ya Algeria kwenye FIFA rankings.
Ndio maana namimi nahoji.Wewe unadhani Messi sio mwanadamu? Na shida kubwa ni kwamba wewe upo kwenye comparison ya Messi na Ronaldo. Mashabiki kwa ghubu kutokana na mihemko ya kihisia; hasira waliona Messi hana msaada. Sasa mashabiki wanasema ukae pembeni we unasema bado nakitwanga tu unataka nini sasa?
Unaona sasa! Mi sijasema Ronaldo hakuwa na mchango. Lakini kikawaida huwezi sema CR7 ndo aliipa EURO Ureno wakati Erder ndio kafunga goli. Ni sahihi kusema ametwaa EURO akiwa na ureno hiyo sawa kabisa. Lakini kwanini Ronaldo ndio alibeba dhana halisi, ni kwa sababu tu ya influence yake pale iliyochagizwa na mchango wake mkubwa sana husio wa kawaida. That's ok, kulingana tulivyojizoesha.Fainali ya kwanza kapoteza, fainali ya pili, fainali ya tatu. Huko kote kwanini hakufikiria kustaafu mpaka alivyopoteza fainali ya nne?
Yeah huwezi kupinga mchango wa Ronaldo kwenye ubingwa wa Euro hata kama kwenye final hakufunga.
Ronaldo alifunga penalti muhimu kwenye penati shoot out ambayo iliwafanya waende fainali.
Messi alishindwa kufanya hivyo kwenye fainali dhidi ya Chile alikosa penalti na akatangaza kustaafu kama payback kusawazisha makosa yake.
Fainali ambayo Argentina walishinda kwa goli la Di Maria praise zilienda kwa mfungaji. Wanaacknowledge mchango wa Messi, ila huwezisikia yeye anashinikiza. Same kwa fainali ya pili ambayo goli alifunga Lautaro.Ndio maana namimi nahoji.
Kwamba fainali zote hizo tatu ambazo alipoteza kwanini watu hawakumsema vibaya mpaka alipokosa hii ya nne?
Tukio kama hili unaelewa lingetokea kwa Ronaldo usingeweza kulielezea hivi?
Unajua unalielezea hivi ni kwasababu limemtokea Messi?
Ronaldo ana aina ya pass za kumpa sio zote anaweza kuconvert au kukutunzia mali kwa sasa.Tofauti na wenzake kama Mbape na Messi ambao wao huwa ndiyo target ya pass za mwisho, kwa Cristiano Ronaldo yeye kwa sasa si kipaumbele kwa pass ya mwisho. Wachezaji wenzake naona kama wanamwonea wivu fulani, japo watake wasitake CR7 bado ni muhimu sana kwao.
Kama CR7 angepewa umuhimu na wenzake anaostahili angetupia nyingi sana!
Argentina hata yule dogo Gernacho walipoona hampendi Messi , hata timu ya taifa hawamtaki kule Argentina .Messi anapewa heshima na mipira yote kwake . Bruno anataka ufalme kila kona bila ya kujua bado wa kawaida , wala hana mashabiki wengi .
Unafahamu kuwa kufuatia kujiuzulu kwake, kwenye malalamiko yake Messi aliwahusisha AFA na kuwa mention kama ni dizaster??
AFA walimtaka arudi kwa sababu wao hawakuwa wakifanya kihisia kama mashabiki. Walitumia technical abilities na kuona kuwa Messi alikuwa bado anahitajika. Na hilo lipo wazi wala halina mjadala.
Hata ungekuwa na hiyo influence ungekuwa ignored tu kama yule journalist aliyekuwa akileta mada za Messi kwenye interview.Alafu mimi sina shida yoyote na Ronaldo, wala sina influence ya kumfanya Ronaldo asitaafu. Watu hawashinikizi asitaafu kwa sababu hawampendi. Ila tu kwa sababu; yeye pia ni mwanadamu. 42+ siyo yule na hata yeye mwenyewe kashasema hii ndio last time.
Kwahiyo mada imehama kutoka kwenye contribution ya Ronaldo pale Ureno mpaka kwenye shinikizo kwa Messi na Ronaldo 😂😂Hata ungekuwa na hiyo influence ungekuwa ignored tu kama yule journalist aliyekuwa akileta mada za Messi kwenye interview.
Kiufupi ni kwamba ni rahisi kumshinikiza Messi kupitia malalamiko yako lakini sio rahisi kumshinikiza Ronaldo.
Wewe binafsi yako umeona fursa gani ambayo wachezaji wengine wanaikosa kwasababu ya uwepo wa Ronaldo?Uwepo wake basi husiathiri ukuaji wa wachezaji wengine. Mchezaji kama Joao Neves tegemeo kabisa kwa miaka kadhaa ijayo, anaingizwa kwenye siasa za Ronaldo eti hampendi CR7. Ni mambo ya ajabu; ureno ina wachezaji wengi wazuri, kama wanasitahili lawama au credits wazibebe kama timu. Ushauri wangu wa mwisho kwako mkuu, ili fukufuku najua lipo tu kwa mashabiki wa CR7 kuliko hata Ureno yenyewe. Wacha wachezaji wafanye kazi yao ✍️ they know what to do.
Unaona tatizo lako unashindwa kuelewa muktadha.Kwahiyo mada imehama kutoka kwenye contribution ya Ronaldo pale Ureno mpaka kwenye shinikizo kwa Messi na Ronaldo 😂😂
Wanakosa heshima kutoka kwa mashabiki wa Ronaldo, wanakosa uwepo wa Ronaldo uwanjani. Ronaldo sahivi ni anasubili tu awekewe mpira au awalipe kwa lawama. Tucheze wote, tushinde wote, tukikosa tunakosa wote; that's football. Sio sare tu lawama zinarudi kwa wengine hata wasipositrhili.Wewe binafsi yako umeona fursa gani ambayo wachezaji wengine wanaikosa kwasababu ya uwepo wa Ronaldo?
Joao Neves hana adabu na the fact kwamba kwanini yupo hivyo ni kwasababu he admires Messi over Ronaldo.
Sio dhambi kum-admire mtu ila shida ni pale linapokuja kwenye kauli zake.
Kauli zake ndio zilizoonyesha dharau, na kupitia kauli yake ndio tukajua kwanini ile game walicheza vile kwa kum isolate Ronaldo.
Na bila pressure ya mashabiki huwenda wangerudia kufanya vilevile.
Tatizo huwezi kuelewa muktadha wa hoja za mifano.Nilikuwa active mkuu wakati huo pia. Tujikite tu kwenye contribution ya Ronaldo kwa national team wakati huu 😂, tukianza kufukunyua makaburi ya some yrs ago tunaenda nje ya mada.
Unaona tatizo lako unashindwa kuelewa muktadha.
Mimi nakupa references ya matukio kama haya yanayomkuta saizi Ronaldo.
Kwamba yaliwahi kumkuta Messi ili uweze kupata concept kwanini hoja ya kusema "Ronaldo hana mchango" ni hoja ya kijinga, lakini wewe unashindwa hata kuelewa lengo la hiyo mifano unaona kama nahamisha mjadala.
Kweli tutafika kwa namna hii?
Hizi Fix hizi.Bruno ni moja ya adui wake , jamaa anamchukia sana Ronaldo hata kule Man utd , alifurahi alipoondoka ili aweke ufalme wake , na huku ureno tena hamtaki .
Wanakosa heshima pale ambapo wanazingua.Wanakosa heshima kutoka kwa mashabiki wa Ronaldo, wanakosa uwepo wa Ronaldo uwanjani. Ronaldo sahivi ni anasubili tu awekewe mpira au awalipe kwa lawama. Tucheze wote, tushinde wote, tukikosa tunakosa wote; that's football. Sio sare tu lawama zinarudi kwa wengine hata wasipositrhili.
Goal scorer ndio role ya center strike ulitaka awe anakaba?Mchango wake upo goal scoaling; ila sio kama enzi zile. Huwezi kuniambia eti Rinaldo wa sahivi ndio Ronaldo wa 2016. Nitakuwa kichaa kukuelewa.
Unadhani kwanini wanafanya hivyo? Ukiona wanafanya hivyo ujue kuna jambo haliposawa. Alafu hilo tatizo limeanza lini?Wewe binafsi yako umeona fursa gani ambayo wachezaji wengine wanaikosa kwasababu ya uwepo wa Ronaldo?
Joao Neves hana adabu na the fact kwamba kwanini yupo hivyo ni kwasababu he admires Messi over Ronaldo.
Sio dhambi kum-admire mtu ila shida ni pale linapokuja kwenye kauli zake.
Kauli zake ndio zilizoonyesha dharau, na kupitia kauli yake ndio tukajua kwanini ile game walicheza vile kwa kum isolate Ronaldo.
Na bila pressure ya mashabiki huwenda wangerudia kufanya vilevile.