Kikwete alishindwa uongozi kama Rais na sasa ameshindwa tena kama Mstaafu

Nyinyi humu kila siku mnataka Kikwete asijihusishe na siasa ..astaafu..
Hadi mkampa jina "mstaafu aisetaka kustaafu"...
Halafu tena mnataka awe nguzo na kushauri?alazimishe ushauri wake usikilizwe hata kama wahusika hawataki??

Seriously mnatakaje???
HII NCHI NGUMU SANA HII, WATU WA HII NCHI NA VIONGOZI WAO NI VIGUMU KUWAELEWA WANATAKA NINI?
 
Mkuu muache mzee wa watu apumzike, kwani watangulizi wake na waliochukua madaraka mbele yake wamemaliza au kupunguza changamoto na shida za watanzania!?
 
Usitutishe wewee jikite Kwenye hoja. Kikwete kama Mstaafu ana wajibu wa kuliweka taifa Pamoja maana BI TOZO Kashindwa
 
Ni rais wa kwanza bongo kuwa na tuhuma nzito za wizi
 
Kama vipi zichapwe tu we si unataka tufanane na central Africa
 
Wewe ulishawahi chukuliwa Mke na JK maana hunaga hoja tofauti na hii
 
real? kawaulize waliokuwa wapinzania wake ndani ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…