JS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 2,064
- 504
Lakini Ngereja si ndio alikuwa anatakiwa kumweleza Rais kuwa nimeamua kuwasha mitambo ya iptl? Mbona Zitto kaongea na yametekelezwa. Je waziri hana nguvu ya kufanya maamuzi? Naomba kujua Nguvu ya Waziri. Kipi anaweza kutekeleza bila Rais kumwingilia na kukawa na maslahi kwa Taifa?
Labda kutengeneza watoto ndo JK haezi mwingilia kwani atakua anaongeza idadi ya nguvu kazi (watu) ambao ni maslahi kwa taifa kwa upande mwingine.