Kikwazo kikubwa kwa CR7 kwa sasa wachezaji wenzake hawampi kipaumbele kwa pass

Hujamuona Nchimbi Ureno 😁?
 
Kwahiyo Ronaldo wakati ule alikuwa anamlisha Ruud Van Nistelrooy, mbona sahivi hawezi kuwalisha wingine? Kucheza namba tisa sio sababu huwe mzigo tu pale mbele. Kwani unadhani Ronaldo ndo wa kwanza kucheza namba tisa. Au unadhani Ronaldo tumeanza kumuona leo?

Wakati Benzema anamlisha Ronaldo pale Madrid, Benzema alikuwa play maker au standing straiker?

Angalia Lautaro Martinez pale Argentina, anasimama pale mbele ila bado anahaa kila sehemu. Seleman Mwalimu pale Simba ni pure standing streiker, ila unadhani kwanini kocha anamuweka nje richa ya kwamba jamaa anafunga?
 
As long as ameiweka, it can also be debatable
Hiyo anzisha uzi mwingine. Ni swala la wakati tu, tutarudi na same conclusion. Though kila mtu ana facts zake, kulingana na ushabiki wake. Ila tutaenda tu, ngoja tumalizane na hii kwanza. Mimi naishia hapo kwa hili.
 
Tafsiri ya hiki ulichoakiandika maana yake Ronaldo hana assist.

Ni kama tangu aanze kucheza center strike hajawahi kuwa na assist. Hivi ndio unavyo maanisha sio?
 
Hiyo anzisha uzi mwingine. Ni swala la wakati tu, tutarudi na same conclusion. Though kila mtu ana facts zake, kulingana na ushabiki wake. Ila tutaenda tu, ngoja tumalizane na hii kwanza. Mimi naishia hapo kwa hili.
Mimi sio mtu wa kuanzisha uzi kwenye vitu ambavyo vimeletwa katikati ya mjadala.

Huwa na kawaida ya kurespond immediately kama ni uongo unao hitaji debunk huwa sisibirii kuanzisha uzi.

Bila shaka ukifuatilia chain ya haya majadiliano utagundua kuwa hapo katikati kuna member kachomekea huu mjadala na mimi nilichokifanya ni ku debunk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…