The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Huyo ndo remote ya SamiaSi mara moja wala mbili kumuona Jakaya Kikwete akipewa majukumu ambayo yangeweza kufanywa na waziri wa. mambo ya nchi za nje kama kumpigia kampeni daktari Janaba na mwanae kuteuliwa uwaziri japo ni kilaza. je anao ubia kwenye sirikali hii? Sielewi. Naomba wanangu mnieleweshe kama mshaliona hili.
Una maana bibie ni small house au ?Huyo ndo father house
Wewe unaishi wapi Raisi mstaafu ana nafasi kubwa katika serikali, ni mwana chama wa CC ya chama ni deepsatate member unamsakama kwasbb ni muislamu au mbona Nyerere alikua sehemu ya kila serikali na alikua analazimiasha mamboSi mara moja wala mbili kumuona Jakaya Kikwete akipewa majukumu ambayo yangeweza kufanywa na waziri wa. mambo ya nchi za nje kama kumpigia kampeni daktari Janaba na mwanae kuteuliwa uwaziri japo ni kilaza. je anao ubia kwenye sirikali hii? Sielewi. Naomba wanangu mnieleweshe kama mshaliona hili.
Hilo la uislam limekujaje? Mbona hamjiamini nyie watu!?Wewe unaishi wapi Raisi mstaafu ana nafasi kubwa katika serikali, ni mwana chama wa CC ya chama ni deepsatate member unamsakama kwasbb ni muislamu au mbona Nyerere alikua sehemu ya kila serikali na alikua analazimiasha mambo
Hebu fanya utafiti uone ma rais wastaafu hushiriki namna gani kwenye shughuli za serikali,tuache choyo na chukiSi mara moja wala mbili kumuona Jakaya Kikwete akipewa majukumu ambayo yangeweza kufanywa na waziri wa. mambo ya nchi za nje kama kumpigia kampeni daktari Janaba na mwanae kuteuliwa uwaziri japo ni kilaza.
Je anao ubia kwenye sirikali hii? Sielewi. Naomba wanangu mnieleweshe kama mshaliona hili.
Acha uzwazwa. Mbona hatukumuona Mwinyi akitumiwa na kumtumikia Mkapa au mbona hatukumuona wakati wa jiwe ambaye alimbana vilivyo? Kikwete ana tabia za kupenda kuzuruura ndo maana akaitwa vaso da gama. Hukumbuki!!!Hebu fanya utafiti uone ma rais wastaafu hushiriki namna gani kwenye shughuli za serikali,tuache choyo na chuki
za kijinga
🤣🤣Acha uzwazwa. Mbona hatukumuona Mwinyi akitumiwa na kumtumikia Mkapa au mbona hatukumuona wakati wa jiwe ambaye alimbana vilivyo? Kikwete ana tabia za kupenda kuzuruura ndo maana akaitwa vaso da gama. Hukumbuki!!!
Mkuu,Si mara moja wala mbili kumuona Jakaya Kikwete akipewa majukumu ambayo yangeweza kufanywa na waziri wa. mambo ya nchi za nje kama kumpigia kampeni daktari Janaba na mwanae kuteuliwa uwaziri japo ni kilaza.
Je anao ubia kwenye sirikali hii? Sielewi. Naomba wanangu mnieleweshe kama mshaliona hili.
Labda ulikuwa hujazaliwa mwinyi katumwa sana,kinachokusumbua wewe ni chukiAcha uzwazwa. Mbona hatukumuona Mwinyi akitumiwa na kumtumikia Mkapa au mbona hatukumuona wakati wa jiwe ambaye alimbana vilivyo? Kikwete ana tabia za kupenda kuzuruura ndo maana akaitwa vaso da gama. Hukumbuki!!!
Ficha ujinga wako basi, Kipindi cha jiwe uliona Rais gani mstafu akitumiwa? ila iliona Mwinyi akimtumia Nyerere sio? na Uliona kipindi cha Kikwete akimtumia Mkapa sio?Acha uzwazwa. Mbona hatukumuona Mwinyi akitumiwa na kumtumikia Mkapa au mbona hatukumuona wakati wa jiwe ambaye alimbana vilivyo? Kikwete ana tabia za kupenda kuzuruura ndo maana akaitwa vaso da gama. Hukumbuki!!!
Woooi! Kweli nyani haoni kundule≥ Kuna jinga kama wewe unayerudia maneno yangu na kunilaumu nyambaff kubwa wewe?Ficha ujinga wako basi, Kipindi cha jiwe uliona Rais gani mstafu akitumiwa? ila iliona Mwinyi akimtumia Nyerere sio? na Uliona kipindi cha Kikwete akimtumia Mkapa sio?
Heri ya chuki kuliko uzwazwa.Labda ulikuwa hujazaliwa mwinyi katumwa sana,kinachokusumbua wewe ni chuki
Basi majukumu mengine atakuwa akipewa mumeo,maana ana exposure kuliko kikweteSi mara moja wala mbili kumuona Jakaya Kikwete akipewa majukumu ambayo yangeweza kufanywa na waziri wa. mambo ya nchi za nje kama kumpigia kampeni daktari Janaba na mwanae kuteuliwa uwaziri japo ni kilaza.
Je anao ubia kwenye sirikali hii? Sielewi. Naomba wanangu mnieleweshe kama mshaliona hili.