Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

Hii Tanzania bwana... viongozi wetu wanatia kichefuchefu...
 
JK bana......mtu anapewa ubunge saa 9 mchana....saa kumi anaukwaa u-naibu waziri!! ni Tanzania pekee utakutana na hii kitu. Mwandosya waziri asiye kwua na wizara maalumu - what the **** is this??? Labda ni favour ili hospital bills zilipwe, akishapona tu, atatemeshwa uwaziri! Wassira, Malima, Sophia Simba.....tunalo!

Naona ameogopa bastola na bunduki anazotembea nazo Malima!
 
Hawa wawili wamepewa Ubunge bure jana na leo. Sasa Vasco kawapachika wote wizara moja, tena wizara nyeti. Kuna agenda gani hapa au just a mere coincidence?
Wote wawili wana cv za kujitosheleza kuwa manaibu waziri wa Fedha...Saada Mkuya Salum alikuwa Commissioner for External Finance Zanzibar na [FONT=Georgia, 'Times New Roman', Times, serif]Janet Mbene [/FONT] has a Master's degree in economics from the University of New England in Australia, na Cv yake nzuri tu so we hope gud things from them
 
I think reshuffle to JK means only to maintain status quo..

Tuendelee kusota!

Mwenye CV ya waziri wa fedha atuwekee hapa!!

[h=2]Member of Parliament CV[/h]
SalutationHonourable
First Name: William
Middle Name: Augustao
Last Name:Mgimwa
Constituent: Kalenga
Political Party: CCM
Office Location: Box 80373, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 754 765644/+255 684 765644
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: wmgimwa@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 20 January 1950

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 42%, align: center"] Member picture
1679.jpg
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
Wasa Primary School
Tosa Seminary Primary School
Tosamaganga Seminary School
Mafinga Seminary School
Institute of Finance Management, IFM
Institute of Finance Management, IFM
Institute of Development Management, IDM, Mzumbe

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATIONS [/TH]

[TH="width: 35%"] School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1961[/TD]
[TD="align: center"]1965[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1966[/TD]
[TD="align: center"]1967[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1968[/TD]
[TD="align: center"]1969[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1970[/TD]
[TD="align: center"]1971[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]Advanced Diploma (Banking)[/TD]
[TD="align: center"]1975[/TD]
[TD="align: center"]1978[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]

[TD="align: center"]Postgraduate (Finance)[/TD]
[TD="align: center"]1983[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]POSTGRADUATE[/TD]

[TD="align: center"]MBA (Finance)[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]
Company Name
The Parliament of Tanzania Member - Kalenga Constituency
Bank of Tanzania Training Institute (Mwanza) Principal
The National Bank of Commerce (NBC) - Bank Director
The National Bank of Commerce (NBC) - Bank Manager
The National Bank of Commerce (NBC) - College Lecturer
The National Bank of Commerce (NBC) - Bank Accountant

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From Date [/TH]
[TH="align: center"] To Date [/TH]

[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]

[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]

[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]

[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]

[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]

[TD="align: center"]1980[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
Chama Cha Mapinduzi, CCMWard Guardian (Wasa, Iringa)
Chama Cha Mapinduzi, CCMAssistant Commander (UVCCM)
Chama Cha Mapinduzi, CCMCouncillor (Gangilonga Ward)

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]

[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]

[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
W. Mgimwa: Liquidity Management, Tanzania Bankers Journal, Dar Es Salaam.1994
W. Mgimwa: Commercial Bank Lending Journal, Dar Es Salaam.1995
W. Mgimwa: Advanced Credit Operations, Dar Es Salaam.2007
W. Mgimwa: Advanced Treasury Management, Dar Es Salaam.2009
W. Mgimwa: Liquidity Management, Tanzania Bankers Journal, Dar Es Salaam.1994
W. Mgimwa: Commercial Bank Lending Journal, Dar Es Salaam.1995
W. Mgimwa: Advanced Credit Operations, Dar Es Salaam.2007
W. Mgimwa: Advanced Treasury Management, Dar Es Salaam.2009
W. Mgimwa: Liquidity Management, Tanzania Bankers Journal, Dar Es Salaam.1994
W. Mgimwa: Commercial Bank Lending Journal, Dar Es Salaam.1995
W. Mgimwa: Advanced Credit Operations, Dar Es Salaam.2007
W. Mgimwa: Advanced Treasury Management, Dar Es Salaam.2009
W. Mgimwa: Liquidity Management, Tanzania Bankers Journal, Dar Es Salaam.1994
W. Mgimwa: Commercial Bank Lending Journal, Dar Es Salaam.1995
W. Mgimwa: Advanced Credit Operations, Dar Es Salaam.2007
W. Mgimwa: Advanced Treasury Management, Dar Es Salaam.2009

[TH="colspan: 2, align: left"] PUBLICATIONS [/TH]

[TH="class: text_menu"]Description [/TH]
[TH="class: text_menu"]Date[/TH]
 
Hata mie nimeshangaa sana hata Tyson mzee wa kuuchapa akibaki waziri,hivi hawa wa hivi wana nini hasa kipya zaidi kulala kwenye ofisi zao?hivi kweli kuna haja ya kusifia baraza hili ama ndo yaleyale

Na naamini hawa watatu,Mkuchika,Wassira na Maghembe ndo watakuwa wa kwanza kuizamisha boti hii inayoitwa ni mpya.
 
Hivi wabunge wa ccm kazi yao c kupiga makofi? wengi ni waoga.
 
Acheni wivu na majungu nyie.Kabla Rais hajataja baraza lake kila mtu alikuwa akijifanya kukosoa mawaziri walioshutumiwa sasa amewatosa na kuunda baraza zuri kabisa lenye watu ambao wengi wao hatuwajui vizuri mmeanza maneno mtakufa kwa presha bure.
HONGERA JK,HONGERA CCM
 
Hakuna jipya hapo ni yaleyale tu ametoa walioshiba na kuvimbiwa... Kaleta wenye njaa na ambao hawajala sana au walikula vikaiisha unamrudisha mtu kama kigoda unategemea nini, mtu kama mwandosya hana wizara maalumu wa nini kumuweka kama si kuzidisha umaskini tu... Hovyooo kabisa jk..... Nendea zako jk huna maana tulikuamini sana kumbe huna lolote... Subiri miaka yako iishe uondoke tu...
ULITAKA AMCHAGUE MAMA YAKO AU BABA YAKO NDIYO URIDHIKE KWANI CDM INA WATU KUTOKA WAPI KAMA SI TANZANIA HII UNAHOJI MAMBO AMBAYO HAYANA MSINGI SHIIIIIIIIIIIIIIT KAMA HUMJUI KIGODA ULIZA UAMBIWE INAELEKEA UNA NJAA SANA NA UKOO WENU NI MASKINI WA KUTUPhttps://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.pngWA.
 
JK amewafunga mdomo wote waliokuwa wanataka akosee kuwarudisha wenye tuhuma.Unajua JK yuko juuu sana.Kwali kafanya kazi nzuri kwa manufaa ya Taifa.CDM wanalia kwa uchungu wanafiri CCM wangekaa kimya.Poleni sana subirini miaka 3012 labda mtaongeza wabunge.
 
Tusubirie wafanye kazi jaman,,kuna wengine wanashindwa kufanya kazi kwa sababu ya uzibe wanaowekewa na wakubwa wao kumbe unakuta wapo sahihi km wangeweza kufanya kazi waliopewa lakin unakutwa wanabanwa na katiba au alie juu yao so km malima hafai itaonekana tu katika hii wizara aliyopewa sio kwamba hawezi kubadilishwa huyo sio waziri wa kudumu......tofauti na hapo basi hakuna msafi na mchapa kazi,,,....nawasilisha

Mkubwa kama kusubiri tumeshasubiri sana!!! Hakuna kitu hapo!! Hakuna lolote jipya!!
 
kuna mtu ameuliza mwandosya ana kazi gani mana kweli, mana kuwa waziri asiyekuwa na wizara maalumu does it mean anakuwa kama floor manager kwenye kamati za harusi mana haieleweki anafanya nini, au ndio kupitia kila wizara?? mwe!
 
Chami katolewa, Nyalandu kabaki mbona uchukuzi wameondolewa wote,kweli Jk hatupi washkaji zake i.e Nyalandu,Malima
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Wakati kamati ya kukusanya maoni ya kuandika katiba mpya imeshaanza kazi rasmi, ipo haja ya kutazama ni kwa jinsi gani tunaweza kuondokana na utaratibu wa nafasi za kuteuliwa katika nyadhifa mbalimbali za kiserikali (kuanzia mawaziri, wakuu wa mikoa n.k.) ili dhana ya uwajibikaji iwe na tija ndani ya Taifa letu. Bila kufanya mabadiliko ya kimfumo tutaendelea kuwa kama ndege waendao mtegoni wakati wanamuona mtegaji. Bado nchi yetu ina viongozi wenye utashi mdogo wa kisiasa, hivyo kutokukidhi ile dhana ya uwajibikaji katika kujenga taifa la kisasa.

Uteuzi wa mawaziri wenye shutuma mbalimbali kuendelea kushika nafasi mbambali za kiserikali umetoa ushahidi tosha kwamba, taifa letu linahitaji mabadiliko makubwa ya kimfumo na sio watu.
Mabadilko wa Baraza la Mawaziri ni suluhisho la muda mfupi tu,hivyo tutumie ule wajibu wetu wa kibinadamu wa kufikiri kwa bidii kukidhi mahitaji ya nyakati.


Nawakilisha
 
Langu jicho na sikio! Da lkn mtu kama wasira wanaendelea kumwacha hapo kwa vigezo gani!

Kwa kigezo cha kuongoza kusinzia bungeni.... Serious!... huo nao ni uongozi eti!!..
 
baadhi ya wizarz zangu,nishati na madin MAGUFURI manaibu mulugo na filikunjombe;ujenzi MWAKYEMBE;TAMISEMI wangemuazima LYATONGA MREMA maana hakuna m2 pale CCM wa kuvumilia mamilion ya halmashauri zipitie kwake kwenda kurepair barabara za udongo na mashimo ya choo huko bush,wkt yeye anajua akistaaf atakaa mjini.
 
kwa kuwa nchi ni yetu, na tunao wabunge wetu. WITO KWAO: wembe ni uleule kura ya maoni mpaka Pinda atakapo acha kutuchagulia akina Kigoda (Tanesco murderer) na Wsira. Pia wale ambao wamebakizwa wajue kuwa bado wa-tz hawaridhishwi na uongozi wao. Kuhusu Dr. Mwinyi, Katiba ifuate mkondo wake NO ONE is above the Constitution.Kama sheria zinapingana na Katiba sheria hizo huwa zinaitwa Void. Hivyo basi uteuze wa Mwinyi ni Void. Tusifanye haraka kuukubali. Lisu tusaidie.
 
Acheni wivu na majungu nyie.Kabla Rais hajataja baraza lake kila mtu alikuwa akijifanya kukosoa mawaziri walioshutumiwa sasa amewatosa na kuunda baraza zuri kabisa lenye watu ambao wengi wao hatuwajui vizuri mmeanza maneno mtakufa kwa presha bure.
HONGERA JK,HONGERA CCM

Mkubwa unanichekesha!! Kaunda baraza ZURI KABISA!!.... La watu ambao WENGI HUWAJUI!!! Kama huwajui, uzuri wa hilo baraza umeujuaje?? Acha utorozobi!!!
 
Back
Top Bottom