Kikwete ana ubia gani kwenye serikali ya sasa?

Wewe unaishi wapi Raisi mstaafu ana nafasi kubwa katika serikali, ni mwana chama wa CC ya chama ni deepsatate member unamsakama kwasbb ni muislamu au mbona Nyerere alikua sehemu ya kila serikali na alikua analazimiasha mambo
Chuki inamsumbua huyo ..
 
Acha uzwazwa. Mbona hatukumuona Mwinyi akitumiwa na kumtumikia Mkapa au mbona hatukumuona wakati wa jiwe ambaye alimbana vilivyo? Kikwete ana tabia za kupenda kuzuruura ndo maana akaitwa vaso da gama. Hukumbuki!!!
We una mimba inakuletea chuki,,,kwahiyo kupenda kuzurula kwake we mke wa mtu inakusumbua nini?
 
Acha uzwazwa. Mbona hatukumuona Mwinyi akitumiwa na kumtumikia Mkapa au mbona hatukumuona wakati wa jiwe ambaye alimbana vilivyo? Kikwete ana tabia za kupenda kuzuruura ndo maana akaitwa vaso da gama. Hukumbuki!!!
Kwahiyo kama mume wako hakumtumia kwa sababu zake unataka wengine wasimtumie kwa sababu zao?!!!! Pumbaaavu. Hivi Jk aliwakosea nini' haswa?!!!!!!!!!!! Dah!
 
Acha uzwazwa. Mbona hatukumuona Mwinyi akitumiwa na kumtumikia Mkapa au mbona hatukumuona wakati wa jiwe ambaye alimbana vilivyo? Kikwete ana tabia za kupenda kuzuruura ndo maana akaitwa vaso da gama. Hukumbuki!!!
🤔🚸
 
Si mara moja wala mbili kumuona Jakaya Kikwete akipewa majukumu ambayo yangeweza kufanywa na waziri wa. mambo ya nchi za nje kama kumpigia kampeni daktari Janaba na mwanae kuteuliwa uwaziri japo ni kilaza.

Je anao ubia kwenye sirikali hii? Sielewi. Naomba wanangu mnieleweshe kama mshaliona hili.
Ni either una uwezo mdogo sana wa kifikra au una uelewa finyu sana wa mambo ya siasa za ndani na za kimataifa

Obama katumika sana ktk utawala wa Joe Biden kwenda kwenye mission za nchi hasa ktk angle za kidiplomasia

Hata chini ya utawala wa Obama, Rais mstaafu George Bush alishawahi kuja nchini na kuzuru nchi zingne za África ktk uzinduzi wa kampeni kubwa ya Malaria No More na mengine mbalimbali
 
Wewe unaishi wapi Raisi mstaafu ana nafasi kubwa katika serikali, ni mwana chama wa CC ya chama ni deepsatate member unamsakama kwasbb ni muislamu au mbona Nyerere alikua sehemu ya kila serikali na alikua analazimiasha mambo
Sasa uliona Nyerere akizurulishwa kama Kikwete kwa safari kama ambazo mwandishi ameziongelea?

Hivi brain wash za udini zitawaisha lini vichwani mwenu?

Ungejadili hoja bila kuingiza udini ungelipungukiwa kitu?
 
Wewe unaishi wapi Raisi mstaafu ana nafasi kubwa katika serikali, ni mwana chama wa CC ya chama ni deepsatate member unamsakama kwasbb ni muislamu au mbona Nyerere alikua sehemu ya kila serikali na alikua analazimiasha mambo
Yaani nyie kila kitu dini dini dini! Wajinga sana nyie watu
 
Acha uzwazwa. Mbona hatukumuona Mwinyi akitumiwa na kumtumikia Mkapa au mbona hatukumuona wakati wa jiwe ambaye alimbana vilivyo? Kikwete ana tabia za kupenda kuzuruura ndo maana akaitwa vaso da gama. Hukumbuki!!!
Una umri gani kwanza?
 
Si mara moja wala mbili kumuona Jakaya Kikwete akipewa majukumu ambayo yangeweza kufanywa na waziri wa. mambo ya nchi za nje kama kumpigia kampeni daktari Janaba na mwanae kuteuliwa uwaziri japo ni kilaza.

Je anao ubia kwenye sirikali hii? Sielewi. Naomba wanangu mnieleweshe kama mshaliona hili.
Anajulikana nje zaidi ya waziri wa mambo ya nje. Ni sawa Mandela alivyopewa jukumu la kuipigia kampeni S.A ipate fursa ya kuandaa kombe la dunia.
 
Marais waliopita kupewa majukumu kusaidia hapa na pale ni jawaida sana duniani. Hii ni sababu ya heshima waliobeva kama wakuu wa nchi walio pita. Yalipotekea matatizo Kenya rais Kikwete alimtuma rais mstaafu marehemu Mkapa kwenda kusuluhisha.
Wakati wa Mwinyi, Nyerere alienda Zambia kumuombea Kaunda atokewe jela.
Mbona Trump hampi Biden majukumu ya kusaidia?
Mbona Ruto hampi Uhuru Kenyatta majukumu ya kusaidia?
Mbona Xi Jinping hampi Hu Jintao majukumu ya kusaidia??
 
Back
Top Bottom