Kikwete ana ubia gani kwenye serikali ya sasa?

Kikwete ana ubia gani kwenye serikali ya sasa?

Mkuu,

Yani unaona sawa kabisa Waziri wa Mambo ya Nje aache kazi nhingine nyingi aende kumpigia debe Janabi?

Unajua uhusiano wa Kikwete na Janabi unarudi nyuma vipi? Unajua Janabi alikuwa daktari wa Kikwete?

Unajua mtu aliyempa shavu Samia kuingia katika siasa za Tanzania kwenye Bunge la Katiba ni nani?

Kikwete bado analipwa na nchi kama rais mstaafu, unataka serikali imlipe bila kutumia influence yake kwenye siasa za Africa?
Najua alikuwa daktari wake na swahiba wake.
 
Back
Top Bottom