Pre GE2025 Kikwete: 2025 hakuna wa kuchukua fomu ya Urais ya kumpinga Samia Suluhu Hassan labda mambo yaharibike sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii kauli alitoa lini tena??
 
Maharage kilo moja TZS 4000, tano tena kwa mama.
 
Kauli ya Raisi wa awamu ya nne dk Jakaya mrisho kikwete hii kauli haikuwa ya kubahatisha huenda kwa jinsi chombo kinavyozidi kuzama mabadiliko makubwa yakafanyika ya kiuongozi mwaka 2025
Huyu mzee asitupangie maisha
 
Mwambie akae zake huko Msoga
 
mama anataka apumzike walamba asali mwacheni mama apumzike amechoka mikikimikiki ya hapa na pale
 
Kikwete kwa sasa biashara zake za kufungua Sheli za mafuta ndio zimeshika kasi mama akiwa Raisi,sasa unadhani kikwete ataongea nn cha maana mbele ya macho ya watanzania wenye Akili timamu.
 
Imahitajika overhaul nzima kuikatilia mbali Ile cartel ndani ya CCM inayonyonya nchi.

Na hapo anahitajika rais mwenye sifa kama za jiwe ila Yuko smart ssna kuliko watu wa cartel.

Mwenye good approach sio kuumiza wananchi.

mZiLaNkeNdE alikuwa na guts but poor approach. No smart moves.
 
Naona mambo yanakwenda sana kwa kasi ya 5G kuelekea 2025.

Haya ni maneno ya rais msaafu mh JM Kikwete pale jijini Dodoma mbele ya wana ccm .

Amesema hamuoni kijana anayeweza kusimama na kuchukua form ya kugombea urais 2025 dhidi ya mama Samia.

Sasa naona wale sukuma gang tumeanza kuelewana kabisa kuwa mjipange hadi 2030.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…