Hivi mimi nawewe nani anastahili haswaa kuitwaa chawa, kwanza unajiitaje mkuu?Kwa hiyo Kikwete ana exposure kuliko wanaume wote Tanzania?.
Nyie ndio mnaua taifa letu kwa ujinga na uchawa.
Hivi mimi nawewe nani anastahili haswaa kuitwaa chawa, kwanza unajiitaje mkuu?Kwa hiyo Kikwete ana exposure kuliko wanaume wote Tanzania?.
Nyie ndio mnaua taifa letu kwa ujinga na uchawa.
Nenda Burkina Faso kawaulizetoa ushahidi
Wanawake wa sikuizi hamna adabu kabisa .....Heri mie 'nina' mimba kuliko wewe chokooo wa wazi wazi
Wanasahau kuwa hata magufuli mara kibao alimtumia kikwete kwenye safari za nje.Itakuwa mgeni wa kufuatulia siasa za Tanzania au umeamua tu kujizima data! Hivi ni nani alisimama hadharani na kusema "Mwacheni Mzee Kikwte apummzike"? Yaani anambana vilivyo huku akimpa mke wake ubunge bila sababu za msingi? Na hata hizo safari za nje JK alishawahi kumwakilisha Magu si mara moja wala mara mbili.
Ajabu ni nini?Ajabu?
Unachanganya diplomasia za kimataifa ambazo Watanzania wengi wanaungana na siasa za ndani ambazo Watanzania wengi wanapingana.Kwa nini kwa uzoefu huo hatumiki ndani ya nchi kusaidia reforms za election na democracy?
ajabu kupinga uzoefu wa jkAjabu ni nini?
Nilifikiri diplomasia za kimataifa zinajengwa na msingi wa siasa za ndani!Unachanganya diplomasia za kimataifa ambazo Watanzania wengi wanaungana na siasa za ndani ambazo Watanzania wengi wanapingana.
Ni vigumu sana kumchukia mtu kwa sababu ya siasa zake halafu kukubali vipaji vyake vingine au hata uwezo alioupata kwa sababu ya kushika viti fulani.ajabu kupinga uzoefu wa jk
This is very naive thinking.Nilifikiri diplomasia za kimataifa zinajengwa na msingi wa siasa za ndani!
Bush kampa Clinton majukumu mengi moja wapo ni kwenye misaada ya Tsunami Asia mwaka 2004 na kimbunga KatrinaGeorge Bush aliwahi kumpa Bill Clinton majukumu gani?
Obama aliwahi kumpa Bush majukumu gani?
Nyerere aliteuliwa na viongozi wa maziwa makuu kuwa mpatanishi wa mgogoro wa Burundi, sio Mkapa.
Taifa letu likijankupata ukombozi wa kweli kabisa, huyu mzee atatajwa kama adui wa taifa! Wanaompenda hawataamini jinsi alivyo sumu mbaya kwa taifa.Si mara moja wala mbili kumuona Jakaya Kikwete akipewa majukumu ambayo yangeweza kufanywa na waziri wa. mambo ya nchi za nje kama kumpigia kampeni daktari Janaba na mwanae kuteuliwa uwaziri japo ni kilaza.
Je anao ubia kwenye sirikali hii? Sielewi. Naomba wanangu mnieleweshe kama mshaliona hili.
Sidhani kama unaelewa unachosemaBush kampa Clinton majukumu mengi moja wapo ni kwenye misaada ya Tsunami Asia mwaka 2004 na kimbunga Katrina
Obama pia kampa Bush majukumu mengi tu moja wapo ni kusimamia misaada ya tetemeko la Ardhi la Hait mwaka 2010 .
Au ulikua haujazaliwa?
Hukumuona wapi, wakati ulikua kinda unaetoka kamasi na kulamba.Acha uzwazwa. Mbona hatukumuona Mwinyi akitumiwa na kumtumikia Mkapa au mbona hatukumuona wakati wa jiwe ambaye alimbana vilivyo? Kikwete ana tabia za kupenda kuzuruura ndo maana akaitwa vaso da gama. Hukumbuki!!!
Ndiyo dalali no 1 wa rasilimali za nchiSi mara moja wala mbili kumuona Jakaya Kikwete akipewa majukumu ambayo yangeweza kufanywa na waziri wa. mambo ya nchi za nje kama kumpigia kampeni daktari Janaba na mwanae kuteuliwa uwaziri japo ni kilaza.
Je anao ubia kwenye sirikali hii? Sielewi. Naomba wanangu mnieleweshe kama mshaliona hili.
Hebu wewe mjuaji fafanua ni nini nisichoelewaSidhani kama unaelewa unachosema
Ni dalali wa mali za ummaAcha uzwazwa. Mbona hatukumuona Mwinyi akitumiwa na kumtumikia Mkapa au mbona hatukumuona wakati wa jiwe ambaye alimbana vilivyo? Kikwete ana tabia za kupenda kuzuruura ndo maana akaitwa vaso da gama. Hukumbuki!!!