Kikwete ana ubia gani kwenye serikali ya sasa?

Acha uzwazwa. Mbona hatukumuona Mwinyi akitumiwa na kumtumikia Mkapa au mbona hatukumuona wakati wa jiwe ambaye alimbana vilivyo? Kikwete ana tabia za kupenda kuzuruura ndo maana akaitwa vaso da gama. Hukumbuki!!!
Itakuwa mgeni wa kufuatulia siasa za Tanzania au umeamua tu kujizima data! Hivi ni nani alisimama hadharani na kusema "Mwacheni Mzee Kikwte apummzike"? Yaani anambana vilivyo huku akimpa mke wake ubunge bila sababu za msingi? Na hata hizo safari za nje JK alishawahi kumwakilisha Magu si mara moja wala mara mbili.
 
The guy is a Statesman, Yule Ni kama Mlezi wa Taifa Kwasababu amewahi Kuwa Mkuu wa Nchi so tutaendelea kutumia Uzoefu wake
 
Kama anapewa majukum atakataa!!?
Bado ana nguvu za kufanya hayo na hamasa pia!

Mzee ametutoa sana sana!!bila huyu sijui Hali ya maisha ya watz waliowengi ingekuaje!!

Chapa kazi mzee!
 
Acha uzwazwa. Mbona hatukumuona Mwinyi akitumiwa na kumtumikia Mkapa au mbona hatukumuona wakati wa jiwe ambaye alimbana vilivyo? Kikwete ana tabia za kupenda kuzuruura ndo maana akaitwa vaso da gama. Hukumbuki!!!
Haiba yake huyo Mzee yupo simple sana!!sio complicated kama mkapa au hat JPM alivyo!

Hata wewe ungemtumia sana TU coz yupo tayari kutumika!!

HAIBA!!
 
Wewe unaishi wapi Raisi mstaafu ana nafasi kubwa katika serikali, ni mwana chama wa CC ya chama ni deepsatate member unamsakama kwasbb ni muislamu au mbona Nyerere alikua sehemu ya kila serikali na alikua analazimiasha mambo
Nyie jamaa na huo uislam wenu mnakera, kila kitu mshaweka uislam hata kama hakiendani. Kule Saudi kwenye uislam wao wametulia tulii...
 
Si mara moja wala mbili kumuona Jakaya Kikwete akipewa majukumu ambayo yangeweza kufanywa na waziri wa. mambo ya nchi za nje kama kumpigia kampeni daktari Janaba na mwanae kuteuliwa uwaziri japo ni kilaza.

Je anao ubia kwenye sirikali hii? Sielewi. Naomba wanangu mnieleweshe kama mshaliona hili.
Hii ndio Remote kwa sasa
 
Yaani nyie kila kitu dini dini dini! Wajinga sana nyie watu
Kama hujui huyu member ya jf analenga huku ndo walivo anasjificha ila lengo lake ni udini kwanini ni Janabi na kikwete.
 
Si mara moja wala mbili kumuona Jakaya Kikwete akipewa majukumu ambayo yangeweza kufanywa na waziri wa. mambo ya nchi za nje kama kumpigia kampeni daktari Janaba na mwanae kuteuliwa uwaziri japo ni kilaza.

Je anao ubia kwenye sirikali hii? Sielewi. Naomba wanangu mnieleweshe kama mshaliona hili.
Mbona hata wakati wa Magufuli alipewa hayo majukumu hamkusema?ingekuwa Magufuli yupo hayo yangekuwa majukumu yake,sasa aliyebaki ni Kikwete peke yake kama raisi mstaafu...
 
Si mara moja wala mbili kumuona Jakaya Kikwete akipewa majukumu ambayo yangeweza kufanywa na waziri wa. mambo ya nchi za nje kama kumpigia kampeni daktari Janaba na mwanae kuteuliwa uwaziri japo ni kilaza.

Je anao ubia kwenye sirikali hii? Sielewi. Naomba wanangu mnieleweshe kama mshaliona hili.

Mkuu, Kikwete ndiye aliyesimamia uporaji wa kura za Lowasa na maalim Seif. Serikali ya sasa ni muendelezo wa huo uporaji alioufanya Kikwete. Kwa hiyo Serikali ya sasa ni yeye aliyeipachika, hivyo yeye yupo juu ya Serikali ya sasa kwa sababu ndiye aliyesimamia uovu wa kuiweka.
 
Baba yako angekua na akili leo angekua anatumwa yeye
 
Marais waliopita kupewa majukumu kusaidia hapa na pale ni jawaida sana duniani. Hii ni sababu ya heshima waliobeva kama wakuu wa nchi walio pita. Yalipotekea matatizo Kenya rais Kikwete alimtuma rais mstaafu marehemu Mkapa kwenda kusuluhisha.
Wakati wa Mwinyi, Nyerere alienda Zambia kumuombea Kaunda atokewe jela.
umenikumbusha ,mkapa alikutana na iron lady Martha karua siriyake amekufanayo
 
Mkuu,

Yani unaona sawa kabisa Waziri wa Mambo ya Nje aache kazi nhingine nyingi aende kumpigia debe Janabi?

Unajua uhusiano wa Kikwete na Janabi unarudi nyuma vipi? Unajua Janabi alikuwa daktari wa Kikwete?

Unajua mtu aliyempa shavu Samia kuingia katika siasa za Tanzania kwenye Bunge la Katiba ni nani?

Kikwete bado analipwa na nchi kama rais mstaafu, unataka serikali imlipe bila kutumia influence yake kwenye siasa za Africa?
Licha ya kwamba rais ni rais mstaafu lakini amewahi kuwa waziri wa mambo ya nje kwa miaka 10 na ametengeneza marafiki wengi na ana ushawishi na viongozi wengi kuliko huyo balozi wetu wa mambo ya nje ambae ni mchanga sana kwenye shughuli za namna hiyo
 
Mbona Trump hampi Biden majukumu ya kusaidia?
Mbona Ruto hampi Uhuru Kenyatta majukumu ya kusaidia?
Mbona Xi Jinping hampi Hu Jintao majukumu ya kusaidia??
Mbona George W. Bush alikua anampa Bill Clinton majukumu ya kumsaidia
Mbona Obama alimpa George W Bush majukumu ya kumsaidia?
Mbona Mkapa alimpa nyerere majukumu ya kuwa mpatanishi kwenye mgogoro wa Burundi?
 
George Bush aliwahi kumpa Bill Clinton majukumu gani?
Obama aliwahi kumpa Bush majukumu gani?
Nyerere aliteuliwa na viongozi wa maziwa makuu kuwa mpatanishi wa mgogoro wa Burundi, sio Mkapa.
 
Licha ya kwamba rais ni rais mstaafu lakini amewahi kuwa waziri wa mambo ya nje kwa miaka 10 na ametengeneza marafiki wengi na ana ushawishi na viongozi wengi kuliko huyo balozi wetu wa mambo ya nje ambae ni mchanga sana kwenye shughuli za namna hiyo
Naam.

Kikwete anajuana na watu wengi sana kutoka alivyokuwa Waziri wa Mambo ya Nje na rais.

Na hii si kwa sababu ya Kikwete kama Kikwete tu, Tanzania iliheshimika katika mambo ya nje tangu enzi za Nyerere. Siku hizi tu ndiyo imelegalega.

Nitakupa mfano mmoja.

Wakati Ban Ki Moon anafanya kampeni ya kuwa Katibu Mkuu wa UN, alikuwa na wasiwasi sana kama kura zitatosha. Akaambiwa kupata kura nyingi za Afrika mtafute mtu anaitwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Ban Ki Moon akamtafuta Kikwete. Kikwete akaongea naye vizuri kuhusu ajenda ya Afrika. Akakubali kumpigia kamoeni kwa viongozi wa Afrika. Kilichofuata ni historia, Ban Ki Moon akawa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.

Ban Ki Moon alivyopata nafasi akamwambia Kikwete niletee mtu wako unayemtaka aje kuwa mmoja wa Deputies wa Katibu Mkuu UN. Ndiyo Kikwete akapeleka jina la Dr. Asha Rose Migiro aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Asha Rose Migiro akapata kazi UN.

Sasa nchi ina mtu mwenye uzoefu wa kampeni kubwa kama hizi za UN halafu mnataka tusimtumie?
 
Ajabu?
 
Naam.

Kikwete anajuana na watu wengi sana kutoka ali yokuwa Waziri wa Mambo ya Nje na rais.

Nitakupa mfano mmoja.

Wakati Ban Ki Moon anafanya kampeni ya kuwa Katibu Mkuu wa UN, alikuwa na wasiwasi sana kama kura zitatosha. Akaambiwa kupata kura nyingi za Afrika mtafute mtu anaitwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Ban Ki Moon akamtafuta Kikwete. Kikwete akaongea naye vizuri kuhusu ajenda ya Afrika. Akakubali kumpigia kamoeni kwa viongozi wa Afrika. Kilichofuata ni historia, Ban Ki Moon akawa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.

Ban Ki Moon alivyopata nafasi akamwambia Kikwete niletee mtu wako unayemtaka aje kuwa mmoja wa Deputies wa Katibu Mkuu UN. Ndiyo Kikwete akapeleka jina la Dr. Asha Rose Migiro aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Asha Rose Migiro akapata kazi UN.

Sasa nchi ina mtu mwenye uzoefu wa kampeni kubwa kama hizi za UN halafu mnataka tusimtumie?
Kwa nini kwa uzoefu huo hatumiki ndani ya nchi kusaidia reforms za election na democracy?
 
Back
Top Bottom