Kikwete anapaswa kuona haya za uso na akili

From Imagination 🤔

Ingekuwa kuna uwezo Magu amefufuka
Akireturn kama Superhero
Watamtambua

Unaskia huyu jamaa kawaonea sana
(Huku kapigishwa magoti)
Wananchi: Ndioooo atoke tu
…
Kwenye vn ningemuiga na sauti yake ili ieleweke zaidi
 
Chukua picha za Abdalah na rizimoja halafu uzitazme Kwa Pamoja ukiwa umezikaribisha utagundua Sir100 ni nani Kwa kiwete
 
Unawajua wahuni wewe? Hao viumbe hawanaga aibu.
 
Kikwete amekuwa mtu wa ovyoooo.

Na amekuwa mshauri mbaya sana kwa Samia.
 
Kikwete ni janga.la taifa
 
Unajua maana ya Faragha wewe?
Kama hadi wewe unamuona, hiyo sio Faragha tena


Kwa kweli anatakiwa kujitahidi kuwa na busara. Wengi wanajua alikuwa nyumba ndogo yake. Kwa sasa kwa hadhi aliyo nayo, alitakiwa kuyasahau hayo mahusiano ya kale. Hivi unadhani mwenye mke wake atakuwa anajisikiaje anapojua aliyekuwa na mahusiano naye hapo zamani, sahizi amekuwa karibu naye zaidi, tena kwa uwazi. Hata kama inajulikana kwa sasa hawezi kufanya kitu kutokana na ile operation, lakini ni vema kujiweka mbali kidogo ili kutomletea msongo wa mawazo mumewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…