DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Viongozi wa Vyama vya Siasa nchini, waliofika Ikulu jijini Dar es Salaam, Oktoba 15, 2013.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni, Freeman Mbowe mara baada ya mazungumzo nao leo ikulu jijini Dar es Salaam.Nyuma kushoto ni Kiongozi wa NCCR Mageuzi, Mh. James Mbatia na Professa Ibrahim Lipumba wa CUF.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na Tundu Lissu CHADEMA Nyuma ni James Mbatia NCCR Mageuzi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na John Mnyika.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Vyama vya upinzani na wasaidizi wao waandamizi muda mfupi kabla ya kuanza mazungumzo kuhusu rasimu ya katika ikulu jijini Dar es Salaam leo.Kutoka kushoto mbele Isaack Cheyo UDP, James Mbatia NCCR Mageuzi, Professa Ibrahim Lipumba CUF, Freeman Mbowe CHADEMA, Philip Mangula CCM, na Bibi Nancy Mrikaria aliyemwakilisha Mwenyekiti wa TLP Mhe.Agustine Lyatonga Mrema.Waliosimama Nyuma kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu CUF Bwana Julius Mtatiro,Mhe. Tundu Lissu CHADEMA, Bwana Martin Mng’ong’o NCCR Mageuzi ,Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Uratibu na Bunge William Lukuvi, Mhe.Habib Mnyaa CUF, Mbunge wa Ubungo Kwa tiketi ya CHADEMA Mhe.John Mnyika, Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu Mhe.Steven Wassira na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Mathias Chikawe.(picha na Freddy Maro).