mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,072
- 12,119
For sure.. inawezekana pia maana ya Sirini ni mengiProbably
Pengine walimuambia kua hawatampa msaada in the next attempt,who knows?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
For sure.. inawezekana pia maana ya Sirini ni mengiProbably
Pengine walimuambia kua hawatampa msaada in the next attempt,who knows?
Awawezi kupindua meza wengi ni wafuasi wa Simba na Yanga,unazijua akili za mashabiki wa Simba na Yanga?Hakuna hatari kubwa kama hao unaowaita wajinga na wapumbavu wakiamua kupindua meza. Huwa wanafanya maajabu yasiyotegemewa.
Muache Mzee Mwinyi apumzike!Vipi kuhusu mwinyi snr
Sawa RidhiwaniAchana na jk angalia familia yako na ukoo wenu uliotopea kwenye umaskini.
Ok, janetSawa Ridhiwani
Asimame kama Raisi mstaafuHiki ndicho hutokea unapotaka kumfurahisha kila mtu, kuonekana mwema kwa kila mmoja na kupendwa na kila mtu!
Umetiririka unono, lakini umenichanganya ulipomhusisha Mbowe wakati juzi kakemea "uuzwaji" wa Bandari!Nyerere ni Alikua ndiye Nabii au mshika Maono Wa Taifa hili. Hakuna Rais atakayelijenga taifa hili nje ya maono ya Mwalimu Nyerere.
Taifa hili Kwa uwiano wale kikabila ,kidini na Sasa kimuungano na rasilimali tulizopewa na Mungu kamwe haitawezekana kuliacha ligeuke kuwa Taifa la hovyo kama Kongo .
Kuna watu Wajinga na washenzi na makopo ya chooni ya kusafisha makalio ya wazungu walitumika kumhujumu Mwalimu Nyerere Kwa manufaa Yao .
Hata hivyo maono ya Mwalimu hayatakufa japo yanapigwa Vita sana na majizi kushirikiana na wageni.
Tuna wasomi Kwa mamiloni halafu tunakuwa na Rais au mawaziri wanaouza Vitu vyepesi kama Ardhi na Bandari !!! KAZI ni kupeana vyeo tu kikada za CCM na Sasa wamewafanikiwa kuwavuta na waroho Wa Mali kutoka Upinzani Kama Zito na Mbowe.
Nyerere ndiye Mbeba maono na alijenga falsafa ya utaifa ,utu na umoja ambayo wezi wanaitumia kuiba Badala ya kujenga nchi.
Kwa nini watanzania Hawa Hawa waweze kuendesha Kampuni ya Airtel lakini washindwe TTCL.
MTU AKITAKA kuwaadhibu wanaotuhujumi Anaitwa dikteta. Hatuko siriaz mpaka Siku wenye nchi halisi ambao ni wengi wanaoumizwa leo watakapoamua kusema basi na kuwatoa madalali Wa kuuza nchi.
Kama watanzania wameshindwa kweli kusimamia rasilimali na mashirika Yote ya umma Kwa nini tusianzie na mismamizi Wa Ikulu na wizara ZAKE.?
Hivi inaingia akilini kweli kuwa Wasomi Wote wameshindwa kuendesha Idara walizopewa lakini Rais na Serikali yake na Bunge lake na Majeshi yake na mahakama zake ziwe zinafanya Vizuri wakati zinaongozwa na watanzania wenyewe Kwa asilimia mia moja?
Basi tuuze na kubinafsisha Ikulu, Bunge, mahakama, Majeshi Ili tuletewe Teknolojia ya kisasa kama kule Uarabuni na China.
Kwa nini tunakwepa ukweli kuwa Hao walioendelea wameendekea baada ya kuwa na SHERIA Kali na Hata kuwaua wale wote waliotumia nafasi zao kuiba Mali za umma?
Hiví Hata wawekezaji wawekeze mpaka kwanye Vijiji na miji Kila MAHALI kama hakuna watu waadilifu ni muwekezaji Gani ataacha kuiba na kuwahonga wale tuliowapa nafasi ya kutuwakilisha !!
Leo hili almasi ,dhahabu, Vito vya thamani, wanyama ,madawa yanaingizwa na kutoka Kila sehemu Kwa kushirikiana na Wale tuliowapa dhamana Kwa sababu TU hakuna anayewasemesha Kwa ukali na kuwafunga au kuwanyonga watu Hao . Nani asiyetaka Mali nyingi Kwa namna yoyote kama SIO Imani na Tabia za MTU Binafsi na malezi yake. ?
Kwa nini tuwaache watumishi Wa umma wajiongoze Kwa hulka zao Binafsi .? Yaani wakiamua kuiba waibe na wakiamua kuacha waache na asiyeona cha kuiba shauri yake na asiyetaka kuiba ni Mjinga Hana akili na atachekwa na kuzomewa na Hata kuuawa? Kila MTU Kwa urefu Wa Kamba yake.
Tumejenga mfumo Wa waovu kuwadhibiti watu waadilifu na Hata kuwaua na kuwatoa kwenye mifumo ya kiutawala na Sasa wamefanikiwa kuiteka mihimili Yote kuanzia Bungeni mpaka mahakama. Muovu kumuua MTU mwadilifu ni haraka sana Kama hajadhibitiwa lakini muovu akidhibitiwa anaogopa mana muovu anaogopa kufa na kuacha starehe za Dunia.
Nyerere alifanikiwa kutuletea uhuru na kujenga umoja chini ya makabila Mengi na Dini Tofauti lakini miaka 60 baadae wale aliowashinda wamerudi Kwa Gia ile ile ya Dini,Ukanda na Sasa wanajiita wawekezaji Badala ya wakoloni. Badala ya Watu kujengewa uwezo Wa kujiajiria katika rasilimali nyingi tulizo nazo Watu wanaletewa wakoloni Wa kuja kuwafanya watanzania watumwa kwenye nchi iliyopita uhuru miaka 62 iliyopita.
Watawala hawana muda Wa kufikiri zaidi ya kushawishiwa Kwa mipango isiyoweza kufanikiwa kwenye nchi isiyo na sharia Kali.
Kiongozi Badala ya kukemea wavunja Sheria anawaliwaza . Kiongozi anavunja Sheria Mfano za usalama Barabarani akikamatwa na polisi anakuwa mbishi na Kutumia majukwaa ya kisiasa kuwashambulia Trafiki Badala ya kujiuliza kuwa Kwa Nini amekamatwa na Sasa Kwa nini anataka achekewe na kusamehewa . Je,Wote wakivinja Sheria inakuaje?
Leo hii akatokea Mwekezaji Wa usalama Barabarani Toka Dubai au China atakimbilia hiko na atapata pesa nyingi sana mana anajua kuwa watanzania wanawaheshimu Wageni na kuwanyenyekea Hata kama wanakosa.
Wewe ni kilaza sanaUzi wako unahisia nyingi,Mzee Kikwete hana baya hakuwa na husda,chuki wala visasi.
mimi ninachojua utawala wa Kikwete alifungua sana nchi hasa kwenye kukaribisha wawekezaji ajira zilikua nyingi mzunguko wa pesa wa uhakika,watu waliuza na kununua biashara zilifanyika.
watu walikula bata wakasaza,siku za weekend majiji kama ya Dar,Mwanza na Arusha yalikua ya moto ni full hekaheka.
Kuna watu wanatia huruma kuwaonea huruma, yaani ww nae unasema Una bachelor sijui ya nn, aisee DPW waje tuWakati wenzetu wanamiliki TV sisi tulikua hatumiliki, ila Kikwete Alipokuza uchumi wa mtu mmoja mmoja sio tu watu wanamiliki TV bali TV za bei ghali. Kawaida kukuta mtu Ana TV inch 32 ama zaidi.
Mambo ya Foleni yaliongezeka sana kipindi cha Kikwete watu wengi walijiweza kununua Usafiri Binafsi.
Halotel wameletwa na Kikwete mwenyewe,
Viettel started investing in the country in 2011 and planned $736 million in investment after the then president Jakaya Kikwete made a state visit to Vietnam. The goal of the government was to encourage rural mobile connectivity in the country where and the government saw fit to increase competition by allowing Viettel to operate in the country.[4]
Nimetoa Wikipedia, na hapo cha kuangalia ni vijijini, Kuna Nchi zimeendelea kibao hawana Mitandao ya Simu vijijini, Halotel walivyokuja internet ikapatikana karibia 95% ya Nchi.
Haijalishi kama project ilianzia kwa Mkapa ama La, kwa Kikwete kuendeleza Hio project imeonesha ukomavu wake, baada ya Shule za Kata Magu alitakiwa kudeal na walimu kuendeleza Hio project ila yeye akasusa kabisa kuajiri na kuharibu mipango yote Ya waliomtangulia.
Hii ni tweet ya HESLB mwaka 2015
Toka wanafunzi 40000 ku graduate mpaka 200,000 sio mchezo.
Na wewe unakosoa mtu kaandika hoja, badala ya kujibu hoja unaandika Comment reeefu halina hoja hata moja.Kuna watu wanatia huruma kuwaonea huruma, yaani ww nae unasema Una bachelor sijui ya nn, aisee DPW waje tu
unaelezwa hoja za msingi unang'ang'ana kutetea hata usiyoyajua
Cool down, punguza mahaba simamia ukweli, nchi hii inakutegemeeni nyote.
Mbwa mzee hapewagi jina mkuu.Wakati wa Utawala wake...
Huyu bwana ana Bahati mbaya sana. Haya ni Matokeo ya kuforce uongozi wakati hauna karama hizo, kuongoza watu siyo jambo jepesi inahitaji maono na busara hasa unapokuwa kwenye nafasi nyeti kama ya uraisi.
Enzi za utawala wake nchi ilikuwa ya hovyo tena hovyo kupitiliza kiufupi nchi aliiikabizi kwa mabwenyenye wachache. 2005 alipita wa kura nyingi sana 88%, lakini Awamu ya Pili pamoja na kuiba kura aliambulia kama sikosei ni 59% watu walikuwa wamechoka mithili ya harufu mbaya.
Huyu mwamba alipuyanga sana. Hakuna mtu alitaka hata kumsikia. Bila uongozi mbovu wa Kikwete Magufuli asingekuwa Raisi, Magufuli alikuja kunusuru nchi isiende kwa Wapinzani.
Kwa Nini kashindwa kama Mstaafu
Kwa utamaduni wa Kitanzania Raisi mstaafu ni Nguzo muhimu sana hasa pale taifa linapotaka kukosa mwelekeo, lakini pia anajukumu kuwaelekeza njia bora za kupita aliowaacha.
Nafikiri mnakumbuka ni namna gani Nyerere alivyokuwa macho hata baada ya kustaafu, alikuwa akisimama kusema jambo taarifa lazima litulie.
Vile vile Mkapa alikuwa akisimama kidete pale mambo yalivyokuwa yanaenda kombo hasa kipindi cha uchaguzi, sauti yake iliheshimika sana.
Leo hii tuna Kikwete sijui hata anafanya hini, suala lililoniuzi ni hili la Sukuma na Msoga gang kutokalipiwa hadharani tena kwa ukali; limeleta mgawanyiko makubwa sana. Mstaafu yupo anaongea kwa kujificha ficha, ovyo kabisa.
Kikwete anazidi kushindwa kwasababu hata ushauri anaotoa kwa Rais Samia unaonekana ni wa ovyo kwasababu unapingwa kila kona ndani na nje ya nchi. Mbaya zaidi hataki kutoka hadharani kuweka mambo sawa kama Mstaafu.
Kiufupi nafasi ya ustaafu haintendei haki, hii inatokana na kutokuaminika na watu wengi maana uongozi wake ulikuwa ni fedheha.
Namshauri Kikwete awe Mzalendo, kashazeeka atapendwa na wengi, aache kumpoteza Rais Samia na kuyumbisha Serikali.
ulitakiwa uitwe mama MwajumaNa wewe unakosoa mtu kaandika hoja, badala ya kujibu hoja unaandika Comment reeefu halina hoja hata moja.